Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

.
nazan hawaulizi direct mkuu,
mana ukienda direct hivyo, na shaidi nae anakua ashajipanga katika hilo.
 
Caution statement ya Adam Kasekwa maana yake ni kuwa amekiri kupanga njama.

Lakini hii habari ya kusajiri line Tigo, kuwa na miamala ambayo haijataja matumizi ya Tigo pesa ni lack of wisdom for prosecution.

Kuna muamala ambao umetaja juu ya kudhamini ugaidi? Kusajili lini Tigo kuna husiana nini na ugaidi.

Taifa halina wasomi kabisa.
 
Sijawahi kuwaelewa hawa mashahidi wa upande wa jamuhuri sijui ni kichwa changu kigumu au nina tatizo🤷‍♂️
 
.
usisahau kua kwenye kesi ndogo, maamuzi yalitolewa kwa maoni yake Jaji, yeye kama yeye..

Pia maswali waliyo uliza kule yalikua yanalenga dhumuni lililowapeleka kule mkuu.

kupinga namna maelezo yalivyo chukuliwa toka kwa washitakiwa wale wawili.
 
Huyu ni mwanasheria watu ambao wanatakiwa kuwa well informed with all curent affairs halafu unasema humjui Mbowe? hii ni akili ya wapi? anataka kumdanganya nani?
Unamulazimisha amujue? Wapo watu hawajui rais was Sasa sembuse mzee wa Machame😃😃😃😃
 
Angekuwa anaongea facts hiyo elimu yake ya sheria ingekuwa na maana, sio kwa jambo hilo la kupanga. Unataka tujione hatujui kwa utashi wako ama? Tunaona kinachoendelea ni kesi ya kubumba inayolazimishwa itoe matokeo yanayoendana na siasa chafu. Hivyo ww huna lolote ujualo zaidi ya kujifanya unajua.

Unachojaribu kuhalalisha hapa ni kujionyesha unajua, ili hukumu ya kupangwa ikitoka, ujifanye ulishaona kuwa mawakili wa utetezi walikuwa hawajui kazi yao. Ni hivi, sisi sio wajinga hivyo, tuna uwezo wa kujua haki ikitendeka, na ikipindishwa. Inshort hakuna kesi yoyote hapo mahakamani zaidi ya siasa za kishenzi.
 
Unamulazimisha amujue? Wapo watu hawajui rais was Sasa sembuse mzee wa Machame😃😃😃😃
Ni kweli, ila ni watu wa huko maporini sio hawa wanaoishi hapa mjini na kutumia mawasiliano ya kisasa.
 
Unaongea nini wewe choko? Katafute mabwana.
 
Wewe hauna hoja za maana, una hoja za kijinga
 
.
usisahau kua kwenye kesi ndogo, maamuzi yalitolewa kwa maoni yake Jaji, yeye kama yeye..

Pia maswali waliyo uliza kule yalikua yanalenga dhumuni lililowapeleka kule mkuu.

kupinga namna maelezo yalivyo chukuliwa toka kwa washitakiwa wale wawili.
Ushahidi uliopatikana kwa kupekua taarifa za Siri za mhusika BILA IDHINI (search warrant) YA MAHAKAMA haukubaliki mahakamani kw mujibu wa katiba.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…