Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022

Shahidi wa Jamhuri kesi ya mbowe anasema yeye na wenzake, hawakuwahi kumuona wala kunasa hata sauti ya Mbowe akipanga kufanya vitendo vya kigaidi.
20220207_204147.jpg
 
Anashtakiwa kwa makosa ya kula njama. Kiongozi wa hizo njama Luteni Utio, aliamua kuwasaliti wafuasi wake...

Urio anawapanga washtakiwa wote, alipomaliza kuwapanga akaenda kwa DCI kuwatuhumu ugaidi. DCI naye akakamata bila hata upelelezi. Sasa wanashtaki kwa makosa ambayo hayajawahi kutendeke, isipokuwa na huyo Urio na akina Kingai.

Mashahidi wanaonekana wao ndiyo wenye kesi ya kujibu.

1. Kuandaa mipango ya kigaidi.
2. Kutafuta makomandoo wastaafu, kisha kuwalaghai kuwa kuna kazi za ulinzi, huku wakijua wanawaelekeza kwenye dili zao walizopanga na DCI za ugaidi wa kupanga.
3. Kukamata watu waliokuwa wanafanya kazi halali za ulinzi na kuwabambikia ugaidi.
4. Usaliti kwa nchi na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi.
5. Uhaini.
6. Usatakatishaji wa binadamu.
7. Uzururaji (usiku na mchana kutafuta watu wasiokuwa n hatia)
8. Utapeli.
9. Kuiaibisha na kuidhalilisha serikali iliyopo madarakani
10. Kundhalilisha rais kwa kumlisha maneno ya uongo.

Ipo siku hii kezi itampata jaji atakayeweza kuisikiliza. Watu wanatamani kumalizia maisha yao kwa mareso na uchungu jela badala ya kumalizia kwa furaha uraiani.
 
Nashon: Nikumbushe Cheo Chako huko Polisi

Shahidi: Inspector Wa Polisi

Nashon: Na Inspector Wa Polisi Ujui Kuwa Mahakama Inatumika Video na Sauti Katika Ushahidi

Shahidi: Ndiyo
Zamani nilipokuwa nikisikia mtu akiitwa inspector wa polisi, nilikuwa naona bonge la title jamaa ni hatari na anaakili mno. Kumbe ulikuwa ni utoto. Kweli waenga waliposema kuwa uyaone hawakukosea
 
Anashtakiwa kwa makosa ya kula njama. Kiongozi wa hizo njama Luteni Utio, aliamua kuwasaliti wafuasi wake...

Urio anawapanga washtakiwa wote, alipomaliza kuwapanga akaenda kwa DCI kuwatuhumu ugaidi. DCI naye akakamata bila hata upelelezi. Sasa wanashtaki kwa makosa ambayo hayajawahi kutendeke, isipokuwa na huyo Urio na akina Kingai.

Mashahidi wanaonekana wao ndiyo wenye kesi ya kujibu.

1. Kuandaa mipango ya kigaidi.
2. Kutafuta makomandoo wastaafu, kisha kuwalaghai kuwa kuna kazi za ulinzi, huku wakijua wanawaelekeza kwenye dili zao walizopanga na DCI za ugaidi wa kupanga.
3. Kukamata watu waliokuwa wanafanya kazi halali za ulinzi na kuwabambikia ugaidi.
4. Usaliti kwa nchi na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi.
5. Uhaini.
6. Usatakatishaji wa binadamu.
7. Uzururaji (usiku na mchana kutafuta watu wasiokuwa n hatia)
8. Utapeli.
9. Kuiaibisha na kuidhalilisha serikali iliyopo madarakani
10. Kundhalilisha rais kwa kumlisha maneno ya uongo.

Ipo siku hii kezi itampata jaji atakayeweza kuisikiliza. Watu wanatamani kumalizia maisha yao kwa mareso na uchungu jela badala ya kumalizia kwa furaha uraiani.
11.Matumizi mabaya ya fedha za Umma,ya kulipana posho za safari na kutumia vibaya chombo cha usafiri cha serikali kwa kazi zisizo na tija.
 
Hii kesi imeivua nguo Serikali Kwa kiwango cha Hali ya juu Sana, imeonyesha Serikali isivyokuwamakini,inavyoweza kutungia Raia wake kesi za uongo,Polisi wasivyokuwa na uwezo wa kufanya upelelezi,Mawakili wa Serikali walivyo na uwezo finyu,Polisi inavyotesa waTuhumiwa ili wakiri makosa ya Uongo NK.

Kwa upande wa Mahakama, imejivua nguo Kwa kukubali Mambo ya Uongo na yasiyokuwa na Msingi kuingia Mahakamani, kuwa laini Kwa Jamhuri mf.kutokutaka nyaraka za Polisi ili iweze kuamua Kwa Haki,kukubali Jamhuri kuchelewesha kesi Kwa kisingizio kuwa mashahidi wanatoka Nje ya DSM Ila wakija wametoka Temeke kama Swila, NK.

Kwa upande wa Jeshi, limekubali kuingizwa kwenye propaganda uchwara Kwa kuruhusu afisa wake Luteni Urio kuwa chanzo cha kesi ya Uongo, eameonyesha wazi kuwa watumishi wake Makomandoo wanaweza kuteswa na Raia aka Polisi, hiki NI kitu kibaya na huko tuendako kama isipothibitiwa italeta uhasama baina ya vyombo hivi Viwili !

Mwisho viongozi wakuu wamevuliwa heshima kuwa huwa wanapokea briefing za uongo Sana kutoka Kwa maafisa wake, fikiria ushahidi aliousema IGP kuwa upo ndio huu? Rais alisema ushahidi upo wa kutosha , ndio huu ambao hata upelelezi haujafanyika ? DOA kubwa Sana Kwa Rais na anapaswa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo ili kujisafisha na Ile interview ya BBC ambayo Kwa maoni yangu alishaurowa vibaya na akakubsli kujiongoza vibaya !

Mwisho ,Taifa linaongeza kiu ya kuwa na vyombo huru ili mateso haya yakome kabisa, Mahakama inahitaji Uhuru,vyombo vya uchunguzi vinahitaji sheria na visiendeshwe Kisiasa na Kwa ubaguzi,Dola linatakiwa kujitathimi sasa !
 
Rejea ushahidi wa Urio utaona. Lakini unaijua sheria ya ugaidi?
Kwaiyo homeboy alikuja na uthibitisho wa ugaidi kwa wewe ulivoona? Au hukumbuki alisema alimtafutia walinzi, au hujui alijibuje kwenye Cross exam? Sheria ya ugaidi tz inasemaje mwenzetu tujuze
 
Hii kesi imenipa maswali mengi, mojawaoo ni je, ndani ya Jeshi hili kuna yeyote ambaye ni super intelligent na mwenye weledi, au wote ni hivi hivi?
Hawa wote ni academic failures at all levels, what do you expect?
 
Ombi: Muwe mnatuwekea picha za hawa Mashahidi wa Mchongo ili tuwaone jamani
 
Kiukweli kama ulimsikiliza shahidi muhimu kwenye kesi ya Mbowe na makomandoo mama muuza mbege na sasa ukawa unamsikiliza kwa makini Swilla utagundua hawa wawili maelezo yao yamenyooka.

Kwetu Kilolo Swilla ni Nyamwiru yule kiumbe mwenye mwendo wa kusuasua kama alivyoimba Dr Remmy Ongalla rip.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Kibatala

Mtobesya

Malya

Kihwelo

Nashon nkungu

They made their blueprins.

Hapo nilikuwa namjua kibatala tu ila kesi imenifanya niwajue na hao wengine umahiri wao

Safi sana
Umemsahau Homeboy Dickison Matata

Ni jambo la muda tu Haki itashinda Uongo
 
Ni wajinga wa hatari ndio sababu huwa wanaishia kutumia Maguvu ili kuficha huo ukilaza wao. Na vile wengi wana vipato vya rushwa, basi ukiwaona unaweza ukadhani wana akili, kumbe ni makopo yenye ajira.
Kwa walio bahatika kupitia jeshini au kua karibu na maaskar polisi au Ex-askari polisi

Ukiona mtu (askari) wa chini yako anahoji hoji au anakuulizia uliza Unamjibu FUATA MAELEKEZO Ova

Kule kuna kitu kinaitwa FUATA MAELEKEZO

Hata ukienda na akili zako nakuahidi muda mfupi tu utakua mtu wa KUFUATA MAELEKEZO
 
Hii kitu imegeuka kabisa maana huyo Urio ni mhaini alitengeneza mazingira ya kutaka u CDF iwapo tu Chadema ingechukua madaraka so nae asweke ndani
 
Hii kitu imegeuka kabisa maana huyo Urio ni mhaini alitengeneza mazingira ya kutaka u CDF iwapo tu Chadema ingechukua madaraka so nae asweke ndani
Huyu bwana kasha jichibia kaburi hawezi kuaminika jeshini tena lazima ata stafishwa au ata pelekwa kiziuzini, kitendo cha kuwasilana na kiongozi wa chama kikuu cha upizani ni hatari sana.
 
Hii kitu imegeuka kabisa maana huyo Urio ni mhaini alitengeneza mazingira ya kutaka u CDF iwapo tu Chadema ingechukua madaraka so nae asweke ndani
Hakuna aliyeahidiwa U CDF hapo yaan makomandoo wa5 wachukue nchi? Kwan tuna makomandoo wangapi jeshini? huyo Urio aliwatafutia kazi hao makomandoo Kwa Nia Safi tu ya kujikimu kimaisha Ila Jiwe Na Saambaya walipogundua kwamba viongoz Wa chadema wanalindwa Na makomandoo roho ya kishetani ikawaingia ndio wakamdaka Urio akachezea kichapo heavy kisha wakakaa chini kuandika hii script tunayiona mahakamani sasa.
 
Back
Top Bottom