Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini wamyumbishe kwani wapo pale kimyumbisha.kazi yao ni kumhoji ili athibitisfe ushahidi wake basiJopo lote la mawakili wa utetezi hawana uwezo wa kumyumbisha shahidi URIO
Aulizwe mjingamimiHata yey mwenyewe Urio kasema hajui ni nani alimkamata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulilipia magaidi?Nikiwakuta wanakula, namimi nikaanza kula kisha nikalipa bili[emoji23]
Hayo waliyoongea kama yana hoja za ugaidi alete ushahidi wa Video au Audio. Mahakamani hayapokelewi mawazo ya mtu bali ni vielelezo vyenye mashiko. Huyu aliongea na Mbowe juu ya watu wa kumuongezea ulinzi kipindi cha kampeni, hiyo habari ya kwamba wakafanye uhalifu, imetengenezwa baadaye na kina Kingai, ndiyo maana hana hata Audio aliyo record.
Bado itanichua muda kuamini kama hizo kesi zinakuwa za hovyo kama hii ya Mbowe.Wakati mwingine washtakiwa hua wanafunguliwa shtaka fulani kwa pamoja mf. hilo la "ugaidi" kimkakati tu ila mlengwa hapo ni mmoja tu kati yao. Na upande wa mashtaka wanakua wanajua kabisa kwenye hili kosa atakayepatika na hatia ni mmoja tu kati ya washtakiwa wote. Wanafanya hivi ili ku accomplish lile jukumu lao zito la ku-prove kesi yao "beyond all reasonable doubt". Jukumu hili ni zito sana kwao na ili kulitimiza inabidi kuw creative sana... Kujua haya mambo nakushauri usiishie tu kufuatilia hii kesi ya FAM pekee. Itakapoisha uwe interested na kesi zingine za jinai itakusaidia kujua ujanja/akili ya prosecutors kwenye kesi za jinai
We jamaa na hao wenzako walio like comment yako ni vilaza sana...unawezaje kumuita huyu msaliti mtu smart, kasaliti nchi na kiapo chake bado unamuita mtu smart?hapo kuna kipi smart alichoongea? huwa mnakula nini mavi au nini?they say you are what you eatHuyu Luteni ni smart sana. Maswali mengine anatoa majibu kumdistort Wakili. Tazama hiyo flow utakua alikua wakati fulani anakua superior kwa Wakili.
Najifunza siyo Kila anayefell form four ni mjinga. Na siyo Kila Wakili ni smart kwa mbele ya wikiliView attachment 2097525
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Hili mav wakuu mliblockHizo telegram chat na simu walizopigiana hauziamini?
Na nimekuuliza Ina maana kamanda urio anamsingizia mbowe?
Nimewaza sana;Yaani alichowafanyia hao makomandoo ni ushetani wa hali ya juu...
Hata mafunzo aliyochukua hayajui?Yale maswali angeweza kusema tu hajui, maana yeye concern yake ni comando 30, walio chini yake
Unapomtongoza mwanamke unaanzia mbali ili uweze kumpata. Sio njoo chumbani vua chupi.
Nilikuwa shamba navuna mahindi- ngoja nipitie updates za michongo kwanza nilinganishe na za kweli utazipata tucomte nakuita!Au Leo hujapata kamsemo Ka kwenda kugoogle Ili upaste kila mahali?
Alipeleka kwenye proper jurisdiction- Homeland securityHe has a treason case to answer kwenye court marshal ya kijeshi. He chose not to disclose to his army superiors of impending terrorist activities and to recruit ex army members to participate. Kikubwa ni kutotoa taarifa jeshini.
Acha ujinga uliokubuhu mkuu,kwahiyo unafikiri mahakama inapokea hadithi iache kupokea ushahidi wenye mashiko ?Sms hizo zinathibitisha maelezo yake ya awali kuwa aliyosimulia yote ni kweli. Labda ni summery ila instantly Mbowe kumshirikisha afisa wa jeshi tena patriotic Commando juu ta njama zake za uhalifu,zinanipa ukakasi ila kama ni kweli Mbowe alifanya hivyo basi ni mshamba sana na aongezewe miaka ktk hukumu yake. Eti uhome boy tu unamwamini mtu bila kumchunguza kama ni shushu au laa. Ila makomando the way treated by, na plan ya ulio used by or accomplished by makomando ni antagonistic. Something missing somewhere like to suggest to go back to the drawing table
kibatala anaenda maliza mchezo.. kwa kumuangushia kitu kizito komandoHata Mallya amemvuruga vyakutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado Kibatala huyu anaweza kukimbia kesi
Kiapo cha Jeshi siyo mchezo bwashee!Kwa hivyo amefuata Nini mahakamani. Ila Jaji ameruhusu ajibu maswali ila majibu yasilete ugumu kwa bosi wake.
Yaaaan Mungu ameona amdhalilishe tuBaada ya kuona Kesi inamgeukia amese hapana Watuhumiwa sio Magaidi