Tatizo Tiss ni vichwa vibovu hawaipendi bali. Nchi matumbo yao hivi kweli wangekuwa weledi unaruhusije kesi inayomdharilisha chief Hangaya na serikali yake to zero yaani ukisikia watanzania ni stunt brain kwa asilimia 41 ndio matokeo yake haya ya akina Ramadhani Kingai sijui alizaliwa na naniNaona mwenye chair ushahidi unamkaanga..sion possibility ya yeye kuchomoka asee...
Bashite katika ubora wake hutusumbuwi your just an empty tinMawakili wa utetezi weupe kabisa, watamponza Mwamba hawa
Wewe si ulimuorodhesha muuza madawa ya kulevya sawa na Ridhiwan rafiki yako uliyekuwa unamfunga kamba za viatu. Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana koromije zeroMwanzo mwisho, nimesikia pia jinsi Mkiti alivyokuwa analitumia gari la KUB kuzurura na "kimada" na kupanga matendo ya uhalifu.
Jiulize wewe ulivyooenda kugunguwa domo lako kanisani unalia na kubweka kana jibwa tukuletee picha yakoNaona unaelekea kwenye "ULOKOLE"!
Utatusaidia vipi 'ulokole' Tanzania?
Ulitaka azae na mama yakoKumpa kashfa tena? Wakati mwenyekiti amezaa na huyo Dada watoto wawili? Nyinyi akili zenu zikoje na huyo Mwenyekiti wenu?
EeeeenHeeee,Jiulize wewe ulivyooenda kugunguwa domo lako kanisani unalia na kubweka kana jibwa tukuletee picha yako
Mungu akiamua kuwaumbua hawana ujanjaTumefikia huko tena
Hivi ndivyo alivyoandika .
View attachment 1989037
Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa Mahakama ni taasisi kamili ya ccm kama ilivyo UWT , UVCCM na Polisi .
Hakuna sababu tena ya kwenda kusikiliza vioja!Wazungu leo wamechelewa?
Kuuliza si ujinga, Jaji haruhusiwi kuomba radhi.?
Wewe mwenyewe hapo huna tofauti na huyo unayemsema hapo. Tazama tu unavyo'seek attention' kwa hilo jina ulilojipachika, huku ukiwashabikia wanaoinajisi hiyo Tanzania unayodai unaipenda.Kuna sababu yeyote ya kuwa na "Stunts" kama hizi mahakamani? Huyu jamaa watu wanamvimbisha kichwa sana na masifa wanayompa, ila sidhani kama kweli ana uwezo huo...Attention Seeker