Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Kibatala [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Mwanasheria Kaamua Kukaa Kimya…

Kapigwa Maswali ya ki IT hadi Sio Poa.

Alitoa CV ya IT kuwatisha Watu [emoji28][emoji28] kumbe kibatala Alikuwa anamchora tuuu

Nahisi @chiefmkwawa na Mwl. RCT watakuwa walikuwa wanampenyezea maswali [emoji28][emoji28][emoji28]

Jamaa imebidi akiri kuwa Toka 2015 wame update system Juzi
 
Nyamizi, tazama "NIA" ya polisi kwa Freeman Mbowe ni nini. Mpaka hapa, mtu yeyote anajua kuwa, nia ya polisi by either HOOKS or by CROOKS ni kum - incriminate Mbowe na kisha ahukumiwe kifuñgo jela. Vita ya kisiasa hii....
Asante sana kwa maelezo ya kina,walau wewe umejikita kwenye kujibu hoja yangu.Sasa ningependa kujua hapo unaposema aliandikiwa yeye kama yeye.Hivi kweli unaamini Police walimwandikia Freddy au waliiandikia Kampuni ya MIC (Tigo)?

Rudi tena kwenye "DHAMIRA/NIA" ya polisi...

Na kujibu hoja yako hii, YES, likely waliandikiwa Tigo. Hii haizuii barua kupokelewa na mtu wao anaowafanyia kazi yao haramu bila hata entire Tigo management kujua. Ni likely kuwa wamejua sasa na uharibifu kwa kampuni tayari umefanyika.!!
Na Je kama haya masuala yenyewe ndiyo huwa anayashughulikia moja kwa moja,kama yeye ndiyo HOD je?

Kwenye hili haiwezekani ashughulikie peke yake. Kumbuka hili ni jambo la kisheria. Hawezi kuamua mtu mmoja. Lakini ktk scenario hii, hili liliwezekana. Wenzake wote katika idara hata HOD wake hajui..!

Ndiyo maana mawakili wa utetezi wanambana kwenye eneo hili ili kumwezesha Jaji aone tatizo la ushahidi huo, kuwa haujakidhi sheria, umepatikana kwa njia haramu ili kukidhi NIA OVU...!
Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi,taarifa za Wateja zilikuwa zinaombwa na TRA wanapokuwa wanawafanyia Auditing,walikuwa wana adress kwa MD lkn zile barua zilikuwa zinaletwa moja kwa moja na Secretary kwangu na nazishughulikia bila kupitia kwa MD,maana tayari MD alishatoa Order barua zote za nature ya kuomba taarifa za Wateja ziletwe moja kwa moja kwangu.Sasa ukipeleka hiyo taarifa,kama ilivyo utanishutumu mimi kuwa TRA waliniandikia mimi na nikashughulikia mimi moja kwa moja?
Kama ilikuwa addressed kwa MD na kisha kukupa "Go ahead", hapo hakuna tatizo. Lakini kumbuka, always inategemea na ishu hiyo inahusu nini...

Kuna ishu zingine huwezi kuzishughulikia wewe moja kwa moja bali baada ya kufanya part yako, ni lazima tena urudi kwa MD wako ili kufanya assessment ya aidha mteja apewe au asipewe kwa kuzungatia impact ya kisheria ...

Huyu Freddy ni tofauti na wewe. Kwanza ishu yenyewe aliyokuwa anaishughulikia ni very sensitive, ishu ya UGAIDI lakini imefanywa kihunihuni kwa mlango wa nyuma. Huyu haraka haraka mtu yeyote anaweza kuelewa kuwa huyu ni part & parcel ya syndicate hii ya kutengeneza/kubumba kesi. Hata huko Vodavom, Airtel, Halotel, Zantel, kwenye mabenki na taasisi zingine wapo wamepandwa huko...!

Tukubali kuwa, polisi walikuwa wanamtumia Freddy Kapala kwa nia ovu kwa mlango wa nyuma bila kufuata sheria. Huu hauwezi kuwa ushahidi genuine...!!
 
Unalia nini? Mbona shahidi anasema hajui kosa Sasa taarifa kama ni za miamala ya tigo pesa wakili atahoji nini? Zaidi ya kosa la utaratibu wa utoaji taarifa ambao utaonyesha ushahidi haujitoshelezi kuthibitisha kosa
Ni kweli mteja alitoa hizo pesa ndicho kinachotafutwa hapo kama kweli alitoa mengine yatafuata
 
Nyamizi, tazama "NIA" ya polisi kwa Freeman Mbowe ni nini. Mpaka hapa, mtu yeyote anajua kuwa, nia ya polisi by either HOOKS or by CROOKS ni kum - incriminate Mbowe na kisha ahukumiwe kifuñgo jela. Vita ya kisiasa hii....

Rudi tena kwenye "DHAMIRA/NIA" ya polisi...

Na kujibu hoja yako hii, YES, likely waliandikiwa Tigo. Hii haizuii barua kupokelewa na mtu wao anaowafanyia kazi yao haramu bila hata entire Tigo management kujua. Ni likely kuwa wamejua sasa na uharibifu kwa kampuni tayari umefanyika.!!

Kwenye hili haiwezekani ashughulikie peke yake. Kumbuka hili ni jambo la kisheria. Hawezi kuamua mtu mmoja. Lakini ktk scenario hii, hili liliwezekana. Wenzake wote katika idara hata HOD wake hajui..!

Ndiyo maana mawakili wa utetezi wanambana kwenye eneo hili ili kumwezesha Jaji aone tatizo la ushahidi huo, kuwa haujakidhi sheria, umepatikana kwa njia haramu ili kukidhi NIA OVU...!

Kama ilikuwa addressed kwa MD na kisha kukupa "Go ahead", hapo hakuna tatizo. Lakini kumbuka, always inategemea na ishu hiyo inahusu nini...

Kuna ishu zingine huwezi kuzishughulikia wewe moja kwa moja bali baada ya kufanya part yako, ni lazima tena urudi kwa MD wako ili kufanya assessment ya aidha mteja apewe au asipewe kwa kuzungatia impact ya kisheria ...

Huyu Freddy ni tofauti na wewe. Kwanza ishu yenyewe aliyokuwa anaishughulikia ni very sensitive, ishu ya UGAIDI lakini imefanywa kihunihuni kwa mlango wa nyuma. Huyu haraka haraka mtu yeyote anaweza kuelewa kuwa huyu ni part & parcel ya syndicate hii ya kutengeneza/kubumba kesi. Hata huko Vodavom, Airtel, Halotel, Zantel, kwenye mabenki na taasisi zingine wapo wamepandwa huko...!

Tukubali kuwa, polisi walikuwa wanamtumia Freddy Kapala kwa nia ovu kwa mlango wa nyuma bila kufuata sheria. Huu hauwezi kuwa ushahidi genuine...!!

Unapokutana na mtu anajenga hoja kwa namna hii,unajikuta unajifunza kitu pia,asante sana Mkuu kwa kujikita na kuitetea hoja yako kwa kina na maeleozo yenye kujitosheleza. Naomba kesho tena tukutane katika kumsikiliza shahidi no 6.Uwe na siku njema Mkuu [emoji1666]
 
Mkuu heshimu wengine kwa vile mtu haandiki unachokipenda ndio kichwa maji?
Tunahitaji kutofautiana kimawazo sio dhambi
😂😂😂 nimekuelewa mkuu, hapo kabla nilidhani vyeo vinaendana na dhamira kuu ya mtandao huu!
 
Kwenye case yako na TRA naona unaongeza facts mpya... Kwamba wewe ulikuwa HOD, na kuna secretary na kuna order kutoka kwa MD which means kuna ka utaratibu kapo kwenye policy zenu. Kwamba barua inaandikwa kwa MD/kampuni, inaletwa kwako na wewe unaijibu (of course kwa niaba ya MD/kampuni).
Je, ukizingatia maelezo ya Freddy Kapala/ra huo utaratibu umesikia akiutaja? Je, tuendelee kumuamini?

Asante sana kwa maelezo ya kina,walau wewe umejikita kwenye kujibu hoja yangu.Sasa ningependa kujua hapo unaposema aliandikiwa yeye kama yeye.Hivi kweli unaamini Police walimwandikia Freddy au waliiandikia Kampuni ya MIC (Tigo)? Na Je kama haya masuala yenyewe ndiyo huwa anayashughulikia moja kwa moja,kama yeye ndiyo HOD je?

Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi,taarifa za Wateja zilikuwa zinaombwa na TRA wanapokuwa wanawafanyia Auditing,walikuwa wana adress kwa MD lkn zile barua zilikuwa zinaletwa moja kwa moja na Secretary kwangu na nazishughulikia bila kupitia kwa MD,maana tayari MD alishatoa Order barua zote za nature ya kuomba taarifa za Wateja ziletwe moja kwa moja kwangu.Sasa ukipeleka hiyo taarifa,kama ilivyo utanishutumu mimi kuwa TRA waliniandikia mimi na nikashughulikia mimi moja kwa moja?
 
Kwa kuzungatia maelezo yake, huyo FREDY (Frank Kapala) ni shushushu, wakala wa Polisi/Usalama wa Taifa aliyepandikizwa pale TIGO, idara ya sheria.
 
Miongoni mwao 21 ni Polisi
Na huyu wa Tigo hakosi kuwa wa kitengo. Yule mama mbege anaweza kuwa ni vihela kidogo na mkono wa CCM, basi. Bado hajapatikana shahidi anayesimamia ukweli.
Je Urio yeye zamu yake ni lini. Inawezekana Lijenje akaletwa kama shahidi?

Yule mshtakiwa wa tatu naweza kusema bila shaka kwamba walishindwa kumshawishi awe shahidi upande wao.
 
Nyamizi, tazama "NIA" ya polisi kwa Freeman Mbowe ni nini. Mpaka hapa, mtu yeyote anajua kuwa, nia ya polisi by either HOOKS or by CROOKS ni kum - incriminate Mbowe na kisha ahukumiwe kifuñgo jela. Vita ya kisiasa hii....

Rudi tena kwenye "DHAMIRA/NIA" ya polisi...

Na kujibu hoja yako hii, YES, likely waliandikiwa Tigo. Hii haizuii barua kupokelewa na mtu wao anaowafanyia kazi yao haramu bila hata entire Tigo management kujua. Ni likely kuwa wamejua sasa na uharibifu kwa kampuni tayari umefanyika.!!

Kwenye hili haiwezekani ashughulikie peke yake. Kumbuka hili ni jambo la kisheria. Hawezi kuamua mtu mmoja. Lakini ktk scenario hii, hili liliwezekana. Wenzake wote katika idara hata HOD wake hajui..!

Ndiyo maana mawakili wa utetezi wanambana kwenye eneo hili ili kumwezesha Jaji aone tatizo la ushahidi huo, kuwa haujakidhi sheria, umepatikana kwa njia haramu ili kukidhi NIA OVU...!

Kama ilikuwa addressed kwa MD na kisha kukupa "Go ahead", hapo hakuna tatizo. Lakini kumbuka, always inategemea na ishu hiyo inahusu nini...

Kuna ishu zingine huwezi kuzishughulikia wewe moja kwa moja bali baada ya kufanya part yako, ni lazima tena urudi kwa MD wako ili kufanya assessment ya aidha mteja apewe au asipewe kwa kuzungatia impact ya kisheria ...

Huyu Freddy ni tofauti na wewe. Kwanza ishu yenyewe aliyokuwa anaishughulikia ni very sensitive, ishu ya UGAIDI lakini imefanywa kihunihuni kwa mlango wa nyuma. Huyu haraka haraka mtu yeyote anaweza kuelewa kuwa huyu ni part & parcel ya syndicate hii ya kutengeneza/kubumba kesi. Hata huko Vodavom, Airtel, Halotel, Zantel, kwenye mabenki na taasisi zingine wapo wamepandwa huko...!

Tukubali kuwa, polisi walikuwa wanamtumia Freddy Kapala kwa nia ovu kwa mlango wa nyuma bila kufuata sheria. Huu hauwezi kuwa ushahidi genuine...!!
Couldn't agree more mkuu...!
 
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala
Umepotoka na sasa unapotosha. Fahamu kuwa bado kuna mashahidi wengine. Na ukiangalia trend ni kwamba wanaletwa kufanya damage control!
So tricks wanazotumia mawakili wa upande wa utetezi ziko sawa.

NB: Ile kesi ndo ilishandikiwa maamuzi. Soma kwa makini maelezo na maazimio ya Jaji Kiongozi Siyani. Utaona kabisa alilazimisha. Na baadae akajitoa ili kuondoa conflicting interests.
 
Kutoa pesa kwenye account halijawahi kuwa kosa
Mimi najua kutoa pesa kwenye account hakujawahi kuwa kosa ila kinachotafutwa hapo hiyo line ni ya Mbowe kweli?

Ikithibitika ni ya Mbowe na ni kweli alituma kwenye no hiyo Mawakili wa Serikali watakuwa wamemaliza kazi yao katika kujenga ushahidi eneo hilo
 
Kinachokuja akilini mwangu line ya mbowe ni ya kuchongwa ,wakaweka hela na kutuma,sasa kwenye usajili wake ndo panapojichanganya maana aliyemsajilia hajulikani
 
Back
Top Bottom