akilinene
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 516
- 436
Hayo ni maoni yako binafsi na wishes zako. Bahati mbaya siyo ya kisheria na mahakama ile ni ya kisheria, the court of law na siyo the court of opinion.Shaidi wa Leo walimpanga vizuri sana wakaona itakuwa bonge la ushahidi yahaani wanaua kama sio kuwa Homa ya jiji.
Masikini ya Mungu wakati wanampanga shaidi wakasahau kusoma maelezo aliyotoa polisi. Alichokiongea Leo Mahakamani ni tofauti kabisa na maelezo aliyotoa polisi. Na Inaonekana upande wa mashitaka ndio walikuwa wanamtegemea sana
Kwa kifupi ni aibu sana