Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Tuwekeni uchadema na uccm pembeni, kweli jamani msg ya muda umeisha ndo inamaanisha kutaka kufanya ugaidi???aiseee hii nchi ina watu vilazaaaaaaaaaa!hahahahahahhahahaahhahahahhahahahahhahahahahaahahahhaah
Halafu huyu aongoze hao paratrooper vitani???mashaka ni mengi mnoooooooo juu ya elimu yake.
 
Kama hivi ndivyo basi mbinu zao zilikuwa ni za kijinga kwa sababu hazithibithishi chochote, kwa wazoefu wa upelelezi kama Kingai na DCI kama ingekuwa ni kweli alikutana nao kabla ya Mbowe hajakutana na hao kina Adamoo ni lazina kina Kingai wangefanya namna ya kupata record za sauti za mipango ya Mbowe...na si ajabu wangetumia mbinu za medani wangetuma makomandoo feki ili kujenga msingi thabiti wa kesi....lakini kwa hali inavyoonekana serikali wana kesi dhaifu sana hapa
 
aisee balaal tupu
 
Kazi ya upande wa mashitaka ni kuthibithisha tuhuma hizo bila shaka kumfanya mtuhumiwa awe guilty beyond reasonable doubt...shahidi anaweza kuwa amejenga msingi wa kuwa ni kweli alikuwa akiwasiliana na Mbowe lakini ushahidi wa mawasiliano uliotolewa na wa kawaida sana hauoneshi nia ya kutenda kosa walilo tuhumiwa nao..wanachofanya jopo la utetezi ni kutengeneza matundu kwenye ushahidi wa mashahidi ili ku create reasonable doubts!
 
aisee balaa hili!!
kumbe ndio maana wafuasi wa Mbowe walikuwa wakishinikiza mahakama imfutie Kesi!! sasa uovu wote huu alikuwa anauratibu huyu mbowe tungeujuaje?!!
afadhali sasa tunajua matendo yake ya kimafia aliyo kuwa anayafanya dhidi ya serikli.
huyu mhalifu alikuwa anawatumia watu mbalimbali amabo sio waaminifu na waadilifu kukidhi mhitaji yake.........ndio maana alikuwa anatumia neno "atakinukisha" maana yake atachafua amani ya nchi.
 
Mfano mzuri afande swila alifungua jarida tarehe 18 July
Urio alikutana na watuhumiwa morogoro tarehe 20th July...

Je inawezekana hivi jarida likawa tayari huku watuhumiwa hata hawajakutana kupanga njama ?
 

Ni kweli una miaka 51 ??
 
Dada umeingia mwezini akili zimeruka
 
ipo hivi mbowe baada ya kubanwa kuhujumiwa na DC Sabaya akapata taarifa kuwa huenda DC Sabaya akaja kumdhoofisha zaidi ndipo akaongea na Lt Urio amtafutie walinzi imara ambao ni Asikari wasitaafu kwa ajili ya kujikinga na Hatari tokea kwa DC Sabaya na baada ya Sabaya kugundua kuwa Mbowe anakwenda kuimarisha Ulinzi wake binafsi akajua itamuia vigumu kumhujumu kwa wepesi ndipo akabuni mbinu za kumbambikia kesi ya ugaidi kuwawekea unga na mengineyo mengi ya hovyo, huyo Lt Urio aliwapeleka Asikari kwa mbowe kwa Lengo la Ulinzi siyo ugaidi lakini baada ya kukamatwa akapigwa sana akatesa vibaya mbaka fahamu zikamtoka amegeuka na kutengeneza uongo aliofundishwa na akina kingai mahita na watesi wenzao, mungu anaendelea kumtumbua hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Mfano mzuri afande swila alifungua jarida tarehe 18 July
Urio alikutana na watuhumiwa morogoro tarehe 20th July...

Je inawezekana hivi jarida likawa tayari huku watuhumiwa hata hawajakutana kupanga njama ?
Umeona eeeh! tiyari inatia mashaka...
 
Pamoja na "unaa" wako,

Haya sasa mwambie huyo Mr michongo Urio athibitishe hizo siri alizoambiwa na Mbowe,

Mbona hata simu yenye hizo siri kaipasua anaogopa nini?
Lt Urio anajua ukweli kuwa hakukuwa na ugaidi lakini kajitoa fahamu zote analidhalilisha jwtz
 
Dahh! Luteni Urio leo kanifunza kitu..hivi kumbe Koplo ni cheo cha afisa jeshii...sasa mbona huwa hawaruhusiwi kuingia "officer's mess" kumbe huwa wanawaonea tu! mimi nilifikiria ngazi ya ofisa jeshini inaanzia Luteni Usu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…