Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Kama utaratibu ni kwamba muda wowote Police anaweza kupata info za mtu toka kwenye mitandano basi security ni ndogo sana na privacy ya watumiaji. naomba utaratibu kwenye hili, makampuni mengine ya simu yanafanya hivi hivi pia.?

Nafikiri Mahakama ndiyo inatakiwa kuwa na kibali cha kupata hizi info kama itazihitaji lakini si taasisi nyingine yoyote. Maana kuna hatari makampuni ya simu yakauza hizi taarifa kwa majasusi wa kimataifa tusipokuwa makini.

Kwa maneno mengine shahidi ana uwezo hata wa kujua waziri mkuu kaongea nini, ka sms kitu gani kwa nani, katuma info gani kama ana line ya Tigo. Sasa lazima iwepo sheria ya kuthibiti hizi info zisivuje toka haya makampuni ya mitandao.
 
Wakili Mallya: Huyu Mbowe alisajili mwenyewe?


Shahidi: Wakili anashindwa kuelewa hizi taarifa tulizuchukua Nida


Wakili: Hii nyaraka imetoka kwenu au Nida


Shahidi:Nida


Wakili: Aliyemsajili Mbowe nani?


Shahidi: Simjui


#UpdatesKesiMbowe #MwananchiUpdates
 
Hii kesi ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Halafu Jaji sijui haoni kwamba jui ni uhujumu uchumi...
 
Hii kesi ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Halafu Jaji sijui haoni kwamba jui ni uhujumu uchumi...
lengo la CCM ni kumfunga Mbowe kifungo kirefu kwa gharama yoyote ili kuua hoja ya Katiba mpya. Sasa hata kama hujasoma sheria hawa mashahidi wote 5 so far wakiongozwa na jamaa yako Kingai sijaona ni wapi mahakama itaukubali ushahidi wao PASI NA SHAKA.

Wote wanajikanyaga kanyaga tu, huyu mwanasheria naye ni yale yale.
 
Jamii forum tu ndiyo wanauwezo huo wa kumtetea member wao kutoka kwenye uonevu

Angalia na nature ya Kampuni,hapa wateja wanatumia fake IDs,JF founders wanayo haki ya kukataa hawamjui Member yoyote,ingekuwa sote tunatumia real names ungeuona mziki wake.Ndiyo maana verified Users wote hapa wako makini na kile wanachokipost,lakini Tigo ambako line inasajiliwa kwa NIDA,unaombwa taarifa za huyo mtu specific unakaata vipi? Kama ni lawama basi zitupiwe Sheria kwa kuruhusu hizi Taasisi kuwa na access za taarifa za watu pindi wanapozihitaji,na siyo kumlaumu Mfanyakazi wa Tigo aliyetii amri ya Mamlaka halali ya Nchi.
 
Kampuni lakini wategemee kupungua kwa wateja

Acha kuyakuza mambo,wateja wapungue sababu Legal Officer kaenda kutoa ushahidi? Kesho akija Shahidi kutoka Vodacom,Airtel na Hallotel itakuwaje? Hao wateja wataendelea kupungua kwa hayo makampuni? Wataenda wapi sasa[emoji3][emoji23]
 

Wewe umerukia comment bila hata kujua mtiririko ulikuwaje? Hapa point ilikuwa FUSO kumlaumu huyo Legal Officer wa Tigo kuja kutoa ushahidi,naona wewe umepuyanga kivyako na Mwendazake[emoji3][emoji3]
 
Wakati defense itakapokuja kutoa defense (siyo leo), watafute experts kwenye relevant fields km ballistics, IT, residents wa Rau kuja challenge the prosecution to prove beyond reasonable doubt what they are saying. Hii ya leo ina mashimo mengi
 
Miaka ya juzi kati hizo info ulikuwa unatoa mzigo unapatiwa kisiri - zilivunja ndoa za watu sana na wengine uchumba ukafa, sema tu sasa hivi mambo mengi yanapitia Whazup na si hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…