Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Nachukia sana mtu anaeshindwa kutetea hoja yake na kuishia kuja na lugha za kipuuzi kama wewe,achana na mimi kabisa,acha niendelee kujibishana na kina Scars FUSO na wengine wenye kuelewa nini maana ya kushindana kwa hoja,naomba pita kule kwenye Comments zangu.Asante.

Usingepanick ningeshangaa sana, na sababu ya kupanick ni kwakuwa umekuja na maelezo ya kupotosha ili kubeba ajenda zenye hila ovu.
 
Kwa maelezo ya mwanasheria wa tigo, kuanzia leo navunja line ya tigo hainifai kabisaa
 
FDMslgWXEAYfAj0


Tatizo linaloonekana kwenye kesi hii ni ule ulazima wa Mbowe apatikane na kosa! Safari hii huchomoki.
 
Unamulazimisha amujue? Wapo watu hawajui rais was Sasa sembuse mzee wa Machame😃😃😃😃
Upo chini sana wewe, na kwa wewe kuwa huko unadhani wengine nao wapo shimoni kama wewe.

Hata huoni anavyoharibu ushahidi anaoutoa kwa kusema uongo ulio wazi mbele ya mahakama?
 
Are u serious? Wewe umesoma nini hapo madame?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukweli upo wazi kwenye hii kesi mawakili wa upande wa utetezi wanajenga hoja vizuri kabisa na kama ulivyosema sheria muda mwingine ni ngumu kuielewa naimani Jaji atatenda haki, ila niwe mkweli hii kesi ni ya kutengenezwa maana hata mashahidi ambao wako upande wa jamhuri ni hawajui wanaongea nini? Na napata tabu sana sitaki kuamini binadamu tumefikia hatua ya kuapa mbele ya vitabu vitakatifu na kushuhudia uongo.
 
Angekuwa anaongea facts hiyo elimu yake ya sheria ingekuwa na maana, sio kwa jambo hilo la kupanga. Unataka tujione hatujui kwa utashi wako ama? Tunaona kinachoendelea ni kesi ya kubumba inayolazimishwa itoe matokeo yanayoendana na siasa chafu. Hivyo ww huna lolote ujualo zaidi ya kujifanya unajua.

Unachojaribu kuhalalisha hapa ni kujionyesha unajua, ili hukumu ya kupangwa ikitoka, ujifanye ulishaona kuwa mawakili wa utetezi walikuwa hawajui kazi yao. Ni hivi, sisi sio wajinga hivyo, tuna uwezo wa kujua haki ikitendeka, na ikipindishwa. Inshort hakuna kesi yoyote hapo mahakamani zaidi ya siasa za kishenzi.

Haya muheshimiwa mjuaji wa kila kitu, all the best!
 
Ushahidi uliopatikana kwa kupekua taarifa za Siri za mhusika BILA IDHINI (search warrant) YA MAHAKAMA haukubaliki mahakamani kw mujibu wa katiba.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Yeap,
nami ndicho nacho jaribu elezea mkuu,

Nacho shangaa nipale watu wanadai kua Mawakili wautetezi walikua hawaulizi maswali sahihi.
 
Kesi za kubambikiwa ndiyo zinakuwa hivyo wala usishangae.
Kweli huu ni ujinga unaendelea mahakani muda mchache uliopita walirekebisha jina lake kutoka Frank wakasema anaitwa Fredy asa yeye kajitambulisha kuwa anaitwa ALFREDY yaaani kwanini lakini mahakama zinachezewa kiasi hiki jamani
 
Hao mashahidi 24 ni wengi sana... Na ndio maana story inavurugika... Inakosa mpangilio, continuity ni mbovu, wahusika hawawezi kuelewa script wala kuishi ndani ya script
Ndugu zangu, mtu anaposimama kizimbani, na Kuapa, akisha sema eee Mungu nisaidie, kama ni shahidi wa bandia, hapo ndipo mambo yanaharibikia. Labda wawe wanaapa bila kuinua vitabu vitakatifu." MUNGU huwa hadhihakiwi".
 
Ushahidi uliopatikana kwa kupekua taarifa za Siri za mhusika BILA IDHINI (search warrant) YA MAHAKAMA haukubaliki mahakamani kw mujibu wa katiba.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Toà case law au kifungu Cha sheria ninachosema hivyo. Unaweza ikawa sahihi maana shahidi akidanganya ushahidi wake unatupwa, Sasa tupe kifungu hasa case law tuwe huru
 
Eti nazan, shaidi, halafu watu humu wanajibizana na mtu Kama wewe

Hebu niende zangu Jamii Intelligency, nikapate nondo za uhakika huko. Naona huku watu mmeishiwa mmebaki kudeal na petty issues.
 
Ikiwa leo ni tarehe 2 November 2021 , kesi hii inayobeba sehemu kubwa ya habari za Tanzania inaendelea tena Mahakamani hapo .

Baada ya ushahidi wa Muuza Mbege wa Rau Kukamilika , Leo upande wa Jamhuri utaleta shahidi wa Tano miongoni mwa wale 24 waliopangwa kutoa ushahidi huo .

Kama kawaida JF itakuletea moja kwa moja kesi hii kutoka Mahakamani , usiondoke
Mwandishi unajitahidi lakini naomba ujifunze uandishi wa kiswahli sanifu.
Ninasikia watu waliochoka kufikiri, wanasema elimu Tanzania inashuka kwa sababu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kwa kufundishiwa. Sababu chovu kama tambara la deki.
Sasa inakuwaje hata kiswahili kinakuwa messed up? Any way, hapa si mahala pake. Ila naomba tumwandishi ujitahidi kunadika kiswahili fasaha.

Hairisho, siyo kiswahili = Kiswahili inapashwa kuwa Ahirisho.
TunaHairisha X = Usahihi ni Tunaahirisha.
Mihamala X = Usahihi ni miamala.

Sanjali na hili, ahsante sana kwa kutuletea taarifa hii hapa. Mimi ni mmjoa wa watuwanaofuatilia kesi hii kupitia hapa. Kwa sababu you are better sana kuliko wale wa kwenye you tube, waandishi wa habari wa Tanzania, waswahili, wanaopigiwa upatu kwamba kama elimu ingelifundishwa kwa kiswahili, bila shaka wangefaulu vizuri. Mtazamo ambao kwa tafsiri ni kwamba ni mabingwa wa kiswahili, lakini la ajabu, hata kusoma kiswahili wanashindwa. Hata kuongea kiswahili wanashindwa, wanabaki kuudhi.

Ahsante sana. Ninadhani kunahitajika mjadala juu ya maamuzi haya ya wanasiasa wachovu. kwamba kiswahili kifundishiwe eti kuboresha viwango vya elimu. Ili tuweke misingi ya taifa badala ya kuacha watu wasiofanya tafiti, watuamulie kaburi la hatima za taifa letu.
 
Back
Top Bottom