ni lazima atoke nduki.Yeye ndiyo anamjua “Kitabala” siyo [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakuu,
Nikiri ya kuwa sina taaluma ya sheria wala mienendo ya kesi mahakamani.
Lakini kuna kitu kinanishangaza kutoka kwa mawakili wa utetezi, karibu wote wanatumia.
Sijui maswali wanayouliza yana lengo gani kuu? Kuonesha ujuha wa waendesha mashtaka, na mashahidi au kuonesha "innocence" ya wateja wao?
Maana mawakili wa serikali wana lengo kuu moja kuonesha washitakiwa walikuwa na nia ovu ya kupanga na kutekeleza ugaidi!
Mawakili wasomi wa utetezi wanaonesha "usomi" wao tu bila kukinzana na lengo kuu la mashtaka!
Naomba kueleweshwa tafadhali
Kwani hayo maelezo yaliyoandikwa yeye hakuyapitia kabla kuja kuya present hapo court?Si kweli,unamsingizia,kwanini hamtaki kutulia na kusoma vizuri? Yeye ndiyo kawarekebisha hao waliochanganya kati ya R na L.So far huyu shahidi wa leo yupo vizuri maana anachokisema ni kile anachokifahamu,ndiyo maana mpaka sasa sijaona mbwembwe za maswali ya Mawakili wa utetezi kama kwa Mashahidi waliotangulia.Ngoja tusubiri Kibatala na yeye atakuja na style ipi ya kumhoji.
Yes, hata mimi nimegundua tatizo ni wewe.Wakuu,
Nikiri ya kuwa sina taaluma ya sheria wala mienendo ya kesi mahakamani.
Lakini kuna kitu kinanishangaza kutoka kwa mawakili wa utetezi, karibu wote wanatumia.
Sijui maswali wanayouliza yana lengo gani kuu? Kuonesha ujuha wa waendesha mashtaka, na mashahidi au kuonesha "innocence" ya wateja wao?
Maana mawakili wa serikali wana lengo kuu moja kuonesha washitakiwa walikuwa na nia ovu ya kupanga na kutekeleza ugaidi!
Mawakili wasomi wa utetezi wanaonesha "usomi" wao tu bila kukinzana na lengo kuu la mashtaka!
Naomba kueleweshwa tafadhali
Huyu wa leo ameanza na 31 June, akija kibatala atasema 32 June..
Ukisusia tiGO utahamia mtandao gani mwingine? Maana mitandao yote imeshawahi kutoa ushahidi mahakamani.Ni muda muafaka sasa kwa wananchi wote kwa ujumla kususia huduma za tiGO...
Kwa mujibu wa wakili wao ambaye ni shahidi namba 5, amekiri kuwa taarifa za wateja wao huwa zinatolewa tu kwa vyombo vya kiuchunguzi pale wanapozihitaji pasipo hata kujua sababu ya kuhitajika taarifa hizo...
tiGO kama kampuni ya simu naamini inafahamu kitu kinachoitwa 'personal information security', ni kwa namna gani wao kama kampuni wanapaswa kulinda taarifa za wateja kwa gharama yoyote ile...
Mtumiaji wa simu anaponunua ile SIM card, hakuna mahali popote anapojifunga kwamba taarifa zake zozote ziwe tayari kutumika na serikali pale zitapohitajika...
Kama serikali inaona haja ya kuwa na taarifa za watu wake inapaswa iunde kitengo, taasisi yake binafsi iwe ni TCRA ambayo itahusika na hayo mambo...
Wewe ni mlala hoi, bodaboda na miata vijiweni uliefanikiwa kununuliqa simu na shemeji yako.Huna watoto, na wala hujui thamani ya familia ndomaana siasa zinakufanya uombee mabaya watoto wa wenzako ilihali haziwahusu kabisa.MUNGU akasimame na Mbowe na wenzake haya makatili yapigwe pigo kubwa sn hata ya kufiwa na watoto
achana nao hao mkuu, wameshindwa kutengeneza ushahidi - kumfunga mtu kwa kosa ambalo hajalifanya si kazi ya kitoto ati.Kama hujui na si taaluma yako mkuu inabidi utulie tu, kila swali linaloulizwa lina maana wao sio wajinga
Polisi mwingine akasema Terrorism ni mambo ya utalii!Kwa hiyo ugaidi ulikuwa financed na hiyo laki tano!!?? ama sijaelewa!??
mbona hii hela haitoshi hata kununua gobole
Tusubiri..Shahidi wa leo yuko vizuri,si unaona kina Mtobesya wameishia kuuliza maswali juu juu tu[emoji3][emoji3]
Wakuu,
Nikiri ya kuwa sina taaluma ya sheria wala mienendo ya kesi mahakamani.
Lakini kuna kitu kinanishangaza kutoka kwa mawakili wa utetezi, karibu wote wanatumia.
Sijui maswali wanayouliza yana lengo gani kuu? Kuonesha ujuha wa waendesha mashtaka, na mashahidi au kuonesha "innocence" ya wateja wao?
Maana mawakili wa serikali wana lengo kuu moja kuonesha washitakiwa walikuwa na nia ovu ya kupanga na kutekeleza ugaidi!
Mawakili wasomi wa utetezi wanaonesha "usomi" wao tu bila kukinzana na lengo kuu la mashtaka!
Naomba kueleweshwa tafadhali
Mtume Roho yangu... wapishi wa hii kesi kiukweli wamefanya serikali iaibike kisawasawa!!!Kibatala: Bado unataka tukubali kuwa humfahamu Freeman Mbowe kama Kiongozi wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani Tanzania?
Shahidi (Tigo): Ndiyo sifahamu, Wapo wengi
lakini laana ya kusingizia capital offence kama ya mbowe INAKULA MPAKA KIZAZI CHA NNE. , kwahiyo jamaa hapo amenukuu BilbliaDah! Umefikia huko pa kuombea watoto vifo kisa Wazazi wao wamekukera? Vipi kama kifo cha mtoto kitaanzia kwa mtoto wako utamlaumu Mungu? Tubaki kwenye siasa,Watoto ambao ni Malaika wa Mungu tuwaondoe katika stress zetu za Siasa.
Mteja wa mitandao ya mawasiliano ya simu iliyopo JMT hana haki yoyote ya faragha, ndo mwanasheria anachotuambia hapaKwahiyo akaunti ya mteja siyo siri tena, eti akaunti ilibaki na shs2.3m. Hii siyo haki ya faragha kwa mteja.
Ukisusia tiGO utahamia mtandao gani mwingine? Maana mitandao yote imeshawahi kutoa ushahidi mahakamani.
makampuni mengi ya simu nafikiri yanafanya kosa hili, dogo naanza kumhurumia maskini hana kosa ila Police wamemponza.Matata: Kuna Kosa Umeandika hapa Wakati Unajibu Barua hii Kuhusiana na Uchunguzi
Shahidi (Tigo): Kuna Dash Hakuna Kosa
Shahidi (Tigo): Hapakuwa na Haja hiyo
Matata: Kwa hiyo Polisi Wakikuandikia Barua ya Kutaka Taarifa Bila Kukutajia Makosa
Shahidi (Tigo): Nitampa
Bro I guarantee you hii mitandao ya simu hapa kwetu kwenye suala la privacy ni 0..Pia kuna jambo naona huyo Wakili kama atakua kakosea (wengine mtasahihisha)...
Katika utendaji kazi kwenye makampuni ya simu, wakili hana ruksa ya kuchungulia server yoyote inayohifadhi taarifa za wateja...
Kwa kawaida kazi hiyo hufanywa na System Admin, ambao hao watu huwa ni sehemu ya IT Dept...
Taarifa binafsi za watu sio za kila mtu tu kuziona au kuweza kuzifikia...