Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Kuna course wanasheria hua wanaisoma inaitwa Evidence Law. Huko utakutana na kitu kinaitwa "accomplince" in the comission of a crime. Kama unapenda udadisi soma uyakua umepata jibu la hoja yako
My friend sio evidence law ni LAW OF EVIDENCE.
Yani Law of Evidence Act nimeisoma kwa zaidi ya miaka 4 darasani so usipime hapa kabisa mzee wangu.
 
Nilitegemea.komando.urio angekua na kila kitu kichwani kwa kukumbuka.

Urio.anaulizwa.kua tukio hili muhimu la kwenda kwa DCI heti.hakumbuki.inaonakana hata intake yake huyu.jamaa hakumbuki kweli mwanzoni tulisema police wahovyo kwenye kujieleza lakini huyu jamaa ndio bule kabisa.
Siyo hakumbuki, ni kuwa hakuna kwenda kukutana na dci wala nn. Kufoji ushahidi si kazi ndogo
 
Niliachaga kuifatilia hii isidingo kwa hivi vituko.

Hivi hata mtu uwe hujui sheria kwa kiwango gani ila huyu shahidi anaonekana ni wa mchongo kabisaaa.

Wakimtaja Mbowe pekee anasema ni gaidi ila yeye akihusishwa nao anasema sio gaidi. Kwa maelezo yake huyo bwana basi hao kina adamoo waachiwe tu wakamatwe mbowe na huyu mwamba.

Jamaa anakikanyaga kichizi, kidoogo wale kina kingai ndo wanaonekana ni mashetani waliozoea ila hawa wanaowachomeka chomeka na wanakubali kuchomekea na hao jamaa aisee wataishia pabaya kabisa.

NB. Aliekua mahakamani jamani hivi mh. Jaji alijizuajeje kucheka kwa ushahidi wa huyu mwamba maana mi hapa nimechekan kinoma ni kama vile mtoto aibe mnofu, ana mafuta mdomoni na shavu limevimba ila anasema hajadokoa 😀😀.
 
Kwa nilivyofatilia siku ya jana, nilisikia akisema kwamba wale askari wote walijua wanaenda kufanya kazi ya ulinzi tena akawatahadharisha ya kwamba kama kuna kitu watakiona huko sio cha kawaida au tofauti na majukumu ya kazi yao ya ulinzi basi haraka watoe taarifa kwake. Nadhani hadi pale Morogoro wale makomandoo hawakua wakijua lolote kuhusiana na kazi ya ugaidi
Ndiyo maana nimekuuliza unajua ingridients za makosa ya ugaidi??

Ingia hata mtandaoni tafuta Terorism Act ujisomee upate chakula cha ubongo.
 
Wakati mwingine washtakiwa hua wanafunguliwa shtaka fulani kwa pamoja mf. hilo la "ugaidi" kimkakati tu ila mlengwa hapo ni mmoja tu kati yao. Na upande wa mashtaka wanakua wanajua kabisa kwenye hili kosa atakayepatika na hatia ni mmoja tu kati ya washtakiwa wote. Wanafanya hivi ili ku accomplish lile jukumu lao zito la ku-prove kesi yao "beyond all reasonable doubt". Jukumu hili ni zito sana kwao na ili kulitimiza inabidi kuw creative sana... Kujua haya mambo nakushauri usiishie tu kufuatilia hii kesi ya FAM pekee. Itakapoisha uwe interested na kesi zingine za jinai itakusaidia kujua ujanja/akili ya prosecutors kwenye kesi za jinai
Ila kwa hii wamefail. Hapa wa kuwaepusha aibu ni Jaji peke yake.
 
Halafu anasema hao aliokutana nao hakuwaambia kuwa wanaenda kufanya kazi za ugaidi. Aliwaambia wanaenda kufanya kazi ya ulinzi (aliwadanganya). Tanzania kuna uonevu sana. Yaani hao makomandoo wameteshwa na wanaendelea kunyea ndoo kwa sababu ya uongo wa Urio tu. Na Urio mwenyewe ati yuko huru!!??
Urio bwana yaani kasafiri kwenda morogoro kukutana na magaidi ili kupanga ugaidi.
 
Please tusitweze majukum ya kitaifa ya Urio.Tum judge kwa hila alizoamua kufanya kwa maslah yake binafsi hayo mengine ya kulinda vifaru polini ni kwa ajil ya manufaa yetu watanzania wote please
Sawa mkuu...

Mm ninachoomba kwa dunia yaleo.wafundishwe na mambo.mbalimbali.yale mambo.ya.kizamani.wayaache.
We kama huamini.hili.ni.tatizo subili.siku ya mishahara yao.
Matukio.mengi.wanayafanya.
Kumbe.haya ni mambo.ya kizamani kabisa.
 
Kama sio magaidi wanafanya nini ndani hadi muda huu?
Watoeni mbaki na Mbowe
Hawa makomandoo kila nikifatilia hi kesi naumia sana juu yao
Kweli kabisa. Hawa jamaa walikuwa tayari wana shughuli zao wanafanya. Urio alivyo na roho mbaya akawapigia na kuwaeleza kuwa kuna kazi imetokea na kazi ni ulinzi na hii ndio profesinal yao. Kumbe anawaingiza chaka kabisa.

Atalipa gharama. Kma si yeye ni uzao wake.
 
Upepo wa kesi mbona kama unaonesha hapa source ya yote ni urio. Urio anafahamiana na mbowe, alikutana na mbowe akiwa na p.o.p baada ya kuvunjwa mguu na wahuni akasema 'kaka unaonewa sana'.

Huyu urio alitumwa kwa mbowe kwa mission maalumu sema ilibuma tu. Tuhuma zinarudi kwake yeye ndio gaidi
Baada ya kuona Kesi inamgeukia amese hapana Watuhumiwa sio Magaidi
 
Yaani alichowafanyia hao makomandoo ni ushetani wa hali ya juu...
Kweli kabisa. Hawa jamaa walikuwa tayari wana shughuli zao wanafanya. Urio alivyo na roho mbaya akawapigia na kuwaeleza kuwa kuna kazi imetokea na kazi ni ulinzi na hii ndio profesinal yao. Kumbe anawaingiza chaka kabisa.

Atalipa gharama. Kma si yeye ni uzao wake.
 
Back
Top Bottom