Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Huu ushahidi ni wa kupanga na wameona wachombeze jina la huyo dada Joyce kwa makusudi tu ili kumpa Mbowe kashfa. Hawa polisi Hamza aliwatendea haki kabisa.

Wameichelewesha makusudi hii kesi ili wapate muda wa kuwapa "mafunzo" hao wanaojiita "mashahidi". That's all.
 
Kwa ushahidi tu wa jana na leo, kesi imekaa vibaya sana kwa Mbowe. Yaanii kifungo kinaanza kumnyemelea. IGP Sirro alikuwa sahihi aliposema Mbowe siyo malaika.
Good for you.
Good for your family
Good for your political part CCM

-Nafikiri akifungwa matatizo yako ya kiafya na kiuchumi yatakuwa yametatuliwa
- Akifungwa ugonjwa wa kansa unao mwanandama mama yako utakuwa umeisha
-Akifungwa biashara zako zitakuwa zimekaa sawa
 
Kada na shahidi
FB_IMG_1635345161506.jpg
 
Kwa akili yako finyu siku upande wa utetezi wakileta shahidi ambaye ni mwanachama wa CDM basi huo ushahidi wake utakuwa hauna maana? Sababu tu ni mwanachama wa CDM na Mbowe ni Mkiti wa chama hicho?
Tumia akili kidogo,acha akili za siasa za umalaya malaya.Shida siyo kuwa mwanaCCM shida ni yeye kukataa kuwa siyo mwanachama alikuwa na lengo gani.Acha mihemko ya kisiasa
 
Kwa akili yako finyu siku upande wa utetezi wakileta shahidi ambaye ni mwanachama wa CDM basi huo ushahidi wake utakuwa hauna maana? Sababu tu ni mwanachama wa CDM na Mbowe ni Mkiti wa chama hicho?
Mimi nina akili finyu sawa ila wewe kwenye hilo fuvu lako kuna uharo tu huna akili hata kiduchu shoga wewe
 
Nashauri Mkiti ashauriane na wanasheria wake wafanye "Plea bargain" na Serikali kama inawezekana, hii kesi inaenda kumvua nguo, Afanye vyovyote anavyoweza kuiepuka hii fedheha.....Porojo za akina Kibatala hazitomsaidia
FCtHNKnX0AkERN2
 
Hii KESI nzuri sana. Nimefurahi jamaa alivyo karirishwa..kuwa alikuwa anapigiwa simu na MBOWE,na kukutananaye Ampe taarifa za Sabaya. Mshikaji Kichwa kweli. ANAJUA kukatiri Sana. Sijui Kama sio bingwa WA Hesabu enzi zake.
 
Mungu alituumba kwa mfano wake.
Ufanano huo mdogo sana sana wa Mungu kwetu ni katika ile hali ya utambuzi kwa akili aliyotupa, ila tukipungukiwa na kutoa haki.
Kama tuna akili tunapata kaukweli fulani baada ya kusikiliza pande zote.
Hatuwezi kumwachia Mungu, badala ya kutumia akili aliyotupa.
Unaweza ukasikiliza utetezi wa pande zote mbili na bado ukashindwa kuupata ukweli halisi.

Mbowe siyo "malaika" mtakatifu, anaweza akawa gaidi au asiwe gaidi. Ukweli halisi anaujua MUNGU pekee na Mbowe mwenyewe.

Polisi nao siyo malaika, wanaweza kuwa wapo sahihi au hawapo sahihi. Hapa napo ukweli sahihi anaujua MUNGU.

Ndiyo maana nikasema haki ya kweli inapatikana kwa MUNGU tu basi, kwa wanadamu huwezi kupata haki.

Kuna watu ni wauaji, lakini kwa ufundi wa kujitetea mahakamani waliachiwa huru licha ya kwamba ni kweli waliua.

Pia kuna watu siyo wauaji lakini kwa kushindwa kujitetea mahakamani walihukumiwa kifo licha ya kwamba hawakuwa na hatia yoyote.

Mtu fulani kuhukumiwa au kuachiwa huru haimaanishi kwamba wanadamu wanaweza kutenda haki.
 
Kwa ushahidi tu wa jana na leo, kesi imekaa vibaya sana kwa Mbowe. Yaanii kifungo kinaanza kumnyemelea. IGP Sirro alikuwa sahihi aliposema Mbowe siyo malaika.
Shaidi wa Leo walimpanga vizuri sana wakaona itakuwa bonge la ushahidi yahaani wanaua kama sio kuwa Homa ya jiji.

Masikini ya Mungu wakati wanampanga shaidi wakasahau kusoma maelezo aliyotoa polisi. Alichokiongea Leo Mahakamani ni tofauti kabisa na maelezo aliyotoa polisi. Na Inaonekana upande wa mashitaka ndio walikuwa wanamtegemea sana

Kwa kifupi ni aibu sana
 
Back
Top Bottom