Sasa tumbuka yeye, kama unavyosema ni kweli!Yawezekana Rais Samia kaamua iendelee ili awaumbue hawa watu, kumbuka hii kesi ilikuwa fomulated kipindi cha yule DPP aliyetumbuliwa. wacha tuone hadi mwisho.
Mi mpaka sasa sioni huo ugaidi uko wapiUmeona holes nyingi sana! Kibaya zaidi ni kuhusu hao washukiwa kuwa watatu mpaka hatua za mwisho. Huku timu za wakamataji zikiwa mbili na zote hazielezi mtu wa tatu alikuwa nani!! Binafsi nadhani huyu wa tatu alikuwa Urio na ndio informer so wasingeweza kumkamata!! Sasa ninadhani hata jaji hawezi kuwa na picha ya sehemu ya tukio. Mara grocery, kibanda umiza, mara wamekaa tu, mara walikuwa wakisajiri laini za simu! Mara watatu wamekaa na kutambulika, lakini kuanzia hapo ghafla ni watu wawili. Mara wameenda Arusha kumtafuta Lijenje lakini wakiwa hawajui jina la dadake wala anaishi wapi lakini walienda anyways!!
Mashahidi wengine wanasema ilikuwa ni madawa ya kulevya, namba 08 kawa smart - kasema inafikiriwa ni madawa ya kulevya. Na bado hizo kete haziko mahakamani kama madawa au si madawa. Risasi tatu dhidi ya moja iliyoletwa mahakamani.
Sitashangaa nikisikia jamaa walikuwa na silaha wanayoimiliki isiyo halali lakini hawakuwa wahalifu. Ikimbukwe walikuwa sio hata waajiriwa wa Mbowe bado so sijui silaha hiyo ingehusika vipi na magogo ya barabarani, maandamano yasiyo na kikomo. Jamhuri itashindwa kuunganisha silaha hii na ugaidi!! Ni
kwa sababu kumiliki silaha hakumfanyi aliyenayo kuwa mhalifu kimatendo. Kumiliki kihalali hakumfanyi mtu kudhaniwa hataitumia kuua mtu mwingine - actually wanapewa ili wauwe. Je bastola hii ilikusudiwa kumuua mtu specific, that is hard to prove mpk sasa.
I guess itakuwa hiviJaji anaenda kupokea vitisho na kesho hati itapokelewa mpende msipende
Mkuu, acha iedelee tushuhudie uovu. Hata hakimu hataweza kujiabisha hata kama ...Naungana na Lema watoe mawakili hakuna kesi hapa ni uonezi tu. Huyu mama yetu ni Mzanzibar kweli?!
Kesho patachimbika, lazima aulizwe suala la kumuwekea meno ya tembo yule profesa arusha,. Atarusha ngumi kesho J4Nasubiri maswali atakayoulizwa J4 kesho panapo majaaliwa ni kucheka kwa kwenda mbele huyo kazi anayo kesho kwa wale wananchi hadi wao wanajiogopa...
Ambayo ndiyo matakwa ya hangaya.Hapana, kutoka kwa yule jaji aliye zawadiwa ujaji kiongozi, naye akamzawadia huyu jamaa hiyo kesi!
Wangelikuwa watu wa system wangelisubiri kwanza wakusanye ushahidi wa kutosha ili kuweza kumtia hatiani na sio kama sasa na huu ushahidi wa kuunga unga.Tuombe Mungu sana hawa jamaa wanaotuhumiwa pamoja na Mbowe wasije wakawa watu wa system. Maana hawashindwi.
Hili swala nimelifikiria leo. Isije ikawa jamaa alipelekewa watu wa TISS kujifanya ni walinzi wake afu mwisho wa siku wakiri kuhusika na huo ugaidi unaotajwa then wale namba wote baadae wao watolewe kwenda kuendelea na mbinu chafu.
Dhuluma huwa na mbinu nyingi ila mwisho ukweli husimama.
Kesho jaji bila soni wala aibu atatupilia mbali pingamizi la utetezi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kusimamishwa siyo kuachishwa.si tuliambiwa amesimamishwa kazi? au ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite?
Haiwezi kuishia njiani kesi, kisa ushahidi mbaya,, kitendo tu cha kesi kusikizwa kila siku (haijapata kutokea) maana yake kuna mtu above, kachoshwa na hii kesi na anataka iishe chap,, vinginevyo hii kesi ingeenda miaka hata mitano,,Huyu hakimu anapokea maelekezo kutoka kwa madam kabisa. Haiwezekan huu utumbo uwepo mahakamani mpaka leo na inaonesha mahakama sio muhimili unaojitegemea.
Kwanini wasichutame wakafuta kesi hii maana wanazidi kujidhalilisha na kutudhalilisha watanzania wote. Inakera sana
Mzee wa Csqr =Bsqr +Asqr!! Umenena kweliKwa elimu tu sio haba. Inanifundisha na mimi kuwa makini kwenye kazi yangu niliyosomea.
Akina Kibatala had been always a class to learn.
Angekuwepo yule Kichwa Tundu Lissu a learned civilized person naona Majaji kesi wangeitema.