Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Ha ha ha, eti nilimtaka mlinzi wake achukue kalamu na karatasi ili waandike duh aisee
Kesi ya kubumba. Kuna maneno mengi ya uongo wameyaongezea wakati Wakili wa serikali akimuhoji, maneno ambayo hayapo kwenye statement yake aliyoitoa polisi ambayo ndiyo inatumika kama ushahidi.

Mtobesya: Wakati wakili wa Serikali anakuongoza a umesema wewe unajishughulisha na Kilimo na Ukasema unavyofanya Kilimo, Je yapo hapo kwenye Statement..?

Shahidi: Hayapo

Mtobesya: Soma kwa Sauti Kuanzia Sehemu unayosema kuwa Ulikuwa Msaidizi wa Katibu wa CCM Shahidi anasoma Kuwa alikuwa Msaidizi wa Katibu wa CCM na mwanaharakati wa CCM.

Mtobesya: Wakati wakili wa Serikali anakuongoza ulisema kuwa wewe Ulishawahi kuwa Msaidizi wa CCM.

Shahidi: Hapana
 
... eti Mheshiwa sana Freeman Aikaeli Mbowe (KUB) amtumie "nguruwe" kama yule pesa kupitia Airtel Money! Jinga kabisa shahidi feki!
 
Usiombe kuhojiwa na hawa mawakili upande wa utetezi.....unaweza 💩
 
... UVCCM meza imepinduka huko mahakamani msikimbie uzi. Jibuni hizi hoja; jingalao, Magonjwa Mtambuka, citizensindevelopment18, Kiturilo, et. al.
 
Una akili ya kisoda sana, unafikiri huyo Shahidi hawezi kupangwa kusema hayo, kwanini alikaa ndani mwaka mzima na baadae kuachiwa?

Acha kuamini kila kisemwacho.
Usipaniki, teknolojia haijawahi kumuacha mtu salama, kazi ndiyo kwanza imeanza
 
 
Mbowe atafungwa kwa mazongemazonge ya serikali ya Samia .....hawa watu wa CCM sijui wataingia mbingu ipi...maana kwa hakika Wana laana za damu za watanzania wasiokuwa na hatia
 
Kila siku nikifuatilia "cross examination" kwenye hii kesi huwa nacheka mwenyewe nikikumbuka wakati nipo shuleni. Ikifika mwishoni karibia ya mitihani kuna baadhi ya walimu hasa wale wavivu walikuwa wanakuja kuondoa lawama kwa kuleta notisi zao nyingi kwa wakati mmoja ili kutimiza matakwa ya "syllabus".

Sasa ilikuwa kazi kwetu kusoma kila kitu kwa muda mfupi kwani unakuta hujui swali litatoka wapi mwishoe unaona unachanganyikiwa muda hautoshi basi inabidi ujitahidi umeze "material" yote badala ya kuelewa.

Sasa shida inakuja siku yenyewe ya mitihani ukikuta swali unalijua aisee unatema vile vile ulivyomeza kwa usahihi mkubwa kazi ni pale tu unapowekwa mtego kidogo tukwenye swali aisee utaingia chaka la nguvu.
 
Mawakili wa utetezi weupe kabisa, watamponza Mwamba hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…