Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Kama kweli jeshi letu lina watu wenye vyeo vya hadhi ya luteni wa jeshi mwenye akili kama ya urio naanza kupata mashaka na jeshi letu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Acha wewe, unafikiri kubananishwa kizimbani mchezo? Hata Kibatara akisimama pale na ukali wote alionao lazima jasho limtoke. Pale sali sana usifike mzee
 
Yani ma wazo yao waliona hata kufa yule boss wao ili wamfunge mbowe kimenomeno kama walivo mfunga kesi ya akwilina
 
Hii kesi iishe na kila anayehusika apate anachostahili kwa haki!
 
Maskini Luten wa watu hata lunch haitapanda
 
Leo Urio atuammbie ana tokea hoteli ya mahabusu gani?

Pia atuambie Mbowe alitaka kuchukua dola ipi? Dola ya Marekani au dola ya Zombabwe?

Mbowe sio gaidi!!!
Kibatala wewe jaza kurasa tu kwa maneno na maswali ila Urio amakuzidi ujanja
Kibatala: Kwa hiyo Mbowe alikuwa hawezi Kukuhaidi Cheo Sababu alikuwa Mbunge

Shahidi: Sahihi hawezi

Kibatala: Nashukuru Kwa jibu lako Zuri

Kibatala: Wakati Mbowe anakupa Maombi , Ulimkubalia au Moyoni Ulimkatalia

Shahidi: Ilikuwa Tactical Appreciation, Ile Kwamba nitachoma Vituo Vya Mafuta, Kuchoma Masoko,

Kibatala: Na Kumdhuru Sabaya pia Ulikuwa Unachakata

Shahidi: Sijawahi Kumtaja Sabaya Mimi, Nilitaja Viongozi

Kibatala: Akili ya Kawaida ya Luteni haikuwa na zaidi ya Kumchimba Kwamba anataka Kulipua Vituo gani, Kukata Miti sehemu gani?

Shahidi: Hata Ingekuwa ni Mimi, Ukishaanza Kunidodosa nakosa trust na wewe.

Kibatala: Wakati Mnakutana Kupanga Matendo ya Ugaidi, Mahakama Itakapopima, Maneno yako Dhidi ya Maneno ya Mbowe sababu Hakuna Sauti Nyingine wala Decoy?

Shahidi: Ndiyo Maana nikatuma Vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…