Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Wakili wa Serikali: Unakumbuka Ilikuwa ni wakati gani?

Shahidi: (Tigo) walitaka Taarifa za mihamala ya Fedha kutoka 01 June ya 2020 Mpaka 31 June ya 2020 Nikaingia Kwenye Computer Nikaziona

Bla bla bla .....

Wakili wa Serikali:Shahidi tufafanulie Maneno Ya Juu kama Sender Maana yake nini

Shahidi (Tigo): Send My Op namba 0719933386 Receiver 0787555200 Miamala wa Tarehe 20 Kiasi 500,0000 Tarehe 20 July 2020 Saa 2 na Dakika 21na Balance Ilikuwa 2.3M
Kwa hiyo ugaidi ulikuwa financed na hiyo laki tano!!?? ama sijaelewa!??
mbona hii hela haitoshi hata kununua gobole
 
Wakati defense itakapokuja kutoa defense (siyo leo), watafute experts kwenye relevant fields km ballistics, IT, residents wa Rau kuja challenge the prosecution to prove beyond reasonable doubt what they are saying. Hii ya leo ina mashimo mengi
Ni kweli mkuu, Mahakama haiwezi kumfunga mtu miaka 30 ama maisha bila kuwa na ushahidi usio acha shaka yoyote. Kutengeneza ushahidi kunahitaji IQ kali sana.
Yaani ni hivi kuandika mashitaka ni kazi ya dk 5 tu umemaliza, ila ushahidi mzee ni tatizo kubwa, mwaka mzima wanahangaika kuchora michoro ya ushahidi ila so far mashimo mengi sana wameyaacha wazi.
 
Wakili wa Serikali: Unakumbuka Ilikuwa ni wakati gani?

Shahidi: (Tigo) walitaka Taarifa za mihamala ya Fedha kutoka 01 June ya 2020 Mpaka 31 June ya 2020 Nikaingia Kwenye Computer Nikaziona

Bla bla bla .....

Wakili wa Serikali:Shahidi tufafanulie Maneno Ya Juu kama Sender Maana yake nini

Shahidi (Tigo): Send My Op namba 0719933386 Receiver 0787555200 Miamala wa Tarehe 20 Kiasi 500,0000 Tarehe 20 July 2020 Saa 2 na Dakika 21na Balance Ilikuwa 2.3M
Kwahiyo akaunti ya mteja siyo siri tena, eti akaunti ilibaki na shs2.3m. Hii siyo haki ya faragha kwa mteja.
 
Kibatala; Unasema kwamba siku hiyo ulikula chips?

Shahidi; Ndiyo, nilikula chips.

Wakati nafatilia mtririko wa hii kesi siku kadhaa nyuma, hiyo mistari miwili ilitosha kabisa kunijulisha kuwa hiyo wakili hatasaidia chochote, zaidi ya kuprolong muda na kujitafutia umaarufu.
 
Kibatala bado anapata mlo jamani, akiingia tu nawa tag..
Huyu wa leo Kibatala anamlia mlo kamili... Lazima aseme nani kamtuma

2001527_IMG-20190124-WA0004.jpeg
 
hahaha hii kesi ina udambwi dambwi mwingi, yani mwanasheria hajui jina lake linaishia na herufi gani what a joke?

Si kweli,unamsingizia,kwanini hamtaki kutulia na kusoma vizuri? Yeye ndiyo kawarekebisha hao waliochanganya kati ya R na L.So far huyu shahidi wa leo yupo vizuri maana anachokisema ni kile anachokifahamu,ndiyo maana mpaka sasa sijaona mbwembwe za maswali ya Mawakili wa utetezi kama kwa Mashahidi waliotangulia.Ngoja tusubiri Kibatala na yeye atakuja na style ipi ya kumhoji.
 
Wajameni hebu angalia hii printer isivyo na akili.

Shahidi anataka Taarifa ya miamala ya Kati tarehe 1/6/2020 Hadi 31/6/2020 yenyewe eti ikatoa tarehe ikatoa muamala wa tarehe 20/7/2020 kiasi laki tano tarehe nje ya muda uliotakiwa na wapelelezi. Hii printer fake kabisa!!! Sijui ilichanganyikiwa kuona mwezi wa sita

Una siku 31????

Shahidi: (Tigo) walitaka Taarifa za mihamala ya Fedha kutoka 01 June ya 2020 Mpaka 31 June ya 2020 Nikaingia Kwenye Computer Nikaziona

Wakili wa Serikali: Baada Ya Kuziona

Shahidi (Tigo): Send My Op namba 0719933386 Receiver 0787555200 Miamala wa Tarehe 20 Kiasi 500,0000 Tarehe 20 July 2020 Saa 2 na Dakika 21na Balance Ilikuwa 2.3M
 
Kwahiyo akaunti ya mteja siyo siri tena, eti akaunti ilibaki na shs2.3m. Hii siyo haki ya faragha kwa mteja.
Bado inahitajika ifanyike siri hata kwenye scenario muhimu namna hii? Ili kufacha nini kwenye swala zima la miamala??

Hata hivyo nadhani mnajua kabisa mamlaka iliyonayo serikali juu ya taarifa fulani za kimtandao pale inapohitajika, au kwakua ni kesi ya mtu fulani basi tunatakiwa tupinge?
 
Huyu Mwanasheria wa Tigo sijui kasomea wapi hata maswali anajikanyaga.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Jamaa yuko vizuri sana na ni sababu anaongea kile kitu anakifahamu na alikifanyia kazi,ndiyo maana si Mtobesya wala Mallya wamefurukuta kwa mbwembwe za Cross examination.Nasubiri zamu ya Kibatala
 
Si kweli,unamsingizia,kwanini hamtaki kutulia na kusoma vizuri? Yeye ndiyo kawarekebisha hao waliochanganya kati ya R na L.So far huyu shahidi wa leo yupo vizuri maana anachokisema ni kile anachokifahamu,ndiyo maana mpaka sasa sijaona mbwembwe za maswali ya Mawakili wa utetezi kama kwa Mashahidi waliotangulia.Ngoja tusubiri Kibatala na yeye atakuja na style ipi ya kumhoji.
Huyu wa leo ameanza na 31 June, akija kibatala atasema 32 June..
 
Matata: Wewe Ndiyo umepokea Barua, wewe Ndiyo umeprint Taarifa, na Wewe Ndiyo Umepeleka Majibu Polisi
hapa pia ni tatizo la mfumo kama unaruhusu hii kitu.

kama ni hivyo basi hili ni kosa la kiufundi.
 
Si kweli,unamsingizia,kwanini hamtaki kutulia na kusoma vizuri? Yeye ndiyo kawarekebisha hao waliochanganya kati ya R na L.So far huyu shahidi wa leo yupo vizuri maana anachokisema ni kile anachokifahamu,ndiyo maana mpaka sasa sijaona mbwembwe za maswali ya Mawakili wa utetezi kama kwa Mashahidi waliotangulia.Ngoja tusubiri Kibatala na yeye atakuja na style ipi ya kumhoji.
Kibatala ndo ana maswali ya kijinga tu, kuna muda ukimfatilia unaona kabisa anaenda pale kuprolong muda tu.

Wakili:Huwa unavaa miwani?
Shahidi: Ndio huwa ninavaa.
Wakili;Lakini hapa haujavaa.
Shahidi:Niulize maswali ya maana bwana😂
 
Matata: Kwa kuzingatia Umuhimu wa Usiri wa mteja Nisomee Kifungu cha 34 cha Sheria Ya Makosa ya Mtandao

Shahidi (Tigo): 34(i) Disclosure of Data.........

Matata: Utakubaliana na Mimi kwamba Pale panapohitajika Taarifa Ya Uchunguzi Police ambaye ni Ofisa anaweza Kuomba Taarifa Kwenu?

Shahidi (Tigo): Hapo anaongelea Ongoing Trafficking Data siyo Stored Data

Matata: Mh Jaji naomba Kielelezo
shughuli ishaanza
 
MUNGU akasimame na Mbowe na wenzake haya makatili yapigwe pigo kubwa sn hata ya kufiwa na watoto

Dah! Umefikia huko pa kuombea watoto vifo kisa Wazazi wao wamekukera? Vipi kama kifo cha mtoto kitaanzia kwa mtoto wako utamlaumu Mungu? Tubaki kwenye siasa,Watoto ambao ni Malaika wa Mungu tuwaondoe katika stress zetu za Siasa.
 
Ni muda muafaka sasa kwa wananchi wote kwa ujumla kususia huduma za tiGO...

Kwa mujibu wa wakili wao ambaye ni shahidi namba 5, amekiri kuwa taarifa za wateja wao huwa zinatolewa tu kwa vyombo vya kiuchunguzi pale wanapozihitaji pasipo hata kujua sababu ya kuhitajika taarifa hizo...

tiGO kama kampuni ya simu naamini inafahamu kitu kinachoitwa 'personal information security', ni kwa namna gani wao kama kampuni wanapaswa kulinda taarifa za wateja kwa gharama yoyote ile...

Mtumiaji wa simu anaponunua ile SIM card, hakuna mahali popote anapojifunga kwamba taarifa zake zozote ziwe tayari kutumika na serikali pale zitapohitajika...

Kama serikali inaona haja ya kuwa na taarifa za watu wake inapaswa iunde kitengo, taasisi yake binafsi iwe ni TCRA ambayo itahusika na hayo mambo...
 
Wakuu,
Nikiri ya kuwa sina taaluma ya sheria wala mienendo ya kesi mahakamani.
Lakini kuna kitu kinanishangaza kutoka kwa mawakili wa utetezi, karibu wote wanatumia.
Sijui maswali wanayouliza yana lengo gani kuu? Kuonesha ujuha wa waendesha mashtaka, na mashahidi au kuonesha "innocence" ya wateja wao?
Maana mawakili wa serikali wana lengo kuu moja kuonesha washitakiwa walikuwa na nia ovu ya kupanga na kutekeleza ugaidi!
Mawakili wasomi wa utetezi wanaonesha "usomi" wao tu bila kukinzana na lengo kuu la mashtaka!
Naomba kueleweshwa tafadhali
 
Kamuulize babako Kingai kilichomkuta kizimbani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yeye ndiyo anamjua “Kitabala” siyo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom