Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Leo tunasubiri kituko kingine. Maana vituko vinazidiana kila kukicha. Kila nikilinganisha ni nani alimzidi mwenzake kwa kuwa na kituko jadidifu napata shida kutoa daraja la ubora wa vituko
 
Kweli huu ni ujinga unaendelea mahakani muda mchache uliopita walirekebisha jina lake kutoka Frank wakasema anaitwa Fredy asa yeye kajitambulisha kuwa anaitwa ALFREDY yaaani kwanini lakini mahakama zinachezewa kiasi hiki jamani
 
Wanachezea kodi zetu hawa wapuuzi
 
Chief Hangaya acha kucheza na kodi zetu kabisa sisi kama sisi tunaomba uache kuichezea nchi na kesi zisizo na ukweli kwanza ulitakiwa uanze na yule aliekulisha maneno ya uongo kuhusu hii kesi tena kwa kutangaza hadhani ndio urudi kuifuta................ unajitahidi kufuta makosa ya mwenda lakini unaweka makosa mengine tena yenye aibu zaidi
 
Huyu mama sijui taarifa hizi za kesi hii hazimfikii?
 
Chief Hangaya acha kucheza na kodi zetu kabisa sisi kama sisi tunaomba uache kuichezea nchi na kesi zisizo na ukweli kwanza ulitakiwa uanze na yule aliekulisha maneno ya uongo kuhusu hii kesi tena kwa kutangaza hadhani ndio urudi kuifuta................ unajitahidi kufuta makosa ya mwenda lakini unaweka makosa mengine tena yenye aibu zaidi
Inaumiza sana mkuu, nikiangalia jinsi wanavyotukamua kwenye tozo acha kabisa,
 
Back
Top Bottom