Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022

Hahahah hapa hakuna kesii jamani ukweli mtupu yaaani daaaah sijui jajii na DPP wanasubiri nini aibu itawafika upande wa Mashitaka
 
Shahidi Keshaanza wenge[emoji28]

Nashon: Kwa Kushiriki Kikao hicho Kaaya alikuwa anashiriki Kikao cha Kigaidi

Shahidi: Alikuwa ajui Dhumuni La Kikao, Kwa hiyo ajashiriki Kikao cha Kigaidi

Nashon: Lakini katika Kikao hicho hicho Mbowe alishiriki Kikao cha Ugaidi

Shahidi: Ndiyo

Mahakama: KICHEKO
 
Shahidi: Tarehe 30 March 2021 Niliweza Kupokea Taarifa Ya Maabara ya Sayansi, Kutoka Kitengo Cha Uchunguzi Wa Maandishi, Kutoka Kwa koplo Khamis, Wa Kutengo cha Uchunguzi Wa Maandishi. Niliweza Kusoma Ripoti hiyo, Ambapo Ripoti hiyo ilionyesha Kuwa Sampuli Za Maandishi yaliyo chukuliwa Kutoka Kwa Mtuhumiwa Khalfani Bwire Hassan, Ni sawa Sawa na Maandishi Yaliyokuwepo Katika Daftari nililoambatanisha katika Uchunguzi ule
 
Nashon: unajua Kuwa Mahakama Inaruhusu Kutumia Video na Sauti katika Ushahidi

Shahidi: Sifahamu

Nashon: Nikumbushe Cheo Chako huko Polisi

Shahidi: Inspector Wa Polisi

Nashon: Na Inspector Wa Polisi Ujui Kuwa Mahakama Inatumika Video na Sauti Katika Ushahidi

Shahidi: Ndiyo

Hawa jamaa wameelekezwa kuwa kinga yao kwa kila kitu wajibu kuwa hawafahamu .....!!
 
Hahahah hapa hakuna kesii jamani ukweli mtupu yaaani daaaah sijui jajii na DPP wanasubiri nini aibu itawafika upande wa Mashitaka
Shahidi: Tarehe 30 March 2021 Niliweza Kupokea Taarifa Ya Maabara ya Sayansi, Kutoka Kitengo Cha Uchunguzi Wa Maandishi, Kutoka Kwa koplo Khamis, Wa Kutengo cha Uchunguzi Wa Maandishi. Niliweza Kusoma Ripoti hiyo, Ambapo Ripoti hiyo ilionyesha Kuwa Sampuli Za Maandishi yaliyo chukuliwa Kutoka Kwa Mtuhumiwa Khalfani Bwire Hassan, Ni sawa Sawa na Maandishi Yaliyokuwepo Katika Daftari nililoambatanisha katika Uchunguzi ule
 
Wakili Nashon Nkungu amemtemesha jamaa kaenda kata kimba.
 
Mawakili wa utetezi tukiwambia wanamihemko na uelewa mdogo mnabisha hebu tazama

Nashon: Kwakuwa Umeibuka Mjadala hapo, Na Kwakuwa Mheshimiwa Jaji Shahidi alisema anaifahamu PGO naomba ni Muonyeshe Shahidi PGO hii ambayo alikuwa anaitumia Wakati wa Kufanya Kazi, PGO ya 8 Paragraph ya 9

Jaji: Rudia na uongeze Sauti

Nashon: Soma Kipengele (e)

Jaji: Samahani, Hapa OC anahusika baada ya OC kuwa ameletewa Vielelezo Hapa Sheria inasema Kwamba OC Forensic Beaural, Ndani ya Forensic baada ya Kuvipokea Nataka sasa Kufahamu Premise ya swali lako naandikaje, Inawezekana Unahoja ila namna ya ulivyoliweka ndiyo Unanichanganya

Nashon: labda Kwako Mheshimiwa Jaji, lakini najua siyo sawasawa.

Wakili John Malya: Mheshimiwa Jaji Kwa Kuokoa Muda, wakili aende Kwenye eneo lingine baadae ndiyo arudi kuunganisha hapo

Jaji: Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…