Hayo ni maoni yako binafsi na wishes zako. Bahati mbaya siyo ya kisheria na mahakama ile ni ya kisheria, the court of law na siyo the court of opinion.Shaidi wa Leo walimpanga vizuri sana wakaona itakuwa bonge la ushahidi yahaani wanaua kama sio kuwa Homa ya jiji.
Masikini ya Mungu wakati wanampanga shaidi wakasahau kusoma maelezo aliyotoa polisi. Alichokiongea Leo Mahakamani ni tofauti kabisa na maelezo aliyotoa polisi. Na Inaonekana upande wa mashitaka ndio walikuwa wanamtegemea sana
Kwa kifupi ni aibu sana
Mimi sina upande nilioegemea, najua kuna sehemu lazima watu wakubali lawama, tuache kulaumiana na tutafute suluhisho ili watoto wetu warithi Tanzania yenye umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha.Unaongelea siasa za kistaarabu za kupiga risasi,kufunga na kubambikia kesi wapinzani kama kina Sugu, Lisu, Mbowe, lema etc na kuiba uchaguzi nchi nzima, kuweni na aibu kidogo
Kukumbushana kunako amani ni bora kuliko kila siku kuhubiri chuki na dharau, tatizo kubwa tulilonalo ni ubinafsi, viongozi wengi wawe wa chama tawala au upinzani wana ajenda binafsi kuliko ajenda zenye maslahi ya umma.Toa mfano basi busara ipi itumike? Maana watu wameongea sana hata kipindi wakiwa bungeni lakini hakuna lolote, au kufanya kongomano sio busara?
Watu mnajifanya wajuaji sana kwenye hamna.
Yatakiwa waulizwe madhumuni ya kufika mahakamani. au walikuwa wadau wa mchezoWazungu leo wamechelewa?
Wamtafute bila kuchoka. Asije akawa kama savimbi wa Unita . Ati anafuta hapatikani mpaka misitu ya kongoNingependa kujua alipo Moses Lihenje...
Wewe, hadi ufahamu hilo, labda ulitaka azae na wewe. Wanawake mna mambo sana, unafamu hata kabla mke wake hajafahamu.😜😜Kumpa kashfa tena? Wakati mwenyekiti amezaa na huyo Dada watoto wawili? Nyinyi akili zenu zikoje na huyo Mwenyekiti wenu?
Mungu alifanya kwa Magufuli,akafanya kwa Makonda ,akafanya kwa Sabaya!!Mimi sikuhukumu Mungu mwenyewe aliyetuumba anakujua vizuri zaidi yangu.Sisime upokee laana na familia yako kwa maneno na matendo yako ,sisemii wewe na familia yako mpokee kansa lakini Mungu aonaye sirini na akujaze mwenyewe.Usipanick , nyie ndiyo mmekuwa mkituhubiri kuwa haki huiponya taifa. Ndiyo hivyo gaidi akihukumiwa taifa tutapona dhidi ya maovu yote ya kigaidi. Biashara au afya inaweza kuteketezwa muda wowote na gaidi. Hakuna afya njema, biashara nzuri wala kazi nzuri gaidi akiingia mtaani.
Kwani kipo kifungu cha sheria kinachompa haki ya kuomba radhi?
Kesi bado ipo na inaendelea.Hakuna sababu tena ya kwenda kusikiliza vioja!
Wewe bado unaona hapo ipo kesi ya watu kupotezea muda wao?
AaMungu alifanya kwa Magufuli,akafanya kwa Makonda ,akafanya kwa Sabaya!!Mimi sikuhukumu Mungu mwenyewe aliyetuumba anakujua vizuri zaidi yangu.Sisime upokee laana na familia yako kwa maneno na matendo yako ,sisemii wewe na familia yako mpokee kansa lakini Mungu aonaye sirini na akujaze mwenyewe.
Niwie radhi kwa kujazibika ninapoona tuko jf kwa hoja nzito mtu analeta mzaha na kejeri. Binafs hili suala naliangalia kwa muktadha wa kanuni ya utoaji haki na utawala bora kuwa si tu haki itendeke bali ionekane ikitendeka. Jaji ni mkubwa sana katika kiti chake kama referee. Hapaswi kutetemekea upande wowote. Tena Mashahid!Kwa hiyo wewe hapo ndiyo umejiona una iq kubwa? Nini cha maana umechangia kiasi cha kumdhihaki mwenzio.Punguza utoto mwingi,jikite kwenye mada,shusha nondo zako udhihirishe ukubwa wa iq yako na si kuleta maneno ya kejeli kwa wengine.
alipanga kuua jambazi suguKabisa leo chadomo wamepigwa na kitu chenye ncha kali hawatalala . mbowe alipanga kumuuwa sabaya kijinga sana
USSR
"Vioja" vitaendelea, lakini havina lazima ya watu kuacha kazi zao kwenda kuvisikiliza!Kesi bado ipo na inaendelea.
Hakuna vioja wala nini, mwamba anaendelea kusota kolokoloni."Vioja" vitaendelea, lakini havina lazima ya watu kuacha kazi zao kwenda kuvisikiliza!
Kwa gharama ya heshima ya nchi yetu; kwa sababu tu nchi inaongozwa na wapuuzi!Hakuna vioja wala nini, mwamba anaendelea kusota kolokoloni.
Wapuuzi wapo ufipa....kwa sababu tu nchi inaongozwa na wapuuzi!
Hilo mimi halinihusu kama wapo huko, lakini najua tuna wapuuzi wanaoendesha nchi hii sasa hivi.Wapuuzi wapo ufipa.
Linakuhusu.Hilo mimi halinihusu…
Kama kawaida yako, siku zote. Haya endelea!.Linakuhusu.