Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Wewe nawe ni kilaza kwel. Kwan hizo msg na text za telegram leo ndio unazisikia. Ushaidi wa mwanzo alieleza kila kitu sema mwandishi aliruka ilo eneo, na uzi ukaja huku ukilaumu kwanini aliruka. Pitia mwananchi online utaona
Mwananchi online wapi nihamie uko?
 
Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
Sawa mkuu. Tusubiri ushahidi wake ufike mwisho halafu utuoneshe "maushahidi mazito"
 
Huyu Gaidi Mboe aliwarubuni hao jamaa, mipango yake ilikuwa kuvuruga amani ya nchi na sio kumlinda.
eti bila aibu linadai walikuwa walinzi!!!
jambazi mkubwa huyu.

Huyu Gaidi alikuwa na mtandao ndani kwa ndani yaani alikuwa na vibaraka wengi ambao walikuwa wanamsaidia jinsi ya kuihujumu serikali. huyu lazima achezee miaka ya kutosha.
 
Wewe nawe ni kilaza kwel. Kwan hizo msg na text za telegram leo ndio unazisikia. Ushaidi wa mwanzo alieleza kila kitu sema mwandishi aliruka ilo eneo, na uzi ukaja huku ukilaumu kwanini aliruka. Pitia mwananchi online utaona
Hakuna mahala popote toka kwa shahid yeyote message za telegram zikiandikwa au kuzungumzwa sasa ndio mwanzo urio kamezeshwa ushahidi anatema kama chura
 
Hujui kitu, nyamaza. Hakuna maswali ya hovyo, kuna majibu ya hovyo na ndio maana unaweza kusikia mtu anaulizwa "homeboy" maana yake nini na akasema "sijui". Ngoja nikupe kionjo kidogo. Urio hakuwepo Ngerengere wakati washitakiwa wanafukuzwa. Lakini anasema alifahamu kutoka Administration kuwa wamefukuzwa. Huyu huyu Urio alikuwa na namba za hawa watu, je walikuwa ni marafiki wa kawaida kwake au alipataje kujua namba zao?? Ataulizwa kabla ya kuwasiliana nao kwa jambo la Mbowe, ni lini tena aliwasiliana nao wakati wakiwa wamefukuzwa. Je aliwafundisha mbinu za jambo lolote? Kwanini yeye ndio achague hawa katika wote anaojua, je alifahamu hawa ndio wanaweza kukata miti, kulipua vituo vya mafuta na masoko? Shahidi ndiye aliyewatambua washitakiwa kabla hawajaja kwa Mbowe - je anafahamu uwezo wao katika kutenda hayo????

By the way, Luteni ni mtu mdogo sana jeshine kutaarifiwa kuwa wamefukuzwa kwa utovu wa nidhamu hasa kama washitakiwa waliondolewa jeshini kwa amri ya kuondoka kambini na wala sio barua ya kuwaachisha kazi. Denis alisikia tu habari za kuondolewa kwao, "hakutaarifiwa". Ngoja aje aulizwe kama taarifa aliyopewa alipewa kwa sababu gani na kwa namna gani.

Kwa kuwa huna uwezo wa kutengeneza "dhana" unataka maswali ya moja kwa moja. Unawaza kama darasa la 4F.
 
CCM bana, yaani kwa akili zenu hivi kuna Jaji duniani anaweza kumtia mtu hatiani miaka 30 kwa michongo kama hii, sana sana mnaidhalilisha nchi yetu pendwa kimataifa.
 
Wakuu saa tisa hii,vipi Jaji bado tu anapitia vipengele au?
 

Luteni Urio asoma meseji za Mbowe mahakamani :1. Kama ni Luteni wa Jeshi ana check number ?au ni mamluki tu?​

 
Kuna watu humu wanafikiri Luteni ni mtu mkubwaaa, eti kila kitu SIRI, SIRI - Luteni ana siri gani za jeshi? Kwanza kama hamjui cheo cha Luteni ukifika miaka 45 unaondoka jeshini unless uwe ume-specialize na kupanda kuwa Captain.

Cheo chenye mamlaka walau kidogo ni kuanzia MEJA kwenda juu - hawa wengine ni mambo ya kuvumilia vumbi na jua kali.
 
Uko sahihi Lt ni cheo cha kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…