Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi za kisiasa ndivyo zinavyotengenezwa, hakuna jipya. Ukifuatilia jinsi Kagame wa Rwanda anavyowafunga wanaompinga utaona Samia alichojifunza ziara ya Rwanda, alienda kuchota (udikteta styles) kule.Hii kesi hii.... haimwachi mtu salama...
Gov kupeleka mashahidi 20+, wamedhamiria..
Magufuli anaingiaje hapa?Shaidi wa leo anaoneshwa majibu kabisa kwenye karatasi, mpaka JaJiCCM anaona aibu, hii nchi Magufuli aliiangamiza pakubwa.
Tayari,kimeumana tenaKibatala na Mallya wakianza kuuliza maswali mnishtue 💪💪
Hii nchi ina chekesha sana. Yaani mbunge wa Ccm ana kamatwa na bunduki zaidi ya kumi sio gaidi. Bastola yenye risasi tatu imekuwa gaidi. Huu uonevu iko sikuBaada ya Ijumaa kesi kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani.
Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami.
=====
Jaji ameingia
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa hapa
WS Robert Kidando anasimama
Jaji: Ndiyo
Robert Kidando anatambulisha Jopo la mawakili wa serikali
Wote wanawakilisha Jamhuri katika kesi hii...
- Abdallah Chavula
- Jenitreza Kitali
- Pius Hilla
- Nassoro Katuga
- Esther Martin
- Tulimanywa Majige
- Ignasi Mwinuka
Wakili Peter Kibatala nae anasimama na anatambulisha Jopo la mawakili wa upande utetezi.
Magu hakuwa Rais, na angetawala miaka 30 zaidi kama CCM walivyotaka hii nchi ingekuwa zaidi ya Somalia, the guy was shortly not a leader - alitawala nchi yetu kishamba sana imagine kumpa mamlaka ya kishenzi Sabaya kutesa watu - useless kabisa. bora amekufa (Mungu nisamehe )Shaidi wa leo anaoneshwa majibu kabisa kwenye karatasi, mpaka JaJiCCM anaona aibu, hii nchi Magufuli aliiangamiza pakubwa.
Kule Shinyanga.Hii nchi ina chekesha sana. Yaani mbunge wa Ccm ana kamatwa na bunduki zaidi ya kumi sio gaidi. Bastola yenye risasi tatu imekuwa gaidi. Huu uonevu iko siku
Kama huo ukamataji ulishapangwa na watuhumia walishajulikana walikokuwa ilishindikana nini kuchukua viongozi wa mtaa walikokuwa na wao washudie tangu ukamataji ikajulikana watuhumiwa walikuwa na vitu gani walivyovibeba? Sasa wameshawakamata ndiyo wanaenda kuwatafuta mashuhuda je kama waliwawekea hiyo silaha kabla hao mashuhuda hawakufika kuona?Baada ya Ijumaa kesi kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani.
Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami.
=====
Maswali ni mengi bila majibu. Kwanini Askari wote waliokwenda kuwakamata watuhumiwa wametoka nje ya mkoa wa K'manjaro?? Mbona hawajamshirikisha hata mmoja na ndio wanaofagamu maeneo yale???Kama huo ukamataji ulishapangwa na watuhumia walishajulikana walikokuwa ilishindikana nini kuchukua viongozi wa mtaa walikokuwa na wao washudie tangu ukamataji ikajulikana watuhumiwa walikuwa na vitu gani walivyovibeba? Sasa wameshawakamata ndiyo wanaenda kuwatafuta mashuhuda je kama waliwawekea hiyo silaha kabla hao mashuhuda hawakufika kuona?
Ni jangili anayetumia uniform kufanya uporajiHuyu Jumanne ndiye yule akiwa na wenzake walimuwekea mzee wa watu meno ya ng'ombe kwenye mizinga yake na wakamwambia Ni meno ya Tembo wakampola milioni 100?
View attachment 2002918
Hiyo ilisukwa mzee hakuna kesi ni uonevu tupuMaswali ni mengi bila majibu. Kwanini Askari wote waliokwenda kuwakamata watuhumiwa wametoka nje ya mkoa wa K'manjaro?? Mbona hawajamshirikisha hata mmoja na ndio wanaofagamu maeneo yale???
Hata kamati ya ulinzi na usalama mkoa haijui achilia mbali ile ya wilaya walikokwenda kukamata watuhumiwa! Yaan magaidi wako tayari hadi kuua lakini kamati ya ulinzi na usalama haijui adi wameenda kuokolewa na kina kingai kutoka arusha na arumeru, wanataja watu watatu kuwa pamoja lakini walikamata wawili, mbona yule wa tatu hawanyooshi maelezo? Eti akapotea kimazingara watu hawakuwa na hata Mia mbovu mfukoni alielekea wapi??? Mwingine akasema walikuwa kibanda cha kusajili line, wengine grocery, mwingine kibanda umiza, mahita akasema umati ulikusanyika watu wakajaa pale wakachagua mashahidi leo anasema akaenda kwenye vibanda vyao kutafuta watu mhhhh!Maswali ni mengi bila majibu. Kwanini Askari wote waliokwenda kuwakamata watuhumiwa wametoka nje ya mkoa wa K'manjaro?? Mbona hawajamshirikisha hata mmoja na ndio wanaofagamu maeneo yale???
Umekosea wapi kwaniMagu hakuwa Rais, na angetawala miaka 30 zaidi kama CCM walivyotaka hii nchi ingekuwa zaidi ya Somalia, the guy was shortly not a leader - alitawala nchi yetu kishamba sana imagine kumpa mamlaka ya kishenzi Sabaya kutesa watu - useless kabisa. bora amekufa (Mungu nisamehe )
Kwa kweli dhalim alileta udhalimu Tanzania.Dhalim alituharibia sana nchi kwa kufuga majambazi wanaovaa uniform,bora covid ilipita naye