Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Mtu akikutusi wewe m-report tuu wala usihangaike kujibizana naye.Screen short mkuu ameniudhi sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akikutusi wewe m-report tuu wala usihangaike kujibizana naye.Screen short mkuu ameniudhi sn
Afadhali hatutaki matusi tunataka hoja
Neno Tigo lenyewe ni changamotoHahahaha.
Mwanasheria wa tiGO.
😂😂😂😂😂
Uzuri anayetoa laana ni Mungu si utashi wa mwanadamu.Kabisa laana ianze juu mpaka chini
1.Simion Sirro
2.Kingai
3.Mahita
4.Jumanne
5.Godluck
6.Justine kaaya
7.Anitha
8.coplo Hamidu
Mnhh Ina maana Mbowe anakosa gani kufiwa na Kaka,na mama mkwe wakipishana miezi tu.MUNGU akasimame na Mbowe na wenzake haya makatili yapigwe pigo kubwa sn hata ya kufiwa na watoto
Hamkosi sababuAisee
kutoka Frank akawa Fred na sasa ni Alfred haya ngoja tusikie viroja mahakamani bora hata vile Ondiek na Alexinda vinavunja mbavu
Kabisa kaka. Tunajifunza. Hata kwa buku kumi tungeenda kucheki kesi ...Mpaka Kesi hii itakapoisha sitakuwa Layman Tena maana ungumbaru wa Sheria utakuwa umenitoka.
Asante mkuu kwa kutuletea live hii pia Ni shule bila Ada.
Kwenye nchi zetu sie mazwazwa na misukule ya CCM ndipo hizi Sheria zinafanya kazi.
Kwa wanaojielewa huu u$3ng3 haupo..
Kampuni kama apple FBI waliomba taarifa hawakupewa, just imagine FBI hawakupewa taarifa...
Mtandao kama twitter unamfungia raisi DTrump account...
Haipaswi kampuni yeyote Kutoa taarifa za mteja bila idhini yake...
Na hii michezo hata ukifahamiana tu na hao IT wa hizi kampuni, ukiomba tu taarifa za mtu fulani hata mkeo Wana print zoooteee...
Point! Silioni kosa la huyu shahidi wala Tigo wenyewe. Hili ni swala la kisheria na ni matakwa ya kisheria kwa wao kufanya hivyo kosa litakuja kama wanatoa taarifa za uongo