Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Huu ni zaidi ya uonevu yaniHalafu anasema hao aliokutana nao hakuwaambia kuwa wanaenda kufanya kazi za ugaidi. Aliwaambia wanaenda kufanya kazi ya ulinzi (aliwadanganya). Tanzania kuna uonevu sana. Yaani hao makomandoo wameteshwa na wanaendelea kunyea ndoo kwa sababu ya uongo wa Urio tu. Na Urio mwenyewe ati yuko huru!!??
Alisema leo kutakuwa na voice recoderComte naona leo atakuwa kaishiwa hela ya bando[emoji1787][emoji1787] jana alitutambia sana yahani kila page alitokea sio chini ya mara nne. LEO KIMYAAAAA
Huyo katoka lupango za polisi na magereza... Sasa lazima apelekwe mahabuau jeshini. Ni mjinga sana!Kiapo cha Jeshi siyo mchezo bwashee!
Ndio maana Jeshi lina mahakama yake.
Unaweza kumlaumu huyu jamaa (Urio) kawaingiza wenzake kwenye matatizo ila huenda walipokamatwa pamoja na wenzake alibanwa kisawasawa na akakubali (kwa shingo upande) kuwa shahidi wa jamhuri.
Kutoonekana kwa Moses Linjenje kunaibua maswali mengi.....je huyu kijana nini kilimpata?.....yupo wapi kwa Sasa?...mbona haonekani mahakamani pamoja na wenzake?....
Ulitaka awaambie kuwa wanaenda kufanya ugaidi? Au Mbowe kweli atakubali kwenye mahojiano kuwa aliwaita kwa ugaidi? Of course atasema ni kwa ulinzi, na CHADEMA wenyewe hadi leo wanasema ni walinzi. Lakini deepdown yeye Urio na Mbowe kila mmoja alijua kuwa ni lwa kazi za kigaidi. There is no contradiction there.Huu ni zaidi ya uonevu yani
Kesi ya mchongo lazima ukutane na ambayo hukutarajia.Nashon: Freeman Mbowe ndiyo alikutana nao Morogoro?
Shahidi: Hapana ni mimi nilikutana nao Morogoro
Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi?
Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI
Wakati wale wengine wanaulizwa mambo ya jeshi na WS , walikua hawana viapo..?! Muosha uoshwa, Urio ajibu maswali.. MaCCM acheni janja janja..Kiapo cha Jeshi siyo mchezo bwashee!
Ndio maana Jeshi lina mahakama yake.
mbona yeye mwenyewe hautaji sasa huo ugaidi?Ulitaka awaambie kuwa wanaenda kufanya ugaidi? Au Mbowe kweli atakubali kwenye mahojiano kuwa aliwaita kwa ugaidi? Of course atasema ni kwa ulinzi, na CHADEMA wenyewe hadi leo wanasema ni walinzi. Lakini deepdown yeye Urio na Mbowe kila mmoja alijua kuwa ni lwa kazi za kigaidi. There is no contradiction there.
🤣🤣🤣Ni kweli tena ushahidi usiotia shaka,kwa sms hizo na hadith za kusimulia hizo, lazima Mbowe aishie gerezani.
Kinyelo cha gegedu we.
Anawasiliana na Lumumba wamtumie bando. Kwa taarifa yake Luteni Urio amesema washitakiwa siyo magaidi, aliwalipia hata bill ya chakula Morogoro.Comte naona leo atakuwa kaishiwa hela ya bando[emoji1787][emoji1787] jana alitutambia sana yahani kila page alitokea sio chini ya mara nne. LEO KIMYAAAAA
Kumbuka ni kiongizi wa wenzake ma Commando 30[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uyo urio ukomandoo kaupataje mbona anajibu kikuruta sana, atakuwa Nanga tu kapata ukomandoo kwa kupiga chabo
Mahakama ikitaka ushahidi wowote kutoka kwa mtu yeyote na wakati wowote inaupata!!! Kumbuka hakuna chombo wala mtu mwenye nguvu zaidi ya mahaka!a linapokuja swala la haki,,,tushukuru tupo kwenye nchi ambayo mahakama haiwezi kusimamia hadhi yake ipasavyo otherwise ungeona vumbi mahakamani,,,,,sheria ya kulinda siri ina inazieleza ila mahakamani unatakiwa kuongea unachoulizwa!!! Jiulize inakuwaje kama unachoulizwa ndio ushahidi unaotakiwa kumtoa mtu hatiani alafu wewe ukatae eti ni siri!!? Hapo mahakama itakutaka kuheshimu kiapo ulichokula cha kusema ukweli wote na ukweli tupu!! Kiapo cha mahakama ni kiapo kikuu!!! Ndo maana jaji alilazimisha shahidi ajibu maswali na shahidi akahamaki!!Kiapo cha Jeshi siyo mchezo bwashee!
Ndio maana Jeshi lina mahakama yake.
Tuna safari ndefu sana kama hata kufanya simple operations za kupata ushahidi ni shida tutaweza kupambana na magaidi originalKumbuka ni kiongizi wa wenzake ma Commando 30[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]