Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Shahidi wa Jamhuri kesi ya mbowe anasema yeye na wenzake, hawakuwahi kumuona wala kunasa hata sauti ya Mbowe akipanga kufanya vitendo vya kigaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani nilipokuwa nikisikia mtu akiitwa inspector wa polisi, nilikuwa naona bonge la title jamaa ni hatari na anaakili mno. Kumbe ulikuwa ni utoto. Kweli waenga waliposema kuwa uyaone hawakukoseaNashon: Nikumbushe Cheo Chako huko Polisi
Shahidi: Inspector Wa Polisi
Nashon: Na Inspector Wa Polisi Ujui Kuwa Mahakama Inatumika Video na Sauti Katika Ushahidi
Shahidi: Ndiyo
11.Matumizi mabaya ya fedha za Umma,ya kulipana posho za safari na kutumia vibaya chombo cha usafiri cha serikali kwa kazi zisizo na tija.Anashtakiwa kwa makosa ya kula njama. Kiongozi wa hizo njama Luteni Utio, aliamua kuwasaliti wafuasi wake...
Urio anawapanga washtakiwa wote, alipomaliza kuwapanga akaenda kwa DCI kuwatuhumu ugaidi. DCI naye akakamata bila hata upelelezi. Sasa wanashtaki kwa makosa ambayo hayajawahi kutendeke, isipokuwa na huyo Urio na akina Kingai.
Mashahidi wanaonekana wao ndiyo wenye kesi ya kujibu.
1. Kuandaa mipango ya kigaidi.
2. Kutafuta makomandoo wastaafu, kisha kuwalaghai kuwa kuna kazi za ulinzi, huku wakijua wanawaelekeza kwenye dili zao walizopanga na DCI za ugaidi wa kupanga.
3. Kukamata watu waliokuwa wanafanya kazi halali za ulinzi na kuwabambikia ugaidi.
4. Usaliti kwa nchi na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi.
5. Uhaini.
6. Usatakatishaji wa binadamu.
7. Uzururaji (usiku na mchana kutafuta watu wasiokuwa n hatia)
8. Utapeli.
9. Kuiaibisha na kuidhalilisha serikali iliyopo madarakani
10. Kundhalilisha rais kwa kumlisha maneno ya uongo.
Ipo siku hii kezi itampata jaji atakayeweza kuisikiliza. Watu wanatamani kumalizia maisha yao kwa mareso na uchungu jela badala ya kumalizia kwa furaha uraiani.
Kwaiyo homeboy alikuja na uthibitisho wa ugaidi kwa wewe ulivoona? Au hukumbuki alisema alimtafutia walinzi, au hujui alijibuje kwenye Cross exam? Sheria ya ugaidi tz inasemaje mwenzetu tujuzeRejea ushahidi wa Urio utaona. Lakini unaijua sheria ya ugaidi?
Jeremiah mtobesya sjui alienda wapi au alijiondoaUpo Na Nashon hata dk 15 hazijaisha ushaomba kwenda chooni akija Kibatala si ndio atakuwa anajisaidia kizimbani bila kutaraji
Hawa wote ni academic failures at all levels, what do you expect?Hii kesi imenipa maswali mengi, mojawaoo ni je, ndani ya Jeshi hili kuna yeyote ambaye ni super intelligent na mwenye weledi, au wote ni hivi hivi?
Umemsahau Homeboy Dickison MatataKibatala
Mtobesya
Malya
Kihwelo
Nashon nkungu
They made their blueprins.
Hapo nilikuwa namjua kibatala tu ila kesi imenifanya niwajue na hao wengine umahiri wao
Safi sana
Kwa akili yako unafikili mama muuza mbenge na swila walishuhudia watuhumiwa wakifanya ugaidi?Acha inyeshe tuone panapovuja
Nami najiuliza wanaojua huyu Mwamba kwann siku hizi hatumuoni mahakamani atujuzeJeremiah mtobesya sjui alienda wapi au alijiondoa
Kwa walio bahatika kupitia jeshini au kua karibu na maaskar polisi au Ex-askari polisiNi wajinga wa hatari ndio sababu huwa wanaishia kutumia Maguvu ili kuficha huo ukilaza wao. Na vile wengi wana vipato vya rushwa, basi ukiwaona unaweza ukadhani wana akili, kumbe ni makopo yenye ajira.
Huyu bwana kasha jichibia kaburi hawezi kuaminika jeshini tena lazima ata stafishwa au ata pelekwa kiziuzini, kitendo cha kuwasilana na kiongozi wa chama kikuu cha upizani ni hatari sana.Hii kitu imegeuka kabisa maana huyo Urio ni mhaini alitengeneza mazingira ya kutaka u CDF iwapo tu Chadema ingechukua madaraka so nae asweke ndani
Hakuna aliyeahidiwa U CDF hapo yaan makomandoo wa5 wachukue nchi? Kwan tuna makomandoo wangapi jeshini? huyo Urio aliwatafutia kazi hao makomandoo Kwa Nia Safi tu ya kujikimu kimaisha Ila Jiwe Na Saambaya walipogundua kwamba viongoz Wa chadema wanalindwa Na makomandoo roho ya kishetani ikawaingia ndio wakamdaka Urio akachezea kichapo heavy kisha wakakaa chini kuandika hii script tunayiona mahakamani sasa.Hii kitu imegeuka kabisa maana huyo Urio ni mhaini alitengeneza mazingira ya kutaka u CDF iwapo tu Chadema ingechukua madaraka so nae asweke ndani