Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Jana ngoma ilikuwa nzito. Kaona aombe poo akajaze material kwa kudesa..
Kwa Maana hiyo na airisha Shauri Mpaka Jumatatu Saa 3 Asubuhi na Washtakiwa (MH.MBOWE AKIWEMO) Wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Siku hiyo
 
Kwa Maana hiyo na airisha Shauri Mpaka Jumatatu Saa 3 Asubuhi na Washtakiwa (MH.MBOWE AKIWEMO) Wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Siku hiyo
JAJI: Kwa hiyo Mnaomba ahirisho la saa moja au mpaka kesho? W/S: Tunaomba ahirisho mpaka kesho, maana hatujii itakuwaje.....Kesi ya kubumba mkojo unambana kwenye suruali.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Zamani wakati wa mtihani tulikuwa tunakwenda kusoma " nyenzo" chooni.

Baadae chooni akawekwa mlinzi ili kutia hofu wapiga chabo.

Labda vyoo vya mahakama zifungwe camera ili kesi hii iende haraka na iishe.
Maagizo mengi anapewa huko
 
Hii kesi inawatesa sana upande wa Jamhuri, ushahidi kwa kuunga unga una gharama kubwa.
 
Wataalamu wa kuanzisha Nyuzi anzisheni uzi wa kumpongeza Jaji kajitahidi sana kuanzia alipoanza Denis Urio ,kaenda bila upendeleo .
 
Samia na Sirro walijitutumua kuwa ushahidi umekamilika na wanamashahidi wakutosha... Kwa upuuzi huu unaofanyika ni dhahiri kuwa kuwa DPP alimdangaya Rais na IGP.. kiukweli hawa watu hawana mashahidi...

Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi hii... Waondoe haraka sana shauri hili mahakamani.. hivi inawezekanaje ndani ya mashahidi 11 waliobaki hamna hata mmoja ambae yupo tayari kuja kutoa ushahidi??

Hii ni dhalili kuwa mashahidi wanapikwa na kumezeshwa cha kusema! Familia za watuhumiwa zinateseka na kupitia wakati mgumu sana dhulma hizi mnazozifanya zitatafuna hadi kizazi chenu cha nne! Mashahidi 13 wanatosha kuthibitisha jinai sitisheni ushahidi watuhumiwa wajitetee jaji atoe hukumu!
Boaz ambaye ndiye alitakiwa kuwa shahidi wa kwanza kaingia mtini ..... badala yake kaweka mrorongo wa watu wa chini yake. Tangu lini mashahidi wote wanatoka ofisi moja tena kwa maelekezo ya Boss wao .... Only in Tanzania.

Ila sitashangaa kabla ya hii kesi kuisha kuna shahidi wataondoka naye, I mean watamalizana naye ......!!!
 
Upande wa mashitaka wanafanya hila na bahati nzuri hila hizi bado ziko kisheria. Watakachokifanya ni kukaa na shahidi na kumwelekeza maswali na majibu ya re-examination watakayofanya kwa shahidi Swila na kupanga watakayomhoji shahidi namba 12. Hili litamlazimisha Kibatala kurudia maswali mengi sana ili shahidi ajichanganye. Sasa hata siku aliyopanga kumaliza Kibatala haitakuwa.

Sababu alizotoa wakili wa serikali ni za ajabu sana coz inaonesha kabisa kuwa hata shahidi namba 12 asingetokea kesho hata kama Kibatala angemaliza utetezi wake leo. Ni wazi shughuli yao nzima iko katika kupata muda na shahidi namba 12. Wanamhitaji shahidi namba 12 katikati au mwisho wa week ijayo!! Wameamua kutumia delaying tactic ili kurekebisha sehemu zilizoharibika.
Ushahidi mkuu mbona uko tayari kwenye committal bundle na hakimu alishaona unaweza kutia mtu hatiani?
 
Wataalamu wa kuanzisha Nyuzi anzisheni uzi wa kumpongeza Jaji kajitahidi sana kuanzia alipoanza Denis Urio ,kaenda bila upendeleo .
Kwanini wadanganyika mnapenda mambo yakupongezana?
 
Sawa mahakama imeridhia hairisho. Upande wa mashitaka kila shahidi wao akija anakuwa na hudhuru za hapa na pale.
Inaonekana hawafanyi rehearsal vizuri kumeza uongo wao!
 
Naitwa Matereka Jayunga nafatilia kwa umakini mkubwa kutoka bariadi mkoani simiyu

Na mie leo sijaenda kuuza Manda nipo hapa Longalonh'iga seat ya mbele kabisa nafuatilia madini ya Kibatala
 
Wataalamu wa kuanzisha Nyuzi anzisheni uzi wa kumpongeza Jaji kajitahidi sana kuanzia alipoanza Denis Urio ,kaenda bila upendeleo .
Means kapewa àmri atende kadri ya ushahidi? Na maagizo yao cancelled now?
 
Back
Top Bottom