Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Kazi nzuri umefanya ya kutujuza ausee kama tuko mahakaman vile,Ngoma hii inasisimua mpaka basi tunataman siku isiishe,
 
Ninadhani una walakini. Chanzo cha maelezo yake ya awali yalitokana na sms hizi hizi. Nimegundua huna kumbukumbu, hujui kuwa Denis alihojiwa na Polisi na hata akakabishi simu zake zote kwa Polisi? Hakuna anayehoji haya mawasiliano, ni kweli zaidi kuwa wengi tunataka kuona sms hizi hizi zikitumika kuthibitisha kuwa Mbowe alitaka kutenda ugaidi. Isije kuwa kinatakiwa kuthibitishwa hapa ni kuwa Denis na Mbowe walikuwa wanawasiliana. Hilo halina ubishi, limekwishakuthibitishwa.

Achana na lugha usiyoifahamu vizuri - hapa tunasubiri sio interpretation ya chats bali "actual chats" zikisema hayo anayoshitakiwa kwayo. Isije ikawa "aliniambia kwa mdomo" huku pia yeye akiwa aliwaambia makomandoo wenzake kuwa ni kazi ya ulinzi.

Mahakama huwa haiamui kwa "fikra" bali ushahidi usiokuwa na mashaka. Mbowe alikuwa na mawasiliano na Urio na hata alifanya miamala! Those are facts!! Tuendelee kupata facts kwa sababu ndio utakuwa msingi wa hukumu!
Facts kuhusiana na nini? Tupe mfano wa facts kuhusiana na ugaidi.
 
Kwa maana halisi unataka kusema anayedhamiriwa ni Mbowe si ndiyo? Kwa hiyo Huyo Mbowe atahukumiwa Kwa dhamira ambayo hakuitoa popote maana alopokaa na vijana hao kupanga ugaidi mpaka Sasa. Mtu pekee (Kwa mujibu wa maneno yake) aliyekaa na Mbowe kupanga/kuongelea uhalifu au tuseme ndo Ugaidi ni Urio ambaye siyo mshtakiwa. Sasa hao wengine wako mahakamani Kwa kesi gani?
Hii inanikumbusha jinsi mahakama ilivyotupilia mbali kesi feki ya ugaidi aliyobambikiwa Rwakatare.
 
Kuna mjinga mmoja anajiita mjinga kweli leo alikuwa anashupaza shingo aje aone majibu ya shahidi wake.
Mwingine huyu hapa comte
1643293740133.jpg
 
Kwa maana halisi unataka kusema anayedhamiriwa ni Mbowe si ndiyo? Kwa hiyo Huyo Mbowe atahukumiwa Kwa dhamira ambayo hakuitoa popote maana alopokaa na vijana hao kupanga ugaidi mpaka Sasa. Mtu pekee (Kwa mujibu wa maneno yake) aliyekaa na Mbowe kupanga/kuongelea uhalifu au tuseme ndo Ugaidi ni Urio ambaye siyo mshtakiwa. Sasa hao wengine wako mahakamani Kwa kesi gani?
Uenda kwa kesi ya madawa ya kulevya waliokutwa nao na bastola
 
Mwamba yuko smart sana amemuachia Urio msala ambao alitaka kum'bambikia kwa kushirikiana na kina kingai[emoji1787]
Siwezi kuwatelekeza nitaambatana nao Kila mahali....!
Yaani wakikata miti Mbowe yupo, wakilipua kituo cha mafuta Mbowe yupo, wakisimamisha magari Mbowe yupo?
Wamfunge tu kama ni hivyo.
 
Mimi nilivyomuelewa ni kwamba, wale makomandoo hawakua magaidi na kwamba hawakua wakijua nini wanaenda kufanya. Sio mtu mwingine ni hao makomandoo tu
Sawa kama ni hivyo jibu swali hili;

1.Kwa nini kama hao makomandoo hawakuwa magaidi waliwafungulia mashtaka ya ugaidi? Na Hadi sasa wako ndani?

2. Kwa nini DCI alikubali kufungua mashtaka yasiyo na vielelezo vya ushahidi usio na shaka?

Kwa Urio ndiye aliye chonga michango hii Jeshi lichukue hatua za kinidhamu dhidi yake kwa kulivua nguo.
 
Siwezi kuwatelekeza nitaambatana nao Kila mahali....!
Yaani wakikata miti Mbowe yupo, wakilipua kituo cha mafuta Mbowe yupo, wakisimamisha magari Mbowe yupo?
Wamfunge tu kama ni hivyo.
DCI na Kingai wameivua nguo jamuhuri kupitia huu ushahidi wa Urio.
Kazi ya bodyguards ni muambatana na boss wake kila mahala.
Hizi msg alizoleta urio ni uharo unaowapa wakati mgumu sana mawakili wa jamuhuri.
 
Gaidi ni Urio kwa maelekexo ya DCI
Jeshi limchukulie hatua za kinidhamu kwa kupanga mipango inayoweza kuyumbisha nchi bila kuwajulisha wakubwa zske
 
Sawa kama ni hivyo jibu swali hili;

1.Kwa nini kama hao makomandoo hawakuwa magaidi waliwafungulia mashtaka ya ugaidi? Na Hadi sasa wako ndani?

2. Kwa nini DCI alikubali kufungua mashtaka yasiyo na vielelezo vya ushahidi usio na shaka?

Kwa Urio ndiye aliye chonga michango hii Jeshi lichukue hatua za kinidhamu dhidi yake kwa kulivua nguo.
Kwa huu uharo wa Urio, ni dhahiri kesi ikiisha jeshi litamfukuza kazi.
 
DCI na Kingai wameivua nguo jamuhuri kupitia huu ushahidi wa Urio.
Waziri Simbachawene alipotaja na kuweka msisitizo vigezo vya kujiunga polisi ni wachache sana walielewa!
Hakuna weledi zaidi ya kutesa raia!
#Polisi wa michongo!!
#Kesi ya mchongo!!
Nitaendelea kuwadharau askari polisi na Lt. Urio!!
 
Siku pekee ambayo shahidi Urio anakumbuka kuanzia mwaka, mwezi, tarehe na hata saa ya tukio 🤦🏾‍♂️

Nashon: Unasema Kwamba Khalfani Bwire Alikwambia Kazi Imebadilika, Je ilikuwa ni Lini

Shahidi: Asubuhi ya Tarehe 4 August 2020, Saa 2 Asubuhi
 
Kama sio magaidi wanafanya nini ndani hadi muda huu?
Watoeni mbaki na Mbowe
Hawa makomandoo kila nikifatilia hi kesi naumia sana juu yao
Nikweli,bado vijana,wametumikishwa kazi za hatari na mbaya,.wameachishwa kazi bila ya kulipwa hata sent.
Bado.wanaingizwa kwenye kwenye matatizo.

Kweli.huu ni ujinga mkubwa.
 
Back
Top Bottom