Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Hizo telegram chat na simu walizopigiana hauziamini?
Na nimekuuliza Ina maana kamanda urio anamsingizia mbowe?
Hayo waliyoongea kama yana hoja za ugaidi alete ushahidi wa Video au Audio. Mahakamani hayapokelewi mawazo ya mtu bali ni vielelezo vyenye mashiko. Huyu aliongea na Mbowe juu ya watu wa kumuongezea ulinzi kipindi cha kampeni, hiyo habari ya kwamba wakafanye uhalifu, imetengenezwa baadaye na kina Kingai, ndiyo maana hana hata Audio aliyo record.
 
Wakati mwingine washtakiwa hua wanafunguliwa shtaka fulani kwa pamoja mf. hilo la "ugaidi" kimkakati tu ila mlengwa hapo ni mmoja tu kati yao. Na upande wa mashtaka wanakua wanajua kabisa kwenye hili kosa atakayepatika na hatia ni mmoja tu kati ya washtakiwa wote. Wanafanya hivi ili ku accomplish lile jukumu lao zito la ku-prove kesi yao "beyond all reasonable doubt". Jukumu hili ni zito sana kwao na ili kulitimiza inabidi kuw creative sana... Kujua haya mambo nakushauri usiishie tu kufuatilia hii kesi ya FAM pekee. Itakapoisha uwe interested na kesi zingine za jinai itakusaidia kujua ujanja/akili ya prosecutors kwenye kesi za jinai
Bado itanichua muda kuamini kama hizo kesi zinakuwa za hovyo kama hii ya Mbowe.

Kama ingelikuwa hivi nadhani watu wangeuana Sana kwa kulipizana kisasi.

Fikiria hao makomandoo siku wakitoka mahabusu/ gerezani unadhani watakuwa wanazionaje familia za watesi wao ktk kesi hii ya mchongo.

Madhara kwao ni ya kiasi gani kiasi kwamba wakubali kuuumizwa na mtu mmoja au wawili kwa maslahi yao. Je watafidiwa kiasi gani?
 
Huyu Luteni ni smart sana. Maswali mengine anatoa majibu kumdistort Wakili. Tazama hiyo flow utakua alikua wakati fulani anakua superior kwa Wakili.

Najifunza siyo Kila anayefell form four ni mjinga. Na siyo Kila Wakili ni smart kwa mbele ya wikiliView attachment 2097525

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
We jamaa na hao wenzako walio like comment yako ni vilaza sana...unawezaje kumuita huyu msaliti mtu smart, kasaliti nchi na kiapo chake bado unamuita mtu smart?hapo kuna kipi smart alichoongea? huwa mnakula nini mavi au nini?they say you are what you eat
 
He has a treason case to answer kwenye court marshal ya kijeshi. He chose not to disclose to his army superiors of impending terrorist activities and to recruit ex army members to participate. Kikubwa ni kutotoa taarifa jeshini.
Alipeleka kwenye proper jurisdiction- Homeland security
 
Kwa mujibu wa mtangazaji Godfrey Monyo wa ITV ni kwamba Luteni Urio amesema hawezi kukiuka kiapo chake cha kijeshi kwa kutoa siri za JWTZ mahakamani.

JWTZ ina msemaji wake kwa mujibu wa kanuni zake.

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama

cc: Yoda
 
Huyu ndo Urio na ushahidi wake?
Bullshit.

Nilijua nitaona sms angalau zinazosema mabomu/baruti zipo tayari,mashoka ya kukatia miti tayari.

Wasichojua hawa mataahira wanafikiri mahakama inapokea tu maneno hata yaliyo nje ya ushahidi wa maandishi uliouleta mwenyewe.
 
Sms hizo zinathibitisha maelezo yake ya awali kuwa aliyosimulia yote ni kweli. Labda ni summery ila instantly Mbowe kumshirikisha afisa wa jeshi tena patriotic Commando juu ta njama zake za uhalifu,zinanipa ukakasi ila kama ni kweli Mbowe alifanya hivyo basi ni mshamba sana na aongezewe miaka ktk hukumu yake. Eti uhome boy tu unamwamini mtu bila kumchunguza kama ni shushu au laa. Ila makomando the way treated by, na plan ya ulio used by or accomplished by makomando ni antagonistic. Something missing somewhere like to suggest to go back to the drawing table
Acha ujinga uliokubuhu mkuu,kwahiyo unafikiri mahakama inapokea hadithi iache kupokea ushahidi wenye mashiko ?
 
Kwa hivyo amefuata Nini mahakamani. Ila Jaji ameruhusu ajibu maswali ila majibu yasilete ugumu kwa bosi wake.
 
Back
Top Bottom