Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Screen short mkuu ameniudhi sn
Mtu akikutusi wewe m-report tuu wala usihangaike kujibizana naye.

Screenshot_20211102-130056.jpg
 
Mimi Ninachojua wote Ni polisi,ukimaliza ushahidi wako njoo uchukue laini yangu ya tigo,na hapa itakuwa mwisho kutumia laini ya tigo.hata mama kijijini sharti Ni moja hakuna pesa itakayotumwa kwenye laini ya tigo.
 
MUNGU akasimame na Mbowe na wenzake haya makatili yapigwe pigo kubwa sn hata ya kufiwa na watoto
Mnhh Ina maana Mbowe anakosa gani kufiwa na Kaka,na mama mkwe wakipishana miezi tu.
Tukubali tu kwamba duniani tunapita na si vinginevyo.
 
Mpaka Kesi hii itakapoisha sitakuwa Layman Tena maana ungumbaru wa Sheria utakuwa umenitoka.

Asante mkuu kwa kutuletea live hii pia Ni shule bila Ada.
Kabisa kaka. Tunajifunza. Hata kwa buku kumi tungeenda kucheki kesi ...
 
Sirro is DEVIL !
Huyu otu MUNGU amlaani na vizazi vyake vyote. Hamuwezi kumtungia mtu kesi ya namna hii mkabia salama
 
Kwenye nchi zetu sie mazwazwa na misukule ya CCM ndipo hizi Sheria zinafanya kazi.

Kwa wanaojielewa huu u$3ng3 haupo..

Kampuni kama apple FBI waliomba taarifa hawakupewa, just imagine FBI hawakupewa taarifa...

Mtandao kama twitter unamfungia raisi DTrump account...

Haipaswi kampuni yeyote Kutoa taarifa za mteja bila idhini yake...

Na hii michezo hata ukifahamiana tu na hao IT wa hizi kampuni, ukiomba tu taarifa za mtu fulani hata mkeo Wana print zoooteee...

Ndiyo maana nikamshangaa anaetaka kumtupia lawama huyu shahidi mfanyakazi wa Tigo,yeye kaitwa hapo kwa nafasi yake na kwa mujibu wa sheria za Nchi hii, kumtupia lawama ni kumwonea,hata angekuwa yeye anaemlaumu angetakiwa kufanya hivyo angetii pia.Si sawa kutupia lawama kila mtu kisa tu anatoa ushahidi kwa upande wa Jamuhuri,wengine wanalazimika kutoka na nafasi zao kama huyo mtafanyakazi wa Tigo.
 
Point! Silioni kosa la huyu shahidi wala Tigo wenyewe. Hili ni swala la kisheria na ni matakwa ya kisheria kwa wao kufanya hivyo kosa litakuja kama wanatoa taarifa za uongo

Inashangaza sana wanaotaka kumtupia lawama kijana wa watu,sijui walitaka akatae wakati ni kweli aliombwa taarifa na akazitoa
 
Back
Top Bottom