Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Sasa idadi ya makomandoo Tanzania inahusiana nini na kesi ya ugaidi ya Mbowe
Ukiwa na akili ndogo huwezi kuelewa. Ukiwa wakili unatakiwa umwulize shahidi, kwa namna ambayo majibu yake, kama ni mwongo, yatamfunga baadaye. Ndiyo maana ukiwa na akili ndogo kama ulivyo wewe, huwezi kujua jibu la swali hilo litajenga swali gani.
 
Sawa wewe wenye akili kubwa na kama MBOWE ndiye mwenyekiti wenu basi mnatia huruma sana na hizo akili zenu kubwa kwani pamoja na ukubwa wake hamna uwezo wa kuzitumia
 
Sawa wewe wenye akili kubwa na kama MBOWE ndiye mwenyekiti wenu basi mnatia huruma sana na hizo akili zenu kubwa kwani pamoja na ukubwa wake hamna uwezo wa kuzitumia
Ccm siku zote hamjawahi kuipenda haki bali mmejaza vichwa minyoo sugu
 
Ninadhani una walakini. Chanzo cha maelezo yake ya awali yalitokana na sms hizi hizi. Nimegundua huna kumbukumbu, hujui kuwa Denis alihojiwa na Polisi na hata akakabishi simu zake zote kwa Polisi? Hakuna anayehoji haya mawasiliano, ni kweli zaidi kuwa wengi tunataka kuona sms hizi hizi zikitumika kuthibitisha kuwa Mbowe alitaka kutenda ugaidi. Isije kuwa kinatakiwa kuthibitishwa hapa ni kuwa Denis na Mbowe walikuwa wanawasiliana. Hilo halina ubishi, limekwishakuthibitishwa.

Achana na lugha usiyoifahamu vizuri - hapa tunasubiri sio interpretation ya chats bali "actual chats" zikisema hayo anayoshitakiwa kwayo. Isije ikawa "aliniambia kwa mdomo" huku pia yeye akiwa aliwaambia makomandoo wenzake kuwa ni kazi ya ulinzi.

Mahakama huwa haiamui kwa "fikra" bali ushahidi usiokuwa na mashaka. Mbowe alikuwa na mawasiliano na Urio na hata alifanya miamala! Those are facts!! Tuendelee kupata facts kwa sababu ndio utakuwa msingi wa hukumu!
 
Mwenyezi Mungu awaongoze Kibatala and Team!
 
Siku moja, nchi itakapokuwa kwenye utawala na mamlaka ya wenye hekima, hawa wazalendo wa kweli itabidi tuwatambue kwa majina yao halisi, ili Taifa la watu wa haki na ustaarabu, liwajalie tuzo sawa na matendo yao mema.
Naaaam! Na ndipo Mwenyezi Mungu atachilia baraka katika hili taifa na kutufungua katika minyororo ya utumwa wa IBILISI
 
Wewe hujui mziki wa kuandika live ndo maana unabwabwaja. Au unadhani anayeandika ni mwanajeshi? Yeye anaandika alichosikia. Hata wewe umepata msaada wa Google. Ulitakiwa uelekeze kwa Wasomaji sio Mwandishi. Unamuattack ili asiupdate au? Yeye wamemuuliza jina sio cheo. Wewe umetaja cheo. Mfano Adamoo ina maana gani Jeshini?

Wanajeshi wengi wana majina bandia. Kajibu baada ya kuulizwa anaitwa nani sio ana cheo gani.
 
Ukiwa na akili ndogo huwezi kuelewa. Ukiwa wakili unatakiwa umwulize shahidi, kwa namna ambayo majibu yake, kama ni mwongo, yatamfunga baadaye. Ndiyo maana ukiwa na akili ndogo kama ulivyo wewe, huwezi kujua jibu la swali hilo litajenga swali gani.
Sawa wewe wenye akili kubwa na kama MBOWE ndiye mwenyekiti wenu basi mnatia huruma sana na hizo akili zenu kubwa kwani pamoja na ukubwa wake hamna uwezo wa kuzitumia
Ungenyamaza ungeficha ujinga wako- wao jina lina sehemu tatu- force no. +rank + named names
 
Huyu urio alijua kazi yake ni kujibu maswali ya cross examination ya mawakili wa serikali,hakujua kama atahojiwa na upande wa utetezi.Kule Tazara alikula kibano mpaka akakubali kuja kutoa ushahidi wa mchongo.Ila huyu naye alikuwa mtuhumiwa lakini wakamchomoa baada ya kukubali na kufundishwa namna ya kutoa ushahidi wa uong😵le wake,Mungu wa mbinguni anamuona.
 
Sawa tupo pamoja ndugu.
 
Umeambiwa mwandishi ni mwanajeshi? Au unaleta ujuaji mavi wako?
 
Hamatan uko vizuri.Maelezo yako ni sahihi.Majibu ya swali hujenga msingi wa swali litakalofuata.
 
Umeambiwa mwandishi ni mwanajeshi? Au unaleta ujuaji mavi wako?
Yeye ni kasuku atuandikie anachosikia siyo wanasema Lieutenant Colonel yeye anaandika anachojua- anapotosha na hiyo haitakiwi
 
Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
kaa kwa kutulia usubirie nondo za mawakili wasomi wa utetetezi.mutujuwa hamujuwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…