Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Nasubiri maswali atakayoulizwa J4 kesho panapo majaaliwa ni kucheka kwa kwenda mbele huyo kazi anayo kesho kwa wale wananchi hadi wao wanajiogopa...
 
Hiyo Bastola wange ikata vipande wakazipelwka mikoani ndiyo ingeende kufanya kazi ya kukata magogo,kuua kina Sabaya na kulipia Vitui vya mafuta.
 
Jaji anaenda kupata maelekezo toka kwa Hangaya
 
Maswali ni mengi bila majibu. Kwanini Askari wote waliokwenda kuwakamata watuhumiwa wametoka nje ya mkoa wa K'manjaro?? Mbona hawajamshirikisha hata mmoja na ndio wanaofagamu maeneo yale???
Mkuu 'Halaiser', asante sana. Hili swali nilikuwa najiuliza sana kwa ni ni ni hivyo. Bado nasubiri jibu lake na pengine hata Mawakili Wasomi watataka ielezwe kwa nini hakuna polisi wa huko Moshi hata mmoja aliyeshirikishwa kwenye tukio hili.

Kuna maswali mengi sana yasiyo na majibu kuhusu uigizaji huu.
 
Mimi nashangaa tu, watuhumiwa watatu walijulikana wapo Rau mavazi yakawa described siku moja kabla ya kukamatwa, na ukamataji ukafanyika kesho yake paleoale Rau minus mtuhumiwa mmmoja,
Sasa najiuliza ina maana walikua pale kwa zaidi ya masaa 17 wakingoja kukamatwa?, Mtuhumiwa wa tatu aliyeyuka vipi wakati kipinda wanawazunguka kuwakamata alikuwepo hapo bandani?
 
Hii ilikuwa ni blunder kubwa sana. Mashahidi wanasema ni madawa ya kulevya (ambayo mpaka sasa maabara haijathibitisha), shahidi aliyepekua anasema vitu vimefungwa vikidhaniwa ni madawa ya kulevya!! Mzigo huo hauwezi kuwa both ni madawa na sio madawa!! Kwanini mashitaka hayana madawa ya kulevya kwa mujibu wa mashahidi - sijui!! Polisi watasemaje kuwa hayakuwa madawa ya kulevya bila kufanya vipimo ambavyo wamekiri hawakufanya??

Kufanya kazi kwa mazoea katika dunia hii yenye teknolojia sio sahihi.
 
ajabu sana
 
Mawakili wa utetezi..mnatufundisha kitu humu...mnawapa skuli waliotumwa kutetea uongo...ama uwe ukweli au ubaki kuwa uwongo..Mpaka kesi inaishi tutagraduate humu....hongereni Sana!!
 
umesikia kuna kesi ya madawa ya kulevya- kesi iliyopo ni ya ugaidi- HAYAHUSIKI
Kwan uliskia kuna kesi ya umiliki wa silaha isivyo halali mbn nayo ilipelekwa maabara kuchunguzwa
 
Akaulizwa tena umeshamtaja Sabaya wengini ni akina nani akasema "Sabaya" Yaani Shahidi mpala kachanganyikiwa.

Hii kesi aliidrafti Sabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…