Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Usingepanick ningeshangaa sana, na sababu ya kupanick ni kwakuwa umekuja na maelezo ya kupotosha ili kubeba ajenda zenye hila ovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali yao yamekaa Kama kibwengo lazima akwepe🤣🤣Eti hamfahamu Mbowe kama Kiongozi wa chadema/kiongozi wa chama cha upinzani! 😁😁😁
Aisee hii nchi ina viazi wengi sana!
Tatizo linaloonekana kwenye kesi hii ni ule ulazima wa Mbowe apatikane na kosa! Safari hii huchomoki.
Upo chini sana wewe, na kwa wewe kuwa huko unadhani wengine nao wapo shimoni kama wewe.Unamulazimisha amujue? Wapo watu hawajui rais was Sasa sembuse mzee wa Machame😃😃😃😃
Ukweli upo wazi kwenye hii kesi mawakili wa upande wa utetezi wanajenga hoja vizuri kabisa na kama ulivyosema sheria muda mwingine ni ngumu kuielewa naimani Jaji atatenda haki, ila niwe mkweli hii kesi ni ya kutengenezwa maana hata mashahidi ambao wako upande wa jamhuri ni hawajui wanaongea nini? Na napata tabu sana sitaki kuamini binadamu tumefikia hatua ya kuapa mbele ya vitabu vitakatifu na kushuhudia uongo.
Uzuri matokeo ya hii kesi wengi tushajua yatakua niyapi.Nitarudi hapa kukukumbusha mwisho wa kesi hii
Angekuwa anaongea facts hiyo elimu yake ya sheria ingekuwa na maana, sio kwa jambo hilo la kupanga. Unataka tujione hatujui kwa utashi wako ama? Tunaona kinachoendelea ni kesi ya kubumba inayolazimishwa itoe matokeo yanayoendana na siasa chafu. Hivyo ww huna lolote ujualo zaidi ya kujifanya unajua.
Unachojaribu kuhalalisha hapa ni kujionyesha unajua, ili hukumu ya kupangwa ikitoka, ujifanye ulishaona kuwa mawakili wa utetezi walikuwa hawajui kazi yao. Ni hivi, sisi sio wajinga hivyo, tuna uwezo wa kujua haki ikitendeka, na ikipindishwa. Inshort hakuna kesi yoyote hapo mahakamani zaidi ya siasa za kishenzi.
Yeap,Ushahidi uliopatikana kwa kupekua taarifa za Siri za mhusika BILA IDHINI (search warrant) YA MAHAKAMA haukubaliki mahakamani kw mujibu wa katiba.
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Kweli huu ni ujinga unaendelea mahakani muda mchache uliopita walirekebisha jina lake kutoka Frank wakasema anaitwa Fredy asa yeye kajitambulisha kuwa anaitwa ALFREDY yaaani kwanini lakini mahakama zinachezewa kiasi hiki jamani
Ndugu zangu, mtu anaposimama kizimbani, na Kuapa, akisha sema eee Mungu nisaidie, kama ni shahidi wa bandia, hapo ndipo mambo yanaharibikia. Labda wawe wanaapa bila kuinua vitabu vitakatifu." MUNGU huwa hadhihakiwi".Hao mashahidi 24 ni wengi sana... Na ndio maana story inavurugika... Inakosa mpangilio, continuity ni mbovu, wahusika hawawezi kuelewa script wala kuishi ndani ya script
Toà case law au kifungu Cha sheria ninachosema hivyo. Unaweza ikawa sahihi maana shahidi akidanganya ushahidi wake unatupwa, Sasa tupe kifungu hasa case law tuwe huruUshahidi uliopatikana kwa kupekua taarifa za Siri za mhusika BILA IDHINI (search warrant) YA MAHAKAMA haukubaliki mahakamani kw mujibu wa katiba.
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Eti nazan, shaidi, halafu watu humu wanajibizana na mtu Kama wewe.
nazan hawaulizi direct mkuu,
mana ukienda direct hivyo, na shaidi nae anakua ashajipanga katika hilo.
Eti nazan, shaidi, halafu watu humu wanajibizana na mtu Kama wewe
Mwandishi unajitahidi lakini naomba ujifunze uandishi wa kiswahli sanifu.Ikiwa leo ni tarehe 2 November 2021 , kesi hii inayobeba sehemu kubwa ya habari za Tanzania inaendelea tena Mahakamani hapo .
Baada ya ushahidi wa Muuza Mbege wa Rau Kukamilika , Leo upande wa Jamhuri utaleta shahidi wa Tano miongoni mwa wale 24 waliopangwa kutoa ushahidi huo .
Kama kawaida JF itakuletea moja kwa moja kesi hii kutoka Mahakamani , usiondoke
Ni ujinga tupuHuo tuuite weledi was kitanzania wakileo unao hanikizwa na wanakijani wa enzi mpya.
Aibu kubwa snDuh! Wakili msomi PK na wenzake wanawa pre-empty hawa mashahidi bandia wa Serikali vibaya mno