lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kibatala na nduguze ndio wanatamba uringoni.Wamekimbia
Kwa Maana hiyo na airisha Shauri Mpaka Jumatatu Saa 3 Asubuhi na Washtakiwa (MH.MBOWE AKIWEMO) Wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Siku hiyoJana ngoma ilikuwa nzito. Kaona aombe poo akajaze material kwa kudesa..
Kwa Maana hiyo na airisha Shauri Mpaka Jumatatu Saa 3 Asubuhi na Washtakiwa Wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Siku hiyoKibatala na nduguze ndio wanatamba uringoni.
Swali zuri? Yaliyopokelewa na mahakama yatabaki kwenye taarifa za mahakama na yatatumia kama yalivyo dhidi au kwa manufaa ya pande zotehivi huyo shahidi akifa itakuwaje
JAJI: Kwa hiyo Mnaomba ahirisho la saa moja au mpaka kesho? W/S: Tunaomba ahirisho mpaka kesho, maana hatujii itakuwaje.....Kesi ya kubumba mkojo unambana kwenye suruali.Kwa Maana hiyo na airisha Shauri Mpaka Jumatatu Saa 3 Asubuhi na Washtakiwa (MH.MBOWE AKIWEMO) Wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Siku hiyo
Maagizo mengi anapewa hukoMungu wa mbinguni awabariki sana!
Zamani wakati wa mtihani tulikuwa tunakwenda kusoma " nyenzo" chooni.
Baadae chooni akawekwa mlinzi ili kutia hofu wapiga chabo.
Labda vyoo vya mahakama zifungwe camera ili kesi hii iende haraka na iishe.
JAJI: Kwa hiyo Mnaomba ahirisho la saa moja au mpaka kesho? W/S: Tunaomba ahirisho mpaka kesho, maana hatujii itakuwaje.....Kesi ya kubumba mkojo unambana kwenye suruali.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Boaz ambaye ndiye alitakiwa kuwa shahidi wa kwanza kaingia mtini ..... badala yake kaweka mrorongo wa watu wa chini yake. Tangu lini mashahidi wote wanatoka ofisi moja tena kwa maelekezo ya Boss wao .... Only in Tanzania.Samia na Sirro walijitutumua kuwa ushahidi umekamilika na wanamashahidi wakutosha... Kwa upuuzi huu unaofanyika ni dhahiri kuwa kuwa DPP alimdangaya Rais na IGP.. kiukweli hawa watu hawana mashahidi...
Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi hii... Waondoe haraka sana shauri hili mahakamani.. hivi inawezekanaje ndani ya mashahidi 11 waliobaki hamna hata mmoja ambae yupo tayari kuja kutoa ushahidi??
Hii ni dhalili kuwa mashahidi wanapikwa na kumezeshwa cha kusema! Familia za watuhumiwa zinateseka na kupitia wakati mgumu sana dhulma hizi mnazozifanya zitatafuna hadi kizazi chenu cha nne! Mashahidi 13 wanatosha kuthibitisha jinai sitisheni ushahidi watuhumiwa wajitetee jaji atoe hukumu!
Ushahidi mkuu mbona uko tayari kwenye committal bundle na hakimu alishaona unaweza kutia mtu hatiani?Upande wa mashitaka wanafanya hila na bahati nzuri hila hizi bado ziko kisheria. Watakachokifanya ni kukaa na shahidi na kumwelekeza maswali na majibu ya re-examination watakayofanya kwa shahidi Swila na kupanga watakayomhoji shahidi namba 12. Hili litamlazimisha Kibatala kurudia maswali mengi sana ili shahidi ajichanganye. Sasa hata siku aliyopanga kumaliza Kibatala haitakuwa.
Sababu alizotoa wakili wa serikali ni za ajabu sana coz inaonesha kabisa kuwa hata shahidi namba 12 asingetokea kesho hata kama Kibatala angemaliza utetezi wake leo. Ni wazi shughuli yao nzima iko katika kupata muda na shahidi namba 12. Wanamhitaji shahidi namba 12 katikati au mwisho wa week ijayo!! Wameamua kutumia delaying tactic ili kurekebisha sehemu zilizoharibika.
Ujinga mzigo kwakuwa ww saidi yeye nasoro jinga kabisaNIMEAMINI WAKILI NASSORO KATUGA ANAJUA SHERIA KULIKO KIBATALA KUNA KITU KIBATALA ALITAKA KUIPOTOSHA MAHAKAMA.
Kwanini wadanganyika mnapenda mambo yakupongezana?Wataalamu wa kuanzisha Nyuzi anzisheni uzi wa kumpongeza Jaji kajitahidi sana kuanzia alipoanza Denis Urio ,kaenda bila upendeleo .
Naitwa Matereka Jayunga nafatilia kwa umakini mkubwa kutoka bariadi mkoani simiyu
Baasi na Iwe hivyo.Swali zuri? Yaliyopokelewa na mahakama yatabaki kwenye taarifa za mahakama na yatatumia kama yalivyo dhidi au kwa manufaa ya pande zote
Vipi hii kesi unaona bado ipo?Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Means kapewa àmri atende kadri ya ushahidi? Na maagizo yao cancelled now?Wataalamu wa kuanzisha Nyuzi anzisheni uzi wa kumpongeza Jaji kajitahidi sana kuanzia alipoanza Denis Urio ,kaenda bila upendeleo .