Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Mjinga n mjinga tu period, iwe ID fake iwe nje ya mtandao kama n mjinga ww n mjinga tu

Kwa heshim yako naomba uwe una skip comments zangu,sina muda wa kujibizana na mtu anaetumia lugha ya kipuuzi.Please skip my comments [emoji1666]
 
Hii Tanzania kuna mtu hamfahamu mbowe? Nimeshangaa sana huyo shahidi msomi hafahamu mbowe ni kiongozi wa upinzani .
Hivi Hakimu anapojua kabisa kwamba shahidi ametoa jibu la uwongo huwa anachukuliaje?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tigo na mnisikie Tena Kwa makini! Kuanzia Leo naitupa line yenu na kuachana na huduma zenu! Utaratibu Gani huu wa kutoa Siri za wateja wenu? Mna maana mteja kwenu Hana haki ya kupata faragha na ulinzi kutoka kwenu?
Naanzisha Uzi wa kuwakataa ninyi na huduma zenu kwani mnatuuza polisi bila kufuata Sheria za mawasiliano!
Me too.
 
Hivi Hakimu anapojua kabisa kwamba shahidi ametoa jibu la uwongo huwa anachukuliaje?
hapo jaji hana lakufanya kwa mawakili wajanja wanaweza wakaendelea hayo maswali na mwishowe anaweza kujichanganya kwamba anamjua ndo atakapojifunga na ushahidi kuonekana wa uongo
 
Mimi najua kutoa pesa kwenye account hakujawahi kuwa kosa ila kinachotafutwa hapo hiyo line ni ya Mbowe kweli?

Ikithibitika ni ya Mbowe na ni kweli alituma kwenye no hiyo Mawakili wa Serikali watakuwa wamemaliza kazi yao katika kujenga ushahidi eneo hilo
Mawakili wa serekali Hamna kitu , eti wanataka kuthibitisha miamala ya 600,000 ilyotumika kwenye kinachoitwa ugaidi. Upuuzi tu na kupoteza muda
 
Mkuu mtu akiangalia ataona umeandika bonge la point, ila una mwanasheria anayetoa ushahidi wa kujidanganya kwa kiwango hiki. Eti mwanasheria anasema hamjui Mbowe, yaani anaona akisema anamjua basi ataonekana msaliti. Simaanishi Mbowe ni maarufu sana, ila kwa mtu kama yeye kusema hamjui Mbowe ni ujuha na utoto.

Kwanini hutaki kuamini kuwa hamjui? (japo uwezekano ni mdogo).Utamlazimisha vipi mtu akubali kuwa anamfahamu mtu flan mbele ya Mahakama?

Kuna kesi ngapi huko huko Mahakamani watu huwa wanakana kuwa hamjui tena ndugu yake wa damu itakuja kuwa huyu Mwanasheria.Kukana kwake pengine alijua angekubali kulikuwa na maswali yangefuatia ambayo alikuwa anayakwepa.Kumbuka huyu ni Learned Brother sawa tu na Kina Kibatala. Anaujua mchezo vizuri sana unavyokwenda wa cross examination
 
Kibatala [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Mwanasheria Kaamua Kukaa Kimya…

Kapigwa Maswali ya ki IT hadi Sio Poa.

Alitoa CV ya IT kuwatisha Watu [emoji28][emoji28] kumbe kibatala Alikuwa anamchora tuuu

Nahisi @chiefmkwawa na Mwl. RCT watakuwa walikuwa wanampenyezea maswali [emoji28][emoji28][emoji28]

Jamaa imebidi akiri kuwa Toka 2015 wame update system Juzi
Haha IT gan io mkuu

Sijaona maswali ya IT apo ya kutisha .. yot ni ya kawaida sana kam na ww umesom IT nadhani unalitambua hilo
 
Kibatala [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Mwanasheria Kaamua Kukaa Kimya…

Kapigwa Maswali ya ki IT hadi Sio Poa.

Alitoa CV ya IT kuwatisha Watu [emoji28][emoji28] kumbe kibatala Alikuwa anamchora tuuu

Nahisi @chiefmkwawa na Mwl. RCT watakuwa walikuwa wanampenyezea maswali [emoji28][emoji28][emoji28]

Jamaa imebidi akiri kuwa Toka 2015 wame update system Juzi
Haha IT gan io mkuu

Sijaona maswali ya IT apo ya kutisha .. yot ni ya kawaida sana kam na ww umesom IT nadhani unalitambua hilo
 
Ume observe ka Mimi tangu Ile kesi ya mwanzo vi maswali vilikuwa minor na havikutokea hata msaada kwa washtakiwa kujinasua na jinsi case inavoenda mbona ni hatari hawaulizi ukweli wa kilichoulizwa na ku link na huo ugaidi maana kutuma tu laki tano vina relate vipi na ugaidi jamani.
Huelewi, inachotakiwa katika kesi za jinai ni ku destroy credibility ya shahidi and this has been done successfully!
 
Hawa mawakili waliowaweka wako pale ili kucheza na trend za mitandaoni, kijipatia umaarufu na wateja.Hakuna cha maana wanacho-push.
Ndio ninachokiona hapo maana hadi mambo ya mtuhimiwa kunywa Mo energy ya nini na Raia wasioelewa wanajua basi hayo maswali magumu kweli kweli
 
Nafuatilia vizuri sana na wala sijaona cha ajabu kutoka kwa Matata wala Kibatala zaidi ya “mbwembwe” za Mawakili
kama hujaona chochote basi huna tofati na huyo Fredy. Kwenye system ambazo judiciary ni independent, huyu shahidi ushahifdi wake ni wa kutupwa maana haaminiki tena.....
 
Kinachokuja akilini mwangu line ya mbowe ni ya kuchongwa ,wakaweka hela na kutuma,sasa kwenye usajili wake ndo panapojichanganya maana aliyemsajilia hajulikani
Hapa ndio unapojionea uogo wa hali ya juu. Na kwa maana hiyo Mbowe nae anaweza kuikataa. Hii nchi imejaa vitimbi sana. Hawa akina Mahita sijui wanajisikiaje kuona Mbowe yupo mbali na familia yake. Ila naamini hawa uwa wanapata mateso sana uzeeni.
 
Na huyu wa Tigo hakosi kuwa wa kitengo. Yule mama mbege anaweza kuwa ni vihela kidogo na mkono wa CCM, basi. Bado hajapatikana shahidi anayesimamia ukweli.
Je Urio yeye zamu yake ni lini. Inawezekana Lijenje akaletwa kama shahidi?

Yule mshtakiwa wa tatu naweza kusema bila shaka kwamba walishindwa kumshawishi awe shahidi upande wao.
Huyu wa TIGO ni kitengo hakuna hata siri.. toka lini Mwanasheria akajiingiza kutoa siri za longroom. Hapa hakuna kesi kuna ujinga tu.
 
Nakumbuka kuna wakati kule Marekani kampuni ya Apple ilikataa kutoa taarifa ya simu za wateja wao waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya ugaidi na huku watuhumiwa wenyewe wakiwa wameshauawa na polisi.

Ilibidi FBI wasaidiwe na kampuni moja ya Israel kupata hizo taarifa baada ya kushindikana kuzipata nchini Marekani kwa sababu ya sheria kali za Privacy Rights Protection Law.

Sasa hapa Tanzania polisi wakitaka kujua hata namna unavyojamiana na mke wako watatumia ubabe tu na mara moja watakuwa na full information. Nchi kama yetu hii ni ya hovyo ni hakuna mfano.
 
Back
Top Bottom