Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Sms hizo zinathibitisha maelezo yake ya awali kuwa aliyosimulia yote ni kweli. Labda ni summery ila instantly Mbowe kumshirikisha afisa wa jeshi tena patriotic Commando juu ta njama zake za uhalifu,zinanipa ukakasi ila kama ni kweli Mbowe alifanya hivyo basi ni mshamba sana na aongezewe miaka ktk hukumu yake. Eti uhome boy tu unamwamini mtu bila kumchunguza kama ni shushu au laa. Ila makomando the way treated by, na plan ya ulio used by or accomplished by makomando ni antagonistic. Something missing somewhere like to suggest to go back to the drawing table
 
Shahidi izime hiyo simu alafu erejeshe mbele ya mahakama
 
Huyu shahidi jana alisema Mbowe alikua anatumia namba tofauti tofauti, Leo kwenye chatting za telegram yeye ndo alikua anamtahadharisha Mbowe, afu kama alikua kwenye mission na kina Kingai kwanini amtahadharishe target man? Au ndo sababu ya yeye pia kuteswa kama kweli aliteswa.... Anyway kesi hakuna hapa tufanye shughuli zingine za maendeleo
 
Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
 
Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
Umeona mbali kiongoz
Hapa kazi inaenda kwisha mapema tu
 
Huenda huyu jamaa wala hakuteswa na Mosses Lihenje huenda yupo.
Huenda kuna watu waliingizwa kingi.
Mission hii ilipangwa naona
 
Mkuu ungekua unaandika kwa lugha ya Kiswahili, hiyo nyingine haikutaki
 
Huenda huyu jamaa wala hakuteswa na Mosses Lihenje huenda yupo.
Huenda kuna watu waliingizwa kingi.
Mission hii ilipangwa naona
Hata mimi nimewaza hivyo tangu jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…