Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Mkuu ungekua unaandika kwa lugha ya Kiswahili, hiyo nyingine haikutaki
ww hii casual au sijui niseme informal ili uelewe, siwezi andika aux zote kama unavyotaka na nawakataaga sana humu. Shida ya ww upo british sana maana ni most accepted stardard dialect kwenye mitaala yenu huko ila mm ni American.
 
Shahidi: Anaitwa Light Keno CJP

Nadhani Light Keno= Lieutenant Colonel/Luteni kanali.
Hapa umechapia mkuu


Tanzania Military Ranks With Images (JWTZ New Ranks) 2022
  • General/Jenerali.
  • Lieutenant General/Luteni jenerali.
  • Major General/Meja jenerali.
  • Brigadier General/Brigedia jenerali.
  • Colonel/Kanali.
  • Lieutenant Colonel/Luteni kanali.
  • Major/Meja.
  • Captain/Kapteni.
 
Shahidi anakataa kujibu maswali anayoulizwa halafu mawakili wake wanamtetea. Kumbe ukiwa kizimbani unaweza kataa kujibu maswali bila shida yoyote
 
Huyu shaidi amemeza bomu la kunyofoa nipple kwa hiyo hataki kutikiswa saaana anaogopa isije akaripuka maana namwona yupo defensive sana kujibu. Hii ni dalili ya mtu kula kiapo ndani na nje ya mahakama na hatakiwi kuharibu kwote kwote
 
Sasa kama ni kila kitu ni SIRI sasa kaja kutoa ushahidi ama kuimba taarabu hapa mahakamani - URIO kazi unayo leo - unafikiri UGAIDi ni kesi ya wizi wa simu, bata na kuku ndugu?.

Mahakama Kuu CHINI YA KIAPO ina mamlaka makubwa mno ndugu zangu !! Sasa mahakama itajuaje kama URIO ni mjeda kweli na ana uzoefu / elimu ya kiwango gani ili ipime ushahidi wake aliotoa kama vinaleta mantiki.
 
Mawakili wa serikari wanafanya sivyoo kabisa.
 
Daaah home boy ametuangusha kishenzi upande wa jamhuri, katia story kama za abunuasi bila ushahidi wowote unaokazia mashtaka ya ugaidi, la pili ameshindwa kumtambua Mbowe mahakamani
Aliambiwa Mbowe ni mnene kuliko wote na anavalia miwani mda wote na ndio maana ameulizwa swali la sasa yy kajibu la mazoea(anavaaga) wanasheria watatusaidia ikiwa shahidi hamjui vizuri mtuhumiwa kwa sura
 
Good observation and point- big up Kidando
Mheshimiwa Jaji Maswala ya namna hii, labda yawe yanapelekea Ku Injure character ya witness basi Shahidi anaweza Kulazimishwa Kuyajibu. Kinyume na hapo Shahidi hawezi Kulazimishwa
 
Sasa kama ni kila kitu ni SIRI sasa kaja kutoa ushahidi ama kuimba taarabu hapa mahakamani - URIO kazi unayo leo - unafikiri UGAIDi ni wizi wa simu na kuku.
Sasa idadi ya makomandoo Tanzania inahusiana nini na kesi ya ugaidi ya Mbowe
 
Urio baada ya kisago kitakatifu cha kina Kingai kakubali yaishe kaamua kutoa ushahidi wa Urongo - kichapo ukisikie na mwenzio tu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…