Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

hii kesi inasemekana mashadi wa kiraia ni 2 tu ... wengine wote ni askari police ambao wote pamoja na mwendesha mashitaka na jaji wa mahakama Kuu wanaripoti na kutii maagizo kutoka mamlaka za juu
Mbowe hata wakija wazazi wake ndio wawe polisi, waendesha mashitaka na jaji- atafungwa kwa sababu damu yake ni jinai tupu
 
Kweli wewe NYAMINZI.
 
Thank you[emoji3059][emoji3059] maana niliona unanidipu kabisaa[emoji23][emoji23]
Nikasema huyu amenionaje. Halaf pia watu wanapaswa kujua si kwamba mawakili wa jamhuri ni wajinga hapana. Ni kwakua kesi imekua ya kubumba ndo maana wanapata wakati mgumu sana mbali na kwamba mawakili wa upinzani are always fsr better. Kibatala always says, if u wanna be the best, be the opponent. Watu wasiojua misingi ya sheria, definately hawajui kureason. Na hawajui kabisa. Na hawataelewa. Hiyo ndo njoa ya kutambua ukweli.

Hata nyumbani ili kujua mtoto anadanganya kuna maswali ya mitego huulizwa mpaka anajaa kwenye nyavu. Si ulisikia kingai alimwambia live kibatala kwamba kuna maswali anayakwepa kwasababu anamtega kuna mahali atambana? Being a lawyer lazima uwe na extra reasoning mind tena kwa haraka na ijenge logic. Ni mihemko ya kisiasa tu inatudanganya. Tatizo ni samia kuingilia na kusema nakomandoo walishafungwa na wanajua kila kitu. That means anaingilia muhimili ndo maana wanahaha pressure within and outside. DPP afute huu ujinga.
 
Kweli huu ni ujinga unaendelea mahakani muda mchache uliopita walirekebisha jina lake kutoka Frank wakasema anaitwa Fredy asa yeye kajitambulisha kuwa anaitwa ALFREDY yaaani kwanini lakini mahakama zinachezewa kiasi hiki jamani
Yaani hili jambo nilicheka mno. Yaan majina aliyotambulishwa siyo akaja na lake

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Huko CCM mumejaa vilaza watupu
 
Upo chini sana wewe, na kwa wewe kuwa huko unadhani wengine nao wapo shimoni kama wewe.

Hata huoni anavyoharibu ushahidi anaoutoa kwa kusema uongo ulio wazi mbele ya mahakama?
Mbona Mbowe alidanganya kavunjwa mguu na wasiojulikana kumbe alibugia Faru John?
Alidanganya account zake zilifungwa na TRA kumbe ugonvi wa kifamilia?
Mbona hukudemuka Kama leo?
M
 
Mbona Mbowe alidanganya kavunjwa mguu na wasiojulikana kumbe alibugia Faru John?
Alidanganya account zake zilifungwa na TRA kumbe ugonvi wa kifamilia?
Mbona hukudemuka Kama leo?
M
Nina ushauri kwenu,

Wewe na wenzio si unganeni HARAKA na Nduguyai, Waitara, Silinde, Lijualik, Mollel, Mnyeti, Sabaya na 'wa Babeli' wenzenu waliokubali kutumika ili kukidhi njaa zao.

Halafu pelekeni ushahidi na vielelezo vipya HARAKA, ili Policcm wafungue mashitaka mapya na labda ya nyongeza.

Kule mahakamani hali ni mbaya; pamoja na bidii zote kesi HII mliyoshirikiana nao kuibumba, inazidi kutepeta.
 
Ungelimpata hapo, Basi ushindi wake unakuwa wa uongo maana Kama unasema Uongo wa wazi kuwa humjui mtu maarufu Kama Mbowe na wewe Ni Mwanasheria Wakili, logical deduction Ni kuwa na yote uliyoyasema hatupashwi kuyaamini.

"Mabush" layer tunasema hivyo au vipi"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni kweli. Lkn huenda akawa Hamjui ila anamfahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…