Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
siyo kweli. bora ungesema wameruUrio ni wapare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo kweli. bora ungesema wameruUrio ni wapare
Yaani, mpaka anatia huruma!Maskini Luten wa watu hata lunch haitapanda
Mh. Kibatala hamuwezi Luteni Urio- hapo kaingia choo cha kike hata akiendelea kumdodosa hadi jumatatu ijayo hapati wala habadilishi kitu.Maskini Luten wa watu hata lunch haitapanda
Mnataka kesi ifute au mnataka kushida hii kesi?Hii kesi jamuhuri ingeipiga tu chini, muungwana akivuliwa nguo huchutama!
Endelea mbona unaishia njiani Kama alimtafutia vijana wa ugaidi sema piaMh. Kibatala hamuwezi Luteni Urio- hapo kaingia choo cha kike hata akiendelea kumdodosa hadi jumatatu ijayo hapati wala habadilishi kitu.
- Mbowe alimtafuta Urio- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe aliomba atafutiwe vijana- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe alimtumia hela- Fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mashahidi kadhaa wametoa ushahidi unaoungwa mkono na ushahidi wa Urio- Fact
Mbona katika facts zako zote hizo hazina neni UGAIDI?Mh. Kibatala hamuwezi Luteni Urio- hapo kaingia choo cha kike hata akiendelea kumdodosa hadi jumatatu ijayo hapati wala habadilishi kitu.
- Mbowe alimtafuta Urio- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe aliomba atafutiwe vijana- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe alimtumia hela- Fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mashahidi kadhaa wametoa ushahidi unaoungwa mkono na ushahidi wa Urio- Fact
Yaani mwenyekiti wa CHAMA na KUB na MWAMBA anahusikaje na ajira ya walinziEndelea mbona unaishia njiani Kama alimtafutia vijana wa ugaidi sema pia
Hao waliomsukumizia hapo wana dhambi.Urio anapitia wakati mgumu sana katika maisha yake.
Inaonekana kichwani umejaa matope tuuMh. Kibatala hamuwezi Luteni Urio- hapo kaingia choo cha kike hata akiendelea kumdodosa hadi jumatatu ijayo hapati wala habadilishi kitu.
- Mbowe alimtafuta Urio- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe aliomba atafutiwe vijana- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe alimtumia hela- Fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mashahidi kadhaa wametoa ushahidi unaoungwa mkono na ushahidi wa Urio- Fact
Kwahiyo ugaidi hapo uko wapi?Mh. Kibatala hamuwezi Luteni Urio- hapo kaingia choo cha kike hata akiendelea kumdodosa hadi jumatatu ijayo hapati wala habadilishi kitu.
- Mbowe alimtafuta Urio- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe aliomba atafutiwe vijana- fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mbowe alimtumia hela- Fact, ushahidi upo na haubadiliki
- Mashahidi kadhaa wametoa ushahidi unaoungwa mkono na ushahidi wa Urio- Fact
Aibu ya nini boss?Najisikia aibu sana kama mtanzania mpenda haki. Aibu.. aibu... aibu sana.
Unajua- aliyekuwa anajua ugaidi na Mbowe na Urio- wale watatu walipewa kazi maalumu na wote wawili. Urio kafanikiwa maana Mbowe yuko mahakamani kwa kupanga ugaidiMbona katika facts zako zote hizo hazina neni UGAIDI?
Acha ufala broo,unajiabisha mkuuUnajua- aliyekuwa anajua ugaidi na Mbowe na Urio- wale watatu walipewa kazi maalumu na wote wawili. Urio kafanikiwa maana Mbowe yuko mahakamani kwa kupanga ugaidi
Mbowe hakufanikiwa kwa sababu alilotaka kama mimba imetoka.
Urio ameshasimama kizimbani bado zamu ya Mbowe. Kumbuka Mbowe aligoma kuandika maelezo polisi- atayatoa mahakamani na kwa ujinga wa mawakili wenu-jaji kesha toa hukumu kila swali litajibiwa
Ili tujue Urio MUONGO TUSUBIRI MBOWE APANDE KIZIMBANI ADODOSWE NA kindando na wenzake
Haachwi ng'ooooHili likesi linaboa na kuchosha kusikiliza. Mbowe aachiwe maisha mengine yaendelee, maushingi anamng'ang'ania wa nini?
Sijalala na mkeo- tunza heshima yakoAcha ufala broo,unajiabisha mkuu