atakuwa na majukumu mengine...jopo lipo vizuri pasi na shaka.Wakili msomi Mtobesya siku hizi simuoni Sana kwenye jopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atakuwa na majukumu mengine...jopo lipo vizuri pasi na shaka.Wakili msomi Mtobesya siku hizi simuoni Sana kwenye jopo
My instinct tells me kuwa, jamhuri inalenga ku achieve kitu tofauti kabisa na matokeo ya mahakamani.Hii kesi jamuhuri ingeipiga tu chini, muungwana akivuliwa nguo huchutama!
Wameshapoteana tayari,baada ya maswali ya mawakili wasomi wa uteteziMbona kama Urio anasaffer from short term memory loss, anaulizwa swali hili anajibu ivi.
Kuliwahi kuwa na Kilaza, Kihiyo...Habari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022
Fuatana nami kupata yatakayojir...
Luteni Urio ni turning point kwa watuhumiwa na yeye binafsi.Komando hatakiwi kuwa msaliti na ajifahamu kuwa ni kiongozi na mwalimu wa Adam,Bwire,Ling'wenya,Lijenje na wengine wanaoteswa na Kikosi Maalum.Habari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022
Fuatana nami kupata yatakayojir...
Kesi hii imepangwa na wasio na akili,matokeo yake ni aibu kubwa kwa serikali ktk jumuia ya kimataifaHabari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022
Fuatana nami kupata yatakayojiri
UPDATES:
Jaji ameingia Mahakamani, Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Jamuhuri Dhidi ya Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa hapa Mahakamani Muda huu
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Ikupendeze naitwa Robert Kidando nipo pamoja na
Wakili Peter Kibatala: Mheshimiwa Jaji Ikupendeza naitwa Peter Kibatala nipo Pamoja na
- Wakili Pius Hilla,
- Abdallah Chavula
- Jenitreza Kitali
- Nassoro Katuga
- Esther Martin
- Ignasi Mwinuka
- Tulimanywa Majige
Jaji anaita Washtakiwa Wote wanne na wote wanaitika wapo Mahakamani
- Wakili Michael Mwangasa
- Sisty Aloyce
- Gaston Garubindi
- Idd Msawanga
- Maria Mushi
- Nashon Nkungu
- John Mallya
- Dickson Matata
Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa na tutaendelea na Shahidi, Tupo tayari Kuendelea
Shahidi anaingia kutoka Nje
Peter Kibatala: Mheshimiwa Jaji Nasisi pia tupo tayari Kuendelea
Jaji: nakukumbusha Kwamba Tarehe 28 ulikuwa upo chini ya kiapo na leo utaendelea kutoa ushahidi wako chini ya kiapo
Kibatala: Mheshimiwa Jaji naomba sababu ya kelele za Jenereta tufunge madirisha tafadhali.
Kibatala: Mr Urio how are you?
Shahidi: Am fine
Kibatala: Did you have a nice Weekend?
Shahidi: like speak again
Kibatala: Did you have a nice Weekend?
Shahidi: like That!
Kibatala: Shahidi Umesha wahi Kukutana na Mazingira ya Kuambi Maneno Mazito Unayosema ya Ugaidi
Shahidi: Sijawahi Kukutana nayo
Kibatala: Umesema hauna tatizo la Kumbukumbu
Shahidi: Sina tatizo la Kumbukumbu
Kibatala: Iweje usikumbuke Tarehe 2 Muhimu Wewe Kukutana na Mbowe na Kwenda Ofisini Kwa DCI Ukizingatia wewe ni Mwanajeshi, na Luteni wa Jeshi
Shahidi: Mhe Jaji Mheshimiwa Mbowe alikuwa ni Ndugu yangu, Nilikuwa sijui kuwa ni kweli au si Kweli, Mpaka nikaona kuwa Kumbe ni Serious
Kibatala: Wewe Luteni unaona Umejibu swali Langu la inawezekana Vipi usikumbuke Tarehe
Shahidi: Sijawahi Kusikia Maneno Mazito, Ndiyo Maana Nikaenda kutoa Riport Polisi Wafanye Uchunguzi
Kibatala: Swali langu inawezekana Vipi Ushindwe Kukumbuka Tarehe ya Matukio Kama hayo
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Mimi naona Kama Nimejibiwa
Jaji: Swali lilikuwa linawezekanaje Kuwa asahau Tarehe za Mambo Muhimu
Shahidi: Ilikuwa ni Mara ya Kwanza, Kusikia Kutoka Kwa Mheshimiwa Mbowe, Sikuwa nategemea
Kibatala: Vipi Kuhusu Tarehe ya kwenda Kwa DCI na yenyewe Ulikuwa shocked
Shahidi: Siyo Duty yangu Mimi Kukumbuka, Kazi yangu Ilikuwa Kutoa Riport tu
Kibatala: Kwakuwa Unaomekana Kujivua Duty ya Record Ya Tarehe, Unaweza za Ku tuisaidia Kwanini na Yeye DCI hakumbuki Tarehe Uliyo Kwemda Ofisini Kwake
Shahidi: Sifahamu, Siwezi Kumjibia
Kibatala: Siku Unakwenda Kwa DCI Kingai alikuwa Summoned akaja, Unaweza Kutuisaidia Kwanini huyu Kingai Mtu wa Tatu na Yeye hakumbuki ni Tarehe ipo Mlimkutana
Shahidi: Siwezi Kujua ni Kwa nini
Kibatala: Ni kwanini hata Inspector Swila ambaye ndiyo Afisa wa Upelelezi Aliyefungua Faili Tarehe 18 July 2020, Hakumbuki Tarehe hiyo
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Je Kwa wewe Kama Luten Wa Jeshi unaona ni sahihi Kwa Nyinyi Watu wote hakumbuki Tarehe
Shahidi: Siwezi Kujibia
Kibatala: Umewahi Kusikia Msemo "The Lights are on but nobody at home"
Shahidi: Hapana Sijawahi Kusikia
Kibatala: Kwanini Tarehe 11 August 2020 ndiyo Maelezo Yako yaandikwe Mtoa Taarifa Ambaye ndiyo Ulisababisha Faili Kufunguliwa Tarehe 18 July 2020?
Shahidi: Hapana Sifahamu
Kibatala: Wewe ni Luteni wa TPDF uoni Kwamba Inategemewa Maelezo Ya Mtoa Taarifa Kuandikwa Mapema Kadriri inavyowezekana
Shahidi: Siwezi Kujibia Polisi, Sababu Wao Wana Utaratibu Wao wa Kazi na Mimi Nina Utaratibu Wangu Wa kazi
Kibatala: DCI alikifafanulia Kwamba Kwanini Maelezo Yako hayawezi Kuchukuliwa Siku ambayo wewe Umeenda ku report
Shahidi: Hawakufafamua chochote
Kibatala: Tarehe 11 August 2020 kwa Ushahidi Wako Ndiyo Ulikwenda Kutoa Maelezo Ushahidi Wako Kwa Inspector Swila.. Inspector Swila alikufafanulia Kwanini alisubiri Mpaka Mwezi Mmoja Baadae?
Shahidi: Hakufafanulia
Kibatala: Tukisema Kuwa Mlitunga Kesi Mapema Kisha Baadae Ndiyo Makaanza Kutafuta Watuhumiwa, Nitakuwa Nakosea Kwa Fact hizo
Shahidi: Utakuwa unakosea
Kibatala: Unafahamu Dhana ya Infiltration,.?
Shahidi: Nafahamu
Kibatala: Maana yake
Habari Wakuu,

Shahidi: Kutoka sehemu Moja Kwenda sehemu Nyingine Kwa siri
Kibatala: Ni sahihi pia Maana yake Pana ni Kutuma Mtu Kwenda Kwenye Kambi ya Upinzani, Ili Kupata Taarifa Kamili
Shahidi: Hapana, Tactics inasema Kwamba ni Kitendo Cha Kutuma Mtu Kwa Siri
Kibatala: Nikumbushe tena Elimu yako
Shahidi: Form Four
Kibatala: Unafahamu Decoy
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Luteni wa Jeshi hufahamu Decoy
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Mlijadili Kwa Pamoja Kumpeleka Mtu kwa Mbowe akiwa na Vifaa aweze Kupeleleza na Kurekodi Ushahidi
Shahidi: Hatujawahi Kujadili
Kibatala: Ni Kweli Katika Ushahidi Wako Kwamba Mheshimiwa Mbowe alikwambia atachukua Dola Kwa namna yoyote, Je Uchaguzi ulitajwa
Shahidi: Nafahamu Uchaguzi Ulitajwa
Kibatala: Bado Jeshi lilikuwa halina Role to Play Kwamba wewe ni Mwanajeshi uliye kazini na Mbowe anataka Ex Commandos, Bado Jeshi lilikuwa halina sababu ya Kupewa Taarifa?
Shahidi: Ni Taarifa ambazo hazina Ushahidi, Bado Jeshi litapeleka Kule Kule Kwa Polisi
Kibatala: Unamfahamu Aliyekuwa Chief of Staff Luteni Generali A. Shimbo
Shahidi: Namfahamu
Kibatala: akiwa katika Majukumu Yake ulikuwa Jeshini
Shahidi: Ndiyo
Ila homeboy Urio katuaibisha wachaga!!Kuliwahi kuwa na Kilaza, Kihiyo...
Akaja Bashite... Sasa yupo Urio na Kingai.
Ni majina ambayo ukiitwa watu wanarudia kukucheki mara mbili mbili..
Kibatala nyonga huyo hayawani
type chap chapHabari Wakuu,

Kibatala: Namnukuu Tarehe 13 10 2010 "Katika Uchunguzi huu, Jeshi limejipanga Kuhakikisha Uchaguzi Unakuwa wa Amani na utulivu".. Uliwahi Kusikia?
Shahidi: Hapana
Kibatala: Bado Unasisitiza Kwamba Mambo Ya Kiuchaguzi Jeshi halihusiki
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: huoni Kwamba Kwa Kutoa Kwako Taarifa Jeshi lingefanikisha Kuweka Decoy, (Mamluki) wa Kwenda Kukusanya taarifa ambazo ni sahihi?
Shahidi: The issue ni kwamba Mtu anaitwa Freeman Mbowe hapokei Simu za Kawaida, anasema Nitumie picha na Profile yake ili ajiridhishe Kwamba bado Wapo Katika Service, Kwa hiyo Endapo tungetuma Mtu ambaye bado yupo katika Service angegundua
Kibatala: Kwa hiyo Tactical appreciation Yako ilikwambia Kwamba Mheshimiwa Mbowe ana uwezo wa Kujua profile zao?
Shahidi: Ndiyo, Unafikiri Kwanini alitaka Picture na Profile zao?
Kibatala: Katika Ushahidi Wako Wote Kuna Mahala Popote Ulisema Kwamba Mbowe alikwambia Kwamba ana Access ya Mtu Mwingine Jeshini
Shahidi: Hapana
Kibatala: Tujadili Kuhusu Tactical Appreciation, Ni sahihi Kwamba Kamanda anakutana na Mazingira Fulani ambayo Kamanda anapanga Vikosi Vyake Kukabiliana na Mazingira hayo kwa Muda kwa Kupanga Mkakati
Shahidi: Ni sahihi
Kibatala: Sasa Wewe Palikuwa na Several Unknown, Nimekuuliza Kama Mbowe alikuwa na Access Jeshini Ukasema hujui, Sasa huoni Kwamba Tactical appreciation Yako Ilikuwa si sahihi
Shahidi: Huyu Bwana ningemwambia kuwa Sitaki angemtumia nani, Ndiyo Maana nilifanya Tactical Appreciation na Kwenda Kuripoti Kwa DCI
Kibatala: Unakubaliana na Mimi kwamba Katika hali hiyo Kuna mambo Kadhaa wa Kadhaa ulikuwa huyafahamu, Ndiyo Maana Ukasema Kwamba Ulikuwa hujui Kama alikuwa ameshaongea na Watu Wengine
Shahidi: Ndiyo nilikuwa sina Uhakika Kama Mbowe ana Option A, B na C
Kibatala: Sasa Jambo hilo Linaendana na Tactical Appreciation
Shahidi: Ndiyo linaendana
Kibatala: Kazi yangu ni Kuuliza Maswali
Kibatala: Umesema Ulikuwa huna Uhakika Mbowe alikuwa na Option A, B na C, Je ulijihakikishia Kwa Kumuhoji
Shahidi: Sikumuhoji
Kibatala: Unathibitisha alikuwa na Trust Yako yote
Shahidi: Sijui Kwa Yeye Sasa
Kibatala: Nakuuliza Wewe
Shahidi: Je ni Mimi peke yangu anaye niamini
Kibatala: Hakuna Mahala Uliposema Kwamba Mbowe alikutishia Wewe au Familia yako
Shahidi: Sijasema
Kibatala: Kwamba Mbowe alikuahidi Cheo Kama Incentive yako
Shahidi: Mbowe Hawezi Kunipa Cheo Jeshini
Kibatala: Kwa hiyo Mbowe alikuwa hawezi Kukuhaidi Cheo Sababu alikuwa Mbunge
Shahidi: Sahihi hawezi
Kibatala: Nashukuru Kwa jibu lako Zuri
Kibatala: Wakati Mbowe anakupa Maombi , Ulimkubalia au Moyoni Ulimkatalia
Shahidi: Ilikuwa Tactical Appreciation, Ile Kwamba nitachoma Vituo Vya Mafuta, Kuchoma Masoko,
Kibatala: Na Kumdhuru Sabaya pia Ulikuwa Unachakata
Shahidi: Sijawahi Kumtaja Sabaya Mimi, Nilitaja Viongozi
Kibatala: Akili ya Kawaida ya Luteni haikuwa na zaidi ya Kumchimba Kwamba anataka Kulipua Vituo gani, Kukata Miti sehemu gani?
Shahidi: Hata Ingekuwa ni Mimi, Ukishaanza Kunidodosa nakosa trust na wewe.
Kibatala: Wakati Mnakutana Kupanga Matendo ya Ugaidi, Mahakama Itakapopima, Maneno yako Dhidi ya Maneno ya Mbowe sababu Hakuna Sauti Nyingine wala Decoy?
Shahidi: Ndiyo Maana nikatuma Vijana
Kibatala: Kwani Vijana hawa si Washtakiwa? Au Wapelelezi Wako?
Shahidi: Washtakiwa
Kibatala: Unakubaliana na Mimi sasa Mahakama itabidi ipime neno lako dhidi ya Mbowe kwa sababu Hapakuwa na Mtu Mwingine pale
Shahidi: Ni sahihi
Kibatala: Unakumbuka Wakati wa Utejelezaji Wa Majukumu Yako, namna ulipompata Ling'wenya
Shahidi: Nakumbuka
Kibatala: Unakumbuka Uliongea na Baba Yake Ling'wenya
Shahidi: Nakumbuka
Kibatala: Unakumbuka Kwamba uliongea naye Tarehe ngapi
Shahidi: Sikumbuki
Kibatala: Unakumbuka uliongea naye Majira gani
Shahidi: Sikumbuki
Kibatala: Unafahamu a kwamba Mzee Ling'wenya alikukatalia Kumtoa Mwanaye sababu ya Mambo yaliyomtokea Mwanaye Jeshini
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Unafahamu kwamba Yeye alishamtafutia Mwanaye Kazi ya kokoto
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Unafahamu Kwamba huyu Mzee (Baba yake Ling'wenya) ni Mwenyekiti wa Kijiji fulani huko Kusini
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Baba Yake alipokutafuta baada ya Kusikia Mwanae kakamatwa Unakumbuka Ulimjibu nini
Shahidi: Sikumbuki, Ila Niliwambia kuwa amuulize Boss wao
Kibatala: Kwani Boss wao ndiye aliye Mpigia Kumuombea Ruhusa Kwamba Kuna kazi
Shahidi: Ni Mimi
Kibatala: Ulimwambia Mzee Ling'wenya Kwamba Kuna kazi Kwa Mbowe lakini nataka akafanye Mipango ya Ugaidi
Shahidi: Sikumwambia
Kibatala: Unafahamu Maana ya Intrapment
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Maana ya Kumtoa Mtu kafara
Shahidi: Nafahamu
Siyo short term memory issue bali anaogopa kusema ili asije akajikuta anaharibu movie nzima .... Ndiyo maana kila kitu either hakumbuki au amesahau. Ndiyo maana Kibatala amemwmbia kuwa hao mashahidi wameenza kutafutwa baada ya kutengeneza kesi.Mbona kama Urio anasaffer from short term memory loss, anaulizwa swali hili anajibu ivi.
Mungu ibariki Chadema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KIBATALA: Kule Darfur Mlienda Kwaajili Ya Kupambana Na Magaidi Janjaweed?
SHAHIDI LUTENI URIO: Ndio...
Kuna haja ya vikao vya dharura... December mbaliIla homeboy Urio katuaibisha wachaga!!