Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
My friend sio evidence law ni LAW OF EVIDENCE.Kuna course wanasheria hua wanaisoma inaitwa Evidence Law. Huko utakutana na kitu kinaitwa "accomplince" in the comission of a crime. Kama unapenda udadisi soma uyakua umepata jibu la hoja yako
Yani Law of Evidence Act nimeisoma kwa zaidi ya miaka 4 darasani so usipime hapa kabisa mzee wangu.