dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... acha tu Kiongozi; hii nchi kupitia CCM ina laana kali sana!Duh! Ndiyo maana mara nyingi watu wema hatufanikiwi sana. Ntalipwa kiasi gani cha fedha au cheo gani nitapewa mpaka nikubali kumtesa binadamu mwenzangu?