Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Hapa bi mkubwa alilishwa tango pori
 
mbowe akifungwa upinzani utaendelea vizuri mbowe asipofungwa hakuna upinzani

Mbowe ndiye anaua upinzani kipindi cha korona ndipo chadema ilipokufa

Mbowe akiondolewa tu tiari upinzani unachukua nchi

Tunaitaji mawazo mapya na watu wapya hii mbowe ya kuwa kiongoxi miaka 25 inatudisha upinzani nyuma sana
 
Yeah... Ile kesi ndogo iliwachanganya zaidi upande wa utetezi...
 
Vijana wa chaggadomo, utasikia MIHAMALA🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…