Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Huyu Jumanne ndiye yule akiwa na wenzake walimuwekea mzee wa watu meno ya ng'ombe kwenye mizinga yake na wakamwambia Ni meno ya Tembo wakampola milioni 100?

View attachment 2002918
Habari hii ni ya kweli?

Na tunaamini kwamba kweli Mungu yupo; na tunasimama mbele ya mahakama na kuapa kwa jina lake?

Hapana, hatuhitaji uwepo wa Mungu kwa binaadam kufanya ubinaadam kwa binaadam wenzako.
 
Mawakili wa utetezi..mnatufundisha kitu humu...mnawapa skuli waliotumwa kutetea uongo...ama uwe ukweli au ubaki kuwa uwongo..Mpaka kesi inaishi tutagraduate humu....hongereni Sana!!
Kwa elimu tu sio haba. Inanifundisha na mimi kuwa makini kwenye kazi yangu niliyosomea.

Akina Kibatala had been always a class to learn.

Angekuwepo yule Kichwa Tundu Lissu a learned civilized person naona Majaji kesi wangeitema.
 
hii ngoma nzito..!
 
Kwa elimu tu sio haba. Inanifundisha na mimi kuwa makini kwenye kazi yangu niliyosomea.

Akina Kibatala had been always a class to learn.

Angekuwepo yule Kichwa Tundu Lissu a learned civilized person naona Majaji kesi wangeitema.
Hata hao tu wanatosha yaan kumfunga watalazimisha tu kama bao la mkono na ndio maana wanabadilisha majaji naona huyu naye hatomaliza atakuja mwingine
 
Kwamba mawakili wa serikali wamekiri hakuna Sheria iliyofanyiwa marekebisho Mwaka 2018 pia kwamba tangu Mwaka 1993 Mpaka kesi hii inaanza Hakuna Marekebisho ya Kifungu cha 38, lakini wamewasilisha kielelezo chini ya kifungu cha 38 kilichofanyiwa marekebisho 2018, tunakazia:

"Hata haya mapingamizi Mh. Jaji ukayatupe tena - hayana mashiko."
 
Hata hao tu wanatosha yaan kumfunga watalazimisha tu kama bao la mkono na ndio maana wanabadilisha majaji naona huyu naye hatomaliza atakuja mwingine
Vya mjinga huliwa na mwelevu. Wacha hao majaji wale hizo pesa za wajinga.
 
1.) Mtu akishikwa na madawa si hupimwa mkojo nk.
- Hawa hawakupimwa kama wanatumia madawa kwakuwa polishi wanajua ukweli hawakuwa na hayo mavitu!!
2.) Gaidi hatari alotoroka tungetangaziwa tutoe taarifa tukimuona ña zawadi nono tungeahidiwa...
- Haikutangazwa popote kwakuwa wanajua hana hatari wala ugaidi wowote!!

Watu waache kunajisi madaraka au vyeo walivyoazimwa... hua vinarudishwa!!
 
MBOWE ondoa mawakili, hiyo kesi hushindi
'Buji', aondoe mawakili, halafu itakuwaje? Ataachiwa huru?

Atafungwa tu vilevile kama walishaamua iwe hivyo. Ni bora upuuzi wa serikali uanikwe nje nje na mawakili kila mtu aone na kutambua jinsi tulivyo na serikali ya kiharamia.

Hii itakuwa ni sehemu muhimu ya kuwaonyesha wananchi na jamii ya kimataifa uharamia wa serikali tuliyonayo Tanzania.

Usisahau, hawa viongozi ni watafuta sifa na kutaka heshima wasizozistahili. Acha kesi iwaache uchi.
 
Huyu hakimu anapokea maelekezo kutoka kwa madam kabisa. Haiwezekan huu utumbo uwepo mahakamani mpaka leo na inaonesha mahakama sio muhimili unaojitegemea.

Kwanini wasichutame wakafuta kesi hii maana wanazidi kujidhalilisha na kutudhalilisha watanzania wote. Inakera sana
 
Huyu kesho aandaliwe maswali konki Hadi ajiharishie
 
Mheshimiwa Jaji ameondoka na homework. Anaenda kupigwa shule na majaji viongozi akirudi kikosi chetu pendwa cha utetezi kinapangua kama kawa!
 
Kesi yA kubumba
 
Huyu Jaji Liganga ni wa ajabu kabisa . Hata kijana wa IJA (Chuo cha mahakama Lushoto , certificate na diploma) anafahamu kuwa non citation or wrong citation of the enabling provision of the law to MOVE the court ni fatal. Sasa kweli hili lina cha kuhairisha kesi mpaka kesho , angelitoa uamuzi hapo hapo Erythrocyte , mkataeni huyu jaji please! MKATAENI HUYU JAJICCM, ameletwa kutoka mwanza kwa kazi maalumu...KUMFUNGA MBOWE.
Nawawekea kesi msome
 

Attachments

Naungana na Lema watoe mawakili hakuna kesi hapa ni uonezi tu. Huyu mama yetu ni Mzanzibar kweli?!
Kwa nini unawarahisishia kazi? Si watamfunga tu, halafu na kumtoa ili wapate sifa?

Acha mawakili waweke ujuha wao wazi kila mtu auone; baada ya hapo, hata wakimfunga aibu itakuwa kwao.
 
Sijawahi msikitikia....
 
Walichukua 100m mkuu mstaafu alikua na 70m akaomba msaada wa 30m kutoka kwa mdogo wake hao majambazi walikua saba...
Tangu enzi za Yesu na yohana mbatizaji Polisi ni watu waovu

"..na sisi he tufanye nini!?" Wakimuuliza Yohana mbatizaji

Waliambiwa wasidhulumu,kubambia kesi watu na watosheke na mishahara yao.

Hio kazi Ina laana tangu enzi na enzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…