Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Imagine eti mtu wa cheo cha luteni hajui maana ya neno 'sober' 🤣🤣🤣Shida ya kukaa polini kulinda vifaru...
Wakitoka mjini kilakitu kigeni...
Facts kuhusiana na nini? Tupe mfano wa facts kuhusiana na ugaidi.Ninadhani una walakini. Chanzo cha maelezo yake ya awali yalitokana na sms hizi hizi. Nimegundua huna kumbukumbu, hujui kuwa Denis alihojiwa na Polisi na hata akakabishi simu zake zote kwa Polisi? Hakuna anayehoji haya mawasiliano, ni kweli zaidi kuwa wengi tunataka kuona sms hizi hizi zikitumika kuthibitisha kuwa Mbowe alitaka kutenda ugaidi. Isije kuwa kinatakiwa kuthibitishwa hapa ni kuwa Denis na Mbowe walikuwa wanawasiliana. Hilo halina ubishi, limekwishakuthibitishwa.
Achana na lugha usiyoifahamu vizuri - hapa tunasubiri sio interpretation ya chats bali "actual chats" zikisema hayo anayoshitakiwa kwayo. Isije ikawa "aliniambia kwa mdomo" huku pia yeye akiwa aliwaambia makomandoo wenzake kuwa ni kazi ya ulinzi.
Mahakama huwa haiamui kwa "fikra" bali ushahidi usiokuwa na mashaka. Mbowe alikuwa na mawasiliano na Urio na hata alifanya miamala! Those are facts!! Tuendelee kupata facts kwa sababu ndio utakuwa msingi wa hukumu!
Hii inanikumbusha jinsi mahakama ilivyotupilia mbali kesi feki ya ugaidi aliyobambikiwa Rwakatare.Kwa maana halisi unataka kusema anayedhamiriwa ni Mbowe si ndiyo? Kwa hiyo Huyo Mbowe atahukumiwa Kwa dhamira ambayo hakuitoa popote maana alopokaa na vijana hao kupanga ugaidi mpaka Sasa. Mtu pekee (Kwa mujibu wa maneno yake) aliyekaa na Mbowe kupanga/kuongelea uhalifu au tuseme ndo Ugaidi ni Urio ambaye siyo mshtakiwa. Sasa hao wengine wako mahakamani Kwa kesi gani?
Mwingine huyu hapa comteKuna mjinga mmoja anajiita mjinga kweli leo alikuwa anashupaza shingo aje aone majibu ya shahidi wake.
Uenda kwa kesi ya madawa ya kulevya waliokutwa nao na bastolaKwa maana halisi unataka kusema anayedhamiriwa ni Mbowe si ndiyo? Kwa hiyo Huyo Mbowe atahukumiwa Kwa dhamira ambayo hakuitoa popote maana alopokaa na vijana hao kupanga ugaidi mpaka Sasa. Mtu pekee (Kwa mujibu wa maneno yake) aliyekaa na Mbowe kupanga/kuongelea uhalifu au tuseme ndo Ugaidi ni Urio ambaye siyo mshtakiwa. Sasa hao wengine wako mahakamani Kwa kesi gani?
Siwezi kuwatelekeza nitaambatana nao Kila mahali....!Mwamba yuko smart sana amemuachia Urio msala ambao alitaka kum'bambikia kwa kushirikiana na kina kingai[emoji1787]
Facts zao eti ni msg inayosema "hao mtu tatu ni muhimu sana muda umeisha" 🤣🤣🤣Facts kuhusiana na nini? Tupe mfano wa facts kuhusiana na ugaidi.
Sawa kama ni hivyo jibu swali hili;Mimi nilivyomuelewa ni kwamba, wale makomandoo hawakua magaidi na kwamba hawakua wakijua nini wanaenda kufanya. Sio mtu mwingine ni hao makomandoo tu
DCI na Kingai wameivua nguo jamuhuri kupitia huu ushahidi wa Urio.Siwezi kuwatelekeza nitaambatana nao Kila mahali....!
Yaani wakikata miti Mbowe yupo, wakilipua kituo cha mafuta Mbowe yupo, wakisimamisha magari Mbowe yupo?
Wamfunge tu kama ni hivyo.
Kwa huu uharo wa Urio, ni dhahiri kesi ikiisha jeshi litamfukuza kazi.Sawa kama ni hivyo jibu swali hili;
1.Kwa nini kama hao makomandoo hawakuwa magaidi waliwafungulia mashtaka ya ugaidi? Na Hadi sasa wako ndani?
2. Kwa nini DCI alikubali kufungua mashtaka yasiyo na vielelezo vya ushahidi usio na shaka?
Kwa Urio ndiye aliye chonga michango hii Jeshi lichukue hatua za kinidhamu dhidi yake kwa kulivua nguo.
Waziri Simbachawene alipotaja na kuweka msisitizo vigezo vya kujiunga polisi ni wachache sana walielewa!DCI na Kingai wameivua nguo jamuhuri kupitia huu ushahidi wa Urio.
Nikweli,bado vijana,wametumikishwa kazi za hatari na mbaya,.wameachishwa kazi bila ya kulipwa hata sent.Kama sio magaidi wanafanya nini ndani hadi muda huu?
Watoeni mbaki na Mbowe
Hawa makomandoo kila nikifatilia hi kesi naumia sana juu yao
Hii kesi inazua maswali mengi mno....hasa mashahidi wa jamhuri.Halafu ndio aliaminika eti ni Mastermind wa ishu nzima,na mwenye ushahidi mzito,hovyo kabisa
Anaweza kupanga mipango ya kupindua nchi bila wakubwa zake kujuaKwa huu uharo wa Urio, ni dhahiri kesi ikiisha jeshi litamfukuza kazi.