Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hafai kuwa platoon commander anaweza wachoma memba wake kwa adui akiminywa pumbu huyuNaona sasa kibatala anamtengenezea shahidi hali ya kujihisi msaliti asiyefaa kwa kuwasukumia wenzake kwenye moto.
Hii itamtesa kisaikolojia hata baada ya kumaliza ushahidi wake, na pengine mahusiano yake na wanajeshi walio ktk utendaji wake
anajichanganya, anasema siyo msiri wao.... Yeye ndiye aliyeripoti habari hizi za ugaidi kwa DCI na Kingai wakati huo amekiri kuwa hakuna mtu mwingine anayewajua Adamoo na Lingwenye katika sakata hili.......therefore yeye ndiye msiri wao akina AdamooKibatala: akuna Taarifa a kwamba siku za Adamoo na Ling'wenya Wanakamatwa walikuwa wanapokea Taarifa Kutoka kwa Msiri wao, Je huyo Msiri ni wewe
Shahidi: Siyo Mimi
Kibatala: Je Kwa Ufahamu Wako palikuwa na amtu Mwingine aliyekuwa anatoa Taarifa kwa DCI na Kingai
Shahidi: Hakuna
Kibatala: Kwa Ufahamu Wako wewe Kuna mtu Mwingine ambaye alikuwa anawajua Adamoo na Ling'wenya
Shahidi: Hapana
Hahaha.... aisee Kibatala nimemvulia kofia....Mr. Urio anafikiri Mahakama Kuu ni sehemu ya mchezo.
Mimi najiuliza kapataje huo u afisa ilhali na Alevel certificate wala diploma(zamano hio) .Luteni mwenye elimu ya form four.[emoji1]
Hata kufa nacho ni cheo,nso maana marehemu akishakufa wanasemaga amekuwa promoted to heaven.akitoka hapo na cheo kinapanda katokomezagaidi lilitaka kupindua nchi mbowe ni GAIDI
Ilibidi acheke baada ya Kibatala kumuonyesha asome mahali kwenye SMS ambayo namba ya aliyetuma SMS haionekani.Mr. Urio anafikiri Mahakama Kuu ni sehemu ya mchezo.
Meru moja..hiyo..Urio ni wapare
tusichukulie mchezo anaweza kawa karukwa na akili... kicheko cha namna hii yupo sawa huyu kwelishahidi anaangua kicheko ghafla hapa..
Mbona adamoo anatililika saana akisimamishwa hapo kizimbaniAcha wewe, unafikiri kubananishwa kizimbani mchezo? Hata Kibatara akisimama pale na ukali wote alionao lazima jasho limtoke. Pale sali sana usifike mzee
Hamna lolote komandoo gani anakamatwa na polisi,we ilisikia wapi?KALICHOKOZE UONE KAMA UNAMASHAKA NALO KAMA HUJAITA MAJI MMA
Una maanisha Denis Urio ambaye ni mateka? Ambaye aliteswa na sasa analazimishwa kutoa ushahidi ili kumfunga Mbowe?! Kwa hiyo Kingai ni mchaga pia?!Kesi ya mchongi mhusika mkuu ni meku Urio!
Hao ni Telegram. Id yako inakuja code namba kama sikosei,Ilibidi acheke baada ya Kibatala kumuonyesha asome mahali kwenye SMS ambayo namba ya aliyetuma SMS haionekani.
Yani Meseji ya ushahidi inaonyesha kuwa inatoka kwa Urio huku namba ya simu ya Urio haionekani, ikabidi acheke tu.
Waliosema hivyo wote wamevuta akiwemo gaidi marehemuchama chenu mbeya mchungaji kakiua msikalie kesi tu nendeni mbeya
AtashindaHaachwi ng'oooo
Kosa lilifanyika hao kina Adamoo kuwa treated kama magaidi, wakati walikuwa plants from get go....Homeboy wa kupuliza ndugu Urio naona kinampata cha kumpata.. kushirikiana na mashetani noma sanaaa
Nashukuru kwa kuwa mkweli- sasa naomba uwambie wenzakoAtashinda
akili ndogo kwenye mambo makubwa kama haya.. matokeo yake ndio kama hayo mnayaonaKosa lilifanyika hao kina Adamoo kuwa treated kama magaidi, wakati walikuwa plants from get go....
Hawakupaswa kuwa lokapu, hawa walitakiwa kuwa under witness protection kama ipo,, and away from mbowe, ili waje ku testify against mbowe,,
Walikosea kuwaweka selo
Hapo kasha badilishwa chanel tena, alimtafutia walinzi nayeye kamatamkia walinzi, tena ugaidi wa kukata miti unatoka wapi?.....mbona huyu shahidi kaharibu ushahidi mwenyewe.URIO anazidi kufanya maisha ya Kingai na genge lake yawe magumu
Kibatala: Tu assume Kama Mambo yalivyotokea, Je Freeman Mbowe alikuomba umtafutie Walinzi au Magaidi
Shahidi: Kwa hao nilikuwa namtafuta Watu Wa Kwenda Kufanya kazi ya Ulinzi
Kibatala: Yeye Mbowe alitaja Walinzi au hakutaja
Shahidi: Alitaja Walinzi
Kibatala: Ndiyo Maana wewe Uliwatafuta watu wa kwenda Kufanya Ulinzi
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Mbowe alikwambia ukionana nao Uwaambie hivi na Vile?
Shahidi: Hapana