comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mbowe hata wakija wazazi wake ndio wawe polisi, waendesha mashitaka na jaji- atafungwa kwa sababu damu yake ni jinai tupuhii kesi inasemekana mashadi wa kiraia ni 2 tu ... wengine wote ni askari police ambao wote pamoja na mwendesha mashitaka na jaji wa mahakama Kuu wanaripoti na kutii maagizo kutoka mamlaka za juu