Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Wakuu,
Nikiri ya kuwa sina taaluma ya sheria wala mienendo ya kesi mahakamani.
Lakini kuna kitu kinanishangaza kutoka kwa mawakili wa utetezi, karibu wote wanatumia.
Sijui maswali wanayouliza yana lengo gani kuu? Kuonesha ujuha wa waendesha mashtaka, na mashahidi au kuonesha "innocence" ya wateja wao?
Maana mawakili wa serikali wana lengo kuu moja kuonesha washitakiwa walikuwa na nia ovu ya kupanga na kutekeleza ugaidi!
Mawakili wasomi wa utetezi wanaonesha "usomi" wao tu bila kukinzana na lengo kuu la mashtaka!
Naomba kueleweshwa tafadhali

Kama hujui na si taaluma yako mkuu inabidi utulie tu, kila swali linaloulizwa lina maana wao sio wajinga
 
Si kweli,unamsingizia,kwanini hamtaki kutulia na kusoma vizuri? Yeye ndiyo kawarekebisha hao waliochanganya kati ya R na L.So far huyu shahidi wa leo yupo vizuri maana anachokisema ni kile anachokifahamu,ndiyo maana mpaka sasa sijaona mbwembwe za maswali ya Mawakili wa utetezi kama kwa Mashahidi waliotangulia.Ngoja tusubiri Kibatala na yeye atakuja na style ipi ya kumhoji.
Kwani hayo maelezo yaliyoandikwa yeye hakuyapitia kabla kuja kuya present hapo court?

Ni kweli shahidi wa leo yupo vizuri ila kuna angle amabazo zilimlazimu kwa mujibu wa sheria kuzipitia na yeye hakufanya hivyo, na hapo ndipo uhalali wa ushahidi wake unapoingia mashaka
 
Wakuu,
Nikiri ya kuwa sina taaluma ya sheria wala mienendo ya kesi mahakamani.
Lakini kuna kitu kinanishangaza kutoka kwa mawakili wa utetezi, karibu wote wanatumia.
Sijui maswali wanayouliza yana lengo gani kuu? Kuonesha ujuha wa waendesha mashtaka, na mashahidi au kuonesha "innocence" ya wateja wao?
Maana mawakili wa serikali wana lengo kuu moja kuonesha washitakiwa walikuwa na nia ovu ya kupanga na kutekeleza ugaidi!
Mawakili wasomi wa utetezi wanaonesha "usomi" wao tu bila kukinzana na lengo kuu la mashtaka!
Naomba kueleweshwa tafadhali
Yes, hata mimi nimegundua tatizo ni wewe.
 
Pia kuna jambo naona huyo Wakili kama atakua kakosea (wengine mtasahihisha)...

Katika utendaji kazi kwenye makampuni ya simu, wakili hana ruksa ya kuchungulia server yoyote inayohifadhi taarifa za wateja...

Kwa kawaida kazi hiyo hufanywa na System Admin, ambao hao watu huwa ni sehemu ya IT Dept...

Taarifa binafsi za watu sio za kila mtu tu kuziona au kuweza kuzifikia...
 
Ni muda muafaka sasa kwa wananchi wote kwa ujumla kususia huduma za tiGO...

Kwa mujibu wa wakili wao ambaye ni shahidi namba 5, amekiri kuwa taarifa za wateja wao huwa zinatolewa tu kwa vyombo vya kiuchunguzi pale wanapozihitaji pasipo hata kujua sababu ya kuhitajika taarifa hizo...

tiGO kama kampuni ya simu naamini inafahamu kitu kinachoitwa 'personal information security', ni kwa namna gani wao kama kampuni wanapaswa kulinda taarifa za wateja kwa gharama yoyote ile...

Mtumiaji wa simu anaponunua ile SIM card, hakuna mahali popote anapojifunga kwamba taarifa zake zozote ziwe tayari kutumika na serikali pale zitapohitajika...

Kama serikali inaona haja ya kuwa na taarifa za watu wake inapaswa iunde kitengo, taasisi yake binafsi iwe ni TCRA ambayo itahusika na hayo mambo...
Ukisusia tiGO utahamia mtandao gani mwingine? Maana mitandao yote imeshawahi kutoa ushahidi mahakamani.
 
MUNGU akasimame na Mbowe na wenzake haya makatili yapigwe pigo kubwa sn hata ya kufiwa na watoto
Wewe ni mlala hoi, bodaboda na miata vijiweni uliefanikiwa kununuliqa simu na shemeji yako.Huna watoto, na wala hujui thamani ya familia ndomaana siasa zinakufanya uombee mabaya watoto wa wenzako ilihali haziwahusu kabisa.
 
Kama hujui na si taaluma yako mkuu inabidi utulie tu, kila swali linaloulizwa lina maana wao sio wajinga
achana nao hao mkuu, wameshindwa kutengeneza ushahidi - kumfunga mtu kwa kosa ambalo hajalifanya si kazi ya kitoto ati.
 
Kwa hiyo ugaidi ulikuwa financed na hiyo laki tano!!?? ama sijaelewa!??
mbona hii hela haitoshi hata kununua gobole
Polisi mwingine akasema Terrorism ni mambo ya utalii!
Naanza kuelewa kwanini Msumbiji iliomba msaada kwa Rwanda kupambana na magaidi
 
Wakuu,
Nikiri ya kuwa sina taaluma ya sheria wala mienendo ya kesi mahakamani.
Lakini kuna kitu kinanishangaza kutoka kwa mawakili wa utetezi, karibu wote wanatumia.
Sijui maswali wanayouliza yana lengo gani kuu? Kuonesha ujuha wa waendesha mashtaka, na mashahidi au kuonesha "innocence" ya wateja wao?
Maana mawakili wa serikali wana lengo kuu moja kuonesha washitakiwa walikuwa na nia ovu ya kupanga na kutekeleza ugaidi!
Mawakili wasomi wa utetezi wanaonesha "usomi" wao tu bila kukinzana na lengo kuu la mashtaka!
Naomba kueleweshwa tafadhali

Watakuja kukuelewa mwisho wa hii kesi,kwa sasa wao wanafurahia mbwembwe za mawakili wa utetezi na maswali yao ya “uliprint au screenshot”[emoji3][emoji3]
 
Dah! Umefikia huko pa kuombea watoto vifo kisa Wazazi wao wamekukera? Vipi kama kifo cha mtoto kitaanzia kwa mtoto wako utamlaumu Mungu? Tubaki kwenye siasa,Watoto ambao ni Malaika wa Mungu tuwaondoe katika stress zetu za Siasa.
lakini laana ya kusingizia capital offence kama ya mbowe INAKULA MPAKA KIZAZI CHA NNE. , kwahiyo jamaa hapo amenukuu Bilblia
 
Kwahiyo akaunti ya mteja siyo siri tena, eti akaunti ilibaki na shs2.3m. Hii siyo haki ya faragha kwa mteja.
Mteja wa mitandao ya mawasiliano ya simu iliyopo JMT hana haki yoyote ya faragha, ndo mwanasheria anachotuambia hapa
 
Ukisusia tiGO utahamia mtandao gani mwingine? Maana mitandao yote imeshawahi kutoa ushahidi mahakamani.

Hadi hapa nilipo mimi sio mteja wa huo mtandao...

Hizi nchi zetu mkuu zenye mambo ya kubambikiana, majambazi na kila maovu juu ya watu, hivi kama taarifa za mtu zinapatikana kirahisi tu hivyo huoni kama ni hatari??

Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu 😁

Kupitia taarifa zako za kimtandao, unaweza ukajulikana mambo yako kibao, hadi pattern za namna unavyoroam mjini (kupitia locations za minara ya simu)

Unakuja tekwa au vamiwa na jamaa wanaojua mienendo yako yote na unashangaa wamejuaje hadi miamala yako...
 
Matata: Kuna Kosa Umeandika hapa Wakati Unajibu Barua hii Kuhusiana na Uchunguzi

Shahidi (Tigo): Kuna Dash Hakuna Kosa

Shahidi (Tigo): Hapakuwa na Haja hiyo

Matata: Kwa hiyo Polisi Wakikuandikia Barua ya Kutaka Taarifa Bila Kukutajia Makosa

Shahidi (Tigo): Nitampa
makampuni mengi ya simu nafikiri yanafanya kosa hili, dogo naanza kumhurumia maskini hana kosa ila Police wamemponza.
 
Pia kuna jambo naona huyo Wakili kama atakua kakosea (wengine mtasahihisha)...

Katika utendaji kazi kwenye makampuni ya simu, wakili hana ruksa ya kuchungulia server yoyote inayohifadhi taarifa za wateja...

Kwa kawaida kazi hiyo hufanywa na System Admin, ambao hao watu huwa ni sehemu ya IT Dept...

Taarifa binafsi za watu sio za kila mtu tu kuziona au kuweza kuzifikia...
Bro I guarantee you hii mitandao ya simu hapa kwetu kwenye suala la privacy ni 0..
Ukifahamiana hata na secretary mpeleka chai kwa boss, ana print taarifa za yeyote we mpatie namba tu..
Kweli nakuambia..
 
Back
Top Bottom