Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Maskini Luten wa watu hata lunch haitapanda
Mh. Kibatala hamuwezi Luteni Urio- hapo kaingia choo cha kike hata akiendelea kumdodosa hadi jumatatu ijayo hapati wala habadilishi kitu.
  1. Mbowe alimtafuta Urio- fact, ushahidi upo na haubadiliki
  2. Mbowe aliomba atafutiwe vijana- fact, ushahidi upo na haubadiliki
  3. Mbowe alimtumia hela- Fact, ushahidi upo na haubadiliki
  4. Mashahidi kadhaa wametoa ushahidi unaoungwa mkono na ushahidi wa Urio- Fact
 
Huyu jamaa amekuwaje luteni wa jeshi kwa cheti cha form 4 [emoji849][emoji15]

Luteni kilaza sana

Amepita kweli TMA monduli huyu !?

Kasomea wapi huo uafisa.

Mbona analiabisha jeshi kuwa na afisa kilaza kama huyu!?

Aisee[emoji15]
 
Huyu Jaji atakipata cha Moto kama alichokipata Ponsio Pilato. Pilato Aliambiwa na wakuu wa makuhani (mawakili wa serikali) kwamba usipo muhukumu kifo mtu huyu (yaani Yesu Kristu - Kwa kesi hiini Mbowe) wewe utakuwa sio rafiki wa Kaizari ( Yaani Kwa kesi hii ni Yule Chui Jike). Tutafika hapo. Patamu hapo???

Mashitaka kama yaleyale ya kwamba Yesu anataka kuchukua Dola anajiita mfalme wa wayahudi kama ambavyo Mbowe anajitangazia kuchukua Dola sijui la wapi. Kwamba atakata Miti na masoko Ka Yesu alivyosema ataporomosha hekalu na kulijenga ndani ya siku tatu!

Huyu Urio ndio Yuda wa wakati wa Yesu na akina Kingai ndio akina Kayafa. Hiiii!
Nadhani Wayahudi ni CCM na wafuasi wa Yesu ndio People's wa M4C!
 
Endelea mbona unaishia njiani Kama alimtafutia vijana wa ugaidi sema pia
 
Mbona katika facts zako zote hizo hazina neni UGAIDI?
 
Endelea mbona unaishia njiani Kama alimtafutia vijana wa ugaidi sema pia
Yaani mwenyekiti wa CHAMA na KUB na MWAMBA anahusikaje na ajira ya walinzi
Urio kasema- Mbowe ni Mbowe na CHADEMA ni CHADEMA
 
Inaonekana kichwani umejaa matope tuu
 
Kwahiyo ugaidi hapo uko wapi?
 
Mbona katika facts zako zote hizo hazina neni UGAIDI?
Unajua- aliyekuwa anajua ugaidi na Mbowe na Urio- wale watatu walipewa kazi maalumu na wote wawili. Urio kafanikiwa maana Mbowe yuko mahakamani kwa kupanga ugaidi
Mbowe hakufanikiwa kwa sababu alilotaka kama mimba imetoka.
Urio ameshasimama kizimbani bado zamu ya Mbowe. Kumbuka Mbowe aligoma kuandika maelezo polisi- atayatoa mahakamani na kwa ujinga wa mawakili wenu-jaji kesha toa hukumu kila swali litajibiwa
Ili tujue Urio MUONGO TUSUBIRI MBOWE APANDE KIZIMBANI ADODOSWE NA kindando na wenzake
 
Hili likesi linaboa na kuchosha kusikiliza. Mbowe aachiwe maisha mengine yaendelee, maushingi anamng'ang'ania wa nini?
 
Acha ufala broo,unajiabisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…