Yaliyojiri Mahakamani katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, Januari 13, 2022. Kesi imeahirishwa hadi Januari 14 2022

Yaliyojiri Mahakamani katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, Januari 13, 2022. Kesi imeahirishwa hadi Januari 14 2022

Ugaidi hata Tshs.5,000/= inafanya! Toa akili yako ndogo hapa! Kwani lita moja ya petroleum ni shilingi ngapi na kiberiti kimoja ni shilingi ngapi?
Hoja isiwe kiasi cha pesa,hoja iwe Mbowe alitenda vitendo ambavyo vina amount kwenye ugaidi au la, basi!
Hatutaki kelele za kijinga hapa muache due process ichukue mkondo wake.
Kama hakutenda basi Mahakama itam-acquit.
Na wewe unaamini kabisa upumbavu wa Mbowe ni gaidi, cha ajabu hamjui hata alitaka kumdhuru nani
 
Ndiyo maana wakili msomi Kiba kamuingiza J4 kuonyesha kikosi kilivyo pandishwa vyeo baada ya kubambikia kesi ya kisiasa
Hivyo hata yule wa BBC ataitwa aje atoe ufafanuzi mbona Mkapa aliitwa kesi ya balozi Muhilu!!
Taratibu haki inaanza kuonekana
Ukitaka kuona nyeti ya kuku subiri upepo uvume!!!
Mkapa haukuitwa aliomba mwenyewe aende. Soma kitabu chake ili usije onekana MUUNGO
 
Ugaidi hata Tshs.5,000/= inafanya! Toa akili yako ndogo hapa! Kwani lita moja ya petroleum ni shilingi ngapi na kiberiti kimoja ni shilingi ngapi?
Hoja isiwe kiasi cha pesa,hoja iwe Mbowe alitenda vitendo ambavyo vina amount kwenye ugaidi au la, basi!
Hatutaki kelele za kijinga hapa muache due process ichukue mkondo wake.
Kama hakutenda basi Mahakama itam-acquit.
Mpaka mashahidi wa jamhuri wathibitishe bryond resonable doubt kwamba hiyo laki sita ilitumika kwenye ugaidi si leo. Khalfan bwire alitumiwa miamala na watu kibao
 
Siku nyingine mrekodi video tu aisee, its much easier, leo siku nzima nasoma thread moja bhana
 
Back
Top Bottom