Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
No stone shall not turned. Mpaka hapa hii picha limeshakuwa la kihindi.🤣🤣🤣🤣
Shahidi Mkulima wa mbogamboga na mpiga picha asiye Mwanachama wa chama chochote
View attachment 1988505
View attachment 1988506
View attachment 1988507
Good for you.Kwa ushahidi tu wa jana na leo, kesi imekaa vibaya sana kwa Mbowe. Yaanii kifungo kinaanza kumnyemelea. IGP Sirro alikuwa sahihi aliposema Mbowe siyo malaika.
Naona unaelekea kwenye "ULOKOLE"!Ni jambo jema
Hekima ya Mungu na iwe juu yako ili utuletee habari kamilifu bila kuongeza wala kupunguza chochote.
Hakuna shida mtakatifu ,Mbowe atafungwa ili familia yako na ukoo wako dhiki mlizonazo ziishe,magonjwa mliyonayo ndani yafamilia yaishe.Huyo gaidi wamfunge haraka
Wewe ni CCM huna chakusema zaidi ya kusifia ili ulipwe .WEUPE KABISA MBONA
Amesema uongo chini ya kiapo?Kada na shahidi View attachment 1988582
Huyu hapa tena,Amesema uongo chini ya kiapo?
Mtobesya: Kwa hiyo wewe siyo Mwanachama
Shahidi: Siyo Mwanachama Wa Chama Chochote
Mtobesya: Ni lini Uliacha kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi
Shahidi: Sijawahi Kuwa Mwanachama wa Chama chochote Kile
Huyu shaidi ni aibu tu mbele ya mahakama🤣🤣🤣🤣
Shahidi Mkulima wa mbogamboga na mpiga picha asiye Mwanachama wa chama chochote
View attachment 1988505
View attachment 1988506
View attachment 1988507
Kwa akili yako finyu siku upande wa utetezi wakileta shahidi ambaye ni mwanachama wa CDM basi huo ushahidi wake utakuwa hauna maana? Sababu tu ni mwanachama wa CDM na Mbowe ni Mkiti wa chama hicho?Kada na shahidi View attachment 1988582
Tumia akili kidogo,acha akili za siasa za umalaya malaya.Shida siyo kuwa mwanaCCM shida ni yeye kukataa kuwa siyo mwanachama alikuwa na lengo gani.Acha mihemko ya kisiasaKwa akili yako finyu siku upande wa utetezi wakileta shahidi ambaye ni mwanachama wa CDM basi huo ushahidi wake utakuwa hauna maana? Sababu tu ni mwanachama wa CDM na Mbowe ni Mkiti wa chama hicho?
Mimi nina akili finyu sawa ila wewe kwenye hilo fuvu lako kuna uharo tu huna akili hata kiduchu shoga weweKwa akili yako finyu siku upande wa utetezi wakileta shahidi ambaye ni mwanachama wa CDM basi huo ushahidi wake utakuwa hauna maana? Sababu tu ni mwanachama wa CDM na Mbowe ni Mkiti wa chama hicho?
Nashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na Serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia
Wewe ni CCM huna chakusema zaidi ya kusifia ili ulipwe .
Unaweza ukasikiliza utetezi wa pande zote mbili na bado ukashindwa kuupata ukweli halisi.Mungu alituumba kwa mfano wake.
Ufanano huo mdogo sana sana wa Mungu kwetu ni katika ile hali ya utambuzi kwa akili aliyotupa, ila tukipungukiwa na kutoa haki.
Kama tuna akili tunapata kaukweli fulani baada ya kusikiliza pande zote.
Hatuwezi kumwachia Mungu, badala ya kutumia akili aliyotupa.
Shaidi wa Leo walimpanga vizuri sana wakaona itakuwa bonge la ushahidi yahaani wanaua kama sio kuwa Homa ya jiji.Kwa ushahidi tu wa jana na leo, kesi imekaa vibaya sana kwa Mbowe. Yaanii kifungo kinaanza kumnyemelea. IGP Sirro alikuwa sahihi aliposema Mbowe siyo malaika.