Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Mbona kama Urio anasaffer from short term memory loss, anaulizwa swali hili anajibu ivi.
 
Kuliwahi kuwa na Kilaza, Kihiyo...
Akaja Bashite... Sasa yupo Urio na Kingai.
Ni majina ambayo ukiitwa watu wanarudia kukucheki mara mbili mbili..
 
Luteni Urio ni turning point kwa watuhumiwa na yeye binafsi.Komando hatakiwi kuwa msaliti na ajifahamu kuwa ni kiongozi na mwalimu wa Adam,Bwire,Ling'wenya,Lijenje na wengine wanaoteswa na Kikosi Maalum.

Lazima atuthibitishie uzalendo wake kwa nchi kwa kuzingatia viapo vyake.Atubu ili awe Huru kwa kutenda Haki.
 
Kesi hii imepangwa na wasio na akili,matokeo yake ni aibu kubwa kwa serikali ktk jumuia ya kimataifa
 
Kwa wakuu wahusika humu: heshima yenu! Hii kesi ni kubwa na muhimu sana, inafunua jinsi jamii na taasisi zetu zilivyooza....ninapendekeza/omba ikiwapendeza mlolongo wa hii kesi tangu ilipoanza uwekwe pamoja ili hata wale ambao hawakupata bahati ya kuanza nasi iwe rahisi kwao kupata mfululizo wa kesi hii kwa tarehe ambazo walipitwa.
 
msisahau na huku mchungaji kaua chama
 
Najisikia aibu sana kama mtanzania mpenda haki. Aibu.. aibu... aibu sana.
 
type chap chap
 
Mbona kama Urio anasaffer from short term memory loss, anaulizwa swali hili anajibu ivi.
Siyo short term memory issue bali anaogopa kusema ili asije akajikuta anaharibu movie nzima .... Ndiyo maana kila kitu either hakumbuki au amesahau. Ndiyo maana Kibatala amemwmbia kuwa hao mashahidi wameenza kutafutwa baada ya kutengeneza kesi.

Haiingii akilini kesi kubwa kama hiyo ilipotiwe July halafu maelezo ya Urio yachukuliwe August ..... No wonder, Adamoo wanadai walimsikia akilia kwenye chumba cha mateso ..... Nasikia wenyewe wanakuita Garage .....!!
 
Leo ndio nimetambua Urio Ni mpumbavu Sana. Yani aliwatoa wenzake kama chambo. Yani kumbe lingwenya alikuwa amepata shughulika ya kokoto kaenda kumtoa huko ili amtumie kwenye mpango wake. Halafu anaulizwa anajibu kwa jeuri. Tanzania Ina watu wakatili Sana, unapoteza Maisha ya wenzako kwa manufaa binafsi na haujari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…